Wabunge wahoji tena Lowassa kutosafishwa
Dodoma/Dar. Siku moja baada ya Ikulu kulaumiwa bungeni kwa kuwasafisha baadhi ya vigogo waliohusishwa na kashfa ya escrow, mbunge mwingine ameibuka akihoji kwa nini Edward Lowassa asisafishwe dhidi ya kashfa ya Richmond iliyomfanya aachie wadhifa wa uwaziri mkuu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo20 Jul
Wabunge marafiki wa Lowassa wajitosa tena kuwania ubunge.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Edward-20July2015.jpg)
Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliokuwa wakimuunga mkono Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, katika harakati za kusaka urais, wamechukua fomu za kuomba kuteuliwa kuwania ubunge kupitia chama hicho.
Kabla ya hapo, kulikuwa na uvumi kuwa wabunge hao hawatachukua fomu kutokana na kukatwa kwa Lowassa katika kinyang’anyiro cha urais.
Baadhi ya wabunge hao ambao wamechukua fomu hizo na kuzirejesha jana ni pamoja na Kangi Lugola (Mwibara), Andrew Chenge...
10 years ago
Mwananchi26 May
Wabunge wahoji wizara kupewa fedha kiduchu
>Mjadala wa Kikao cha 12 cha Bunge la Bajeti jana ulitawaliwa na vilio vya kamati za Bunge na wabunge kuhoji sababu za Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto kupewa fedha kidogo ya maendeleo, huku Wizara ya Kazi na Ajira ikikosa kabisa fungu kutoka Hazina.
11 years ago
Mwananchi16 May
Wabunge waja juu, wahoji uuzwaji wa hisa UDA
Uuzwaji wa hisa za Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) jana uliibuka upya bungeni baada ya Mbunge wa Ubungo, John Mnyika (Chadema) kuhoji sababu za Serikali kufuta kesi kuhusu utata wa mauzo hayo.
11 years ago
Mwananchi27 Jun
UFAFANUZI: Wabunge wahoji ajira za mkataba kwa Polisi
>Serikali imeshindwa kutoa ufafanuzi wa kina kuhusu sababu za kutoa ajira za miaka mitatu kwa askari polisi wanaoajiriwa kwa mara ya kwanza na ambao hupewa ajira za kudumu baada ya miaka 12.
11 years ago
Mwananchi26 Mar
Kanuni zaibua tena mdahalo Bunge la #Katiba, Ukawa wahoji kwa nini zibadilishwe [VIDEO]
Wana-UKAWA hao wamesisitiza kamwe hawatakubali mabadiliko yoyote ya kanuni, isipokuwa yale tu ya vipengele vya 37 and 38 vinavyoelekeza namna ya kupiga kura.
10 years ago
Vijimambo07 Jul
Wabunge upinzani wamsusia tena JK
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2777876/highRes/1055069/-/maxw/600/-/kmkmgfz/-/PIC+UPINZANI.jpg)
Dodoma. Historia...
10 years ago
Mwananchi02 May
Nyalandu aibua tena mgogoro na wabunge
Dar es Salaam. Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu ameingia katika mvutano na mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, James Lembeli baada ya kuliagiza Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa), kusitisha utaratibu wa kulazimisha watalii kulipa kila waingiapo kwenye hifadhi.
10 years ago
Mwananchi21 Jul
Wabunge wa Chadema wamkaribisha Lowassa
>Baadhi ya wabunge wa Chadema wamezungumzia taarifa zinazosambaa zikieleza kuwapo mkakati wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kuhamia katika chama hicho, wengi wao wakimkaribisha.
9 years ago
Mwananchi07 Nov
Lowassa aipa Ukawa wabunge 116
Aliyekuwa mgombea urais wa Chadema aliyeungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa ameupa umoja huo ushindi wa viti 116 vya wabunge katika Bunge la kumi na moja litakaloanza Novemba 17, Mjini Dodoma.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania