Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Marafiki wa Lowassa watembelea yatima

NA MARY MWITA, ARUMERU
ZAIDI ya vijana 200 wa 4 U Movement Friends of Lowassa wametembelea watoto yatima katika kituo cha kulelea watoto cha Save Africa kilichoko Wilaya ya Arumeru, Mkoa wa Arusha na kutoa zawadi ya Pasaka kwa watoto hao.
Kabla vijana hao hawajatembelea kituo hicho na kula chakula na watoto hao, walitembea kwa maandamano kutoka eneo la Usa River hadi kituoni hapo.
Wakati wa matembezi hayo, walikuwa wakiimba nyimbo za kumsifu Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, kuonyesha...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WAISLAMU WA VODACOM TANZANIA NA MARAFIKI ZAO WATOA MSAADA KITUO CHA YATIMA

 Watoto wanaolelewa katika kituo cha yatima cha Umra kilichopo Magomeni jijini Dar es Salaam, wakiangalia simu ya mfanyakazi wa  Vodacom Tanzania Shamsa Hamud(anaewashuhudia)Wafanyakazi wa kampuni hiyo walifika kituoni hapo kwa ajili ya kutoa msaada wa vyakula mbalimbali na fedha taslimu zilizochangwa na wafanyakazi waislamu na marafiki zao kwa ajili ya watoto hao kusherehekea sikukuu ya Idd. Watoto wanaolelewa katika kituo cha Yatima cha Umra kilichopo Magomeni jijini Dar es Salaam,...

 

11 years ago

GPL

WAFANYAKAZI WAISLAMU WA VODACOM TANZANIA NA MARAFIKI ZAO WATOA MSAADA KITUO CHA YATIMA‏

Watoto wanaolelewa katika kituo cha yatima cha Umra kilichopo Magomeni jijini Dar es Salaam, wakiangalia simu ya mfanyakazi wa  Vodacom Tanzania ShamsaHamud(anayewashuhudia)Wafanyakazi wa kampuni hiyo walifika kituoni hapo kwa ajili ya kutoa msaada wa vyakula mbalimbali na fedha taslimu zilizochangwa na wafanyakazi waislamu na marafiki zao kwa ajili ya watoto hao kusherehekea sikukuu ya Idd.… ...

 

5 years ago

Mwananchi

Bawacha watembelea kituo cha yatima

 Baraza la Wanawake Chadema mkoa wa Dar es Salaam (Bawacha), wametoa msaada wa vitu mbalimbali katika kituo cha  kulelea watoto yatima, Yatima Group Trust Fund.

 

10 years ago

Mwananchi

Marafiki wa Lowassa waja na staili mpya

Daniel Mjema na Rehema Matowo, Mwananchi

 

10 years ago

Mtanzania

Marafiki wa Lowassa kuchangia damu Muhimbili

LOWASSAAANA ELIYA MBONEA, ARUSHA
MAKAMU Mwenyekiti wa marafiki wa Waziri Mkuu wa zamani ambaye pia ni Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, Angel George, amesema mipango imekamilika ya kwenda kuchangia damu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, jijini Dar es Salaam.
George alitoa taarifa hiyo jana jijini hapa, baada ya kusoma taarifa kwenye vyombo vya habari ikieleza kwamba, Hospitali ya Taifa Muhimbili inakabiliwa na uhaba wa damu.
“Hii taarifa tumeiona, tayari tumewasiliana na marafiki wa Lowassa...

 

11 years ago

Michuzi

VETA MAKETE WATEMBELEA WATOTO YATIMA NA KUTOA MISAADA MBALIMBALI

 Wafanyakazi wa VETA Makete wakiwa katika picha na watoto yatima wa kituo cha Bulongwa. Kwa habari kamili na picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Vijimambo

Wabunge marafiki wa Lowassa wajitosa tena kuwania ubunge.

Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa.
Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliokuwa wakimuunga mkono Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, katika harakati za kusaka urais, wamechukua fomu za kuomba kuteuliwa kuwania ubunge kupitia chama hicho.

Kabla ya hapo, kulikuwa na uvumi kuwa wabunge hao hawatachukua fomu kutokana na kukatwa kwa Lowassa katika kinyang’anyiro cha urais.

Baadhi ya wabunge hao ambao wamechukua fomu hizo na kuzirejesha jana ni pamoja na Kangi Lugola (Mwibara), Andrew Chenge...

 

10 years ago

Michuzi

KUNDI LA VIJANA MARAFIKI WA LOWASSA WAPANDA MLIMA KILIMANJARO

Mratibu wa marafiki wa Lowassa kanda ya kaskazini ,Noel Nnko akizungumza na waandishi wa habari kabla ya kuanza safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro.Safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro ikanza.Askari wa hifadhi akiwapekua wasaidizi wa watalii kabla ya kuanza safari ya kupanda mlima Kilimanjaro.Kundi la vijana ambao wanajitaja kama marafiki wa Lowassa wakiwa katika njia ya kuanzia kupanda Mlima Kilimanjaro katika lango la Marangu. Picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Dewji Blog

Party ya usiku wa marafiki wa Lowassa yafana jijini Arusha

unnamed (3)

Kada maarafu kupitia chama cha Mapinduzi CCM, Violet Mfuko akishow love na Msanii wa muziki wa kizazi kipya,Nurdin Billal maarufu kama Shetta katika usiku wa marafiki wa Lowassa iliyofanyika katika ukumbi wa Triple A jijini Arusha.

unnamed (1)

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Nurdin Billal maarufu kama Shetta  akicheza sambamba na Mkurugenzi wa kituo cha Radio 5 Robert Francis staili ya shikorobo juzi kwenye party ya usiku wa marafiki wa Lowassa ulifanyika katika ukumbi wa triple A jijini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani