Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wabunge marafiki wa Lowassa wajitosa tena kuwania ubunge.

Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa.
Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliokuwa wakimuunga mkono Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, katika harakati za kusaka urais, wamechukua fomu za kuomba kuteuliwa kuwania ubunge kupitia chama hicho.

Kabla ya hapo, kulikuwa na uvumi kuwa wabunge hao hawatachukua fomu kutokana na kukatwa kwa Lowassa katika kinyang’anyiro cha urais.

Baadhi ya wabunge hao ambao wamechukua fomu hizo na kuzirejesha jana ni pamoja na Kangi Lugola (Mwibara), Andrew Chenge...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Chikawe atangaza kuwania tena ubunge

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambaye pia ni Mbunge wa Nachingwea, Mathias Chikawe ametangaza kuwa atagombea tena ubunge kupitia CCM katika uchaguzi mkuu wa mwakani, huku akiahidi kuibuka na ushindi.

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge wahoji tena Lowassa kutosafishwa

Dodoma/Dar.  Siku moja baada ya Ikulu kulaumiwa bungeni kwa kuwasafisha baadhi ya vigogo waliohusishwa na kashfa ya escrow, mbunge mwingine ameibuka akihoji kwa nini Edward Lowassa asisafishwe dhidi ya kashfa ya Richmond iliyomfanya aachie wadhifa wa uwaziri mkuu.

 

10 years ago

Mwananchi

KINYANG'ANYIRO CHA URAIS: wanawake watano wajitosa kuwania

Wakati joto la mbio za kuwania urais likiendelea kuisisimua nchi, Umoja wa Wanawake Wanasiasa Tanzania (Ulingo), kwa kushirikiana na Mtandao wa Wanawake na Katiba, umesema tayari wameandaa majina matano ya wanawake kuwania nafasi hiyo baadaye mwaka huu.

 

11 years ago

Michuzi

Semina ya Wabunge Marafiki wa Mazingira kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (Climate Change)

Chama cha Wabunge Marafiki wa Mazingira (TAPAFE),kwa kushirikiana na Baraza la Usimamizi wa Mazingira,na Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa(UNEP),wameandaa semina kwa ajili ya wajumbe wa chama hicho mjini Dodoma,jumamosi tarehe 14 Juni 2014 na jumapili tarehe 15 Juni 2014 kuhusu Athari za Mabadiliko ya Tabianchi katika Maendeleo ya Nchi. Waziri wa Nchi (Kazi Maalum) Ofisi ya Rais,Prof. Mark Mwandosya akitoa mada Kuhusu Changamoto za Mazingira ya Bonde la Ziwa Victoria na Bonde la...

 

10 years ago

Mtanzania

Marafiki wa Lowassa watembelea yatima

NA MARY MWITA, ARUMERU
ZAIDI ya vijana 200 wa 4 U Movement Friends of Lowassa wametembelea watoto yatima katika kituo cha kulelea watoto cha Save Africa kilichoko Wilaya ya Arumeru, Mkoa wa Arusha na kutoa zawadi ya Pasaka kwa watoto hao.
Kabla vijana hao hawajatembelea kituo hicho na kula chakula na watoto hao, walitembea kwa maandamano kutoka eneo la Usa River hadi kituoni hapo.
Wakati wa matembezi hayo, walikuwa wakiimba nyimbo za kumsifu Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, kuonyesha...

 

10 years ago

Mwananchi

Marafiki wa Lowassa waja na staili mpya

Daniel Mjema na Rehema Matowo, Mwananchi

 

10 years ago

Mtanzania

Marafiki wa Lowassa kuchangia damu Muhimbili

LOWASSAAANA ELIYA MBONEA, ARUSHA
MAKAMU Mwenyekiti wa marafiki wa Waziri Mkuu wa zamani ambaye pia ni Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, Angel George, amesema mipango imekamilika ya kwenda kuchangia damu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, jijini Dar es Salaam.
George alitoa taarifa hiyo jana jijini hapa, baada ya kusoma taarifa kwenye vyombo vya habari ikieleza kwamba, Hospitali ya Taifa Muhimbili inakabiliwa na uhaba wa damu.
“Hii taarifa tumeiona, tayari tumewasiliana na marafiki wa Lowassa...

 

10 years ago

Michuzi

KUNDI LA VIJANA MARAFIKI WA LOWASSA WAPANDA MLIMA KILIMANJARO

Mratibu wa marafiki wa Lowassa kanda ya kaskazini ,Noel Nnko akizungumza na waandishi wa habari kabla ya kuanza safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro.Safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro ikanza.Askari wa hifadhi akiwapekua wasaidizi wa watalii kabla ya kuanza safari ya kupanda mlima Kilimanjaro.Kundi la vijana ambao wanajitaja kama marafiki wa Lowassa wakiwa katika njia ya kuanzia kupanda Mlima Kilimanjaro katika lango la Marangu. Picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Dewji Blog

Party ya usiku wa marafiki wa Lowassa yafana jijini Arusha

unnamed (3)

Kada maarafu kupitia chama cha Mapinduzi CCM, Violet Mfuko akishow love na Msanii wa muziki wa kizazi kipya,Nurdin Billal maarufu kama Shetta katika usiku wa marafiki wa Lowassa iliyofanyika katika ukumbi wa Triple A jijini Arusha.

unnamed (1)

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Nurdin Billal maarufu kama Shetta  akicheza sambamba na Mkurugenzi wa kituo cha Radio 5 Robert Francis staili ya shikorobo juzi kwenye party ya usiku wa marafiki wa Lowassa ulifanyika katika ukumbi wa triple A jijini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani