Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UFAFANUZI: Wabunge wahoji ajira za mkataba kwa Polisi

>Serikali imeshindwa kutoa ufafanuzi wa kina kuhusu sababu za kutoa ajira za miaka mitatu kwa askari polisi wanaoajiriwa kwa mara ya kwanza na ambao hupewa ajira za kudumu baada ya miaka 12.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Wabunge wahoji tena Lowassa kutosafishwa

Dodoma/Dar.  Siku moja baada ya Ikulu kulaumiwa bungeni kwa kuwasafisha baadhi ya vigogo waliohusishwa na kashfa ya escrow, mbunge mwingine ameibuka akihoji kwa nini Edward Lowassa asisafishwe dhidi ya kashfa ya Richmond iliyomfanya aachie wadhifa wa uwaziri mkuu.

 

10 years ago

Mwananchi

Kauli ya JK kwa Polisi inahitaji ufafanuzi

Rais Jakaya Kikwete amelitaka Jeshi la Polisi nchini kujiandaa kikamilifu kukabiliana na vurugu zozote zitakazojitokeza wakati wa uandikishaji wa wapigakura, upigaji Kura ya Maoni kuhusu Katiba Inayopendekezwa pamoja na Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba, mwaka huu.

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge wahoji wizara kupewa fedha kiduchu

>Mjadala wa Kikao cha 12 cha Bunge la Bajeti jana ulitawaliwa na vilio vya kamati za Bunge na wabunge kuhoji sababu za Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto kupewa fedha kidogo ya maendeleo, huku Wizara ya Kazi na Ajira ikikosa kabisa fungu kutoka Hazina.

 

11 years ago

Mwananchi

Wabunge waja juu, wahoji uuzwaji wa hisa UDA

Uuzwaji wa hisa za Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) jana uliibuka upya bungeni baada ya Mbunge wa Ubungo, John Mnyika (Chadema) kuhoji sababu za Serikali kufuta kesi kuhusu utata wa mauzo hayo.

 

11 years ago

Mwananchi

TPDC yatoa ufafanuzi mkataba wa Statoil

Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC) limetoa ufafanuzi kuhusu mkataba wa uzalishaji wa gesi asilia baina ya serikali na kampuni ya mafuta ya Statoil, likieleza kuwa walioanzisha suala la kuwepo kwa ulaghai, hawakuielewa vizuri mikataba hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Uhamiaji yatoa ufafanuzi ajira zilizositishwa

>Wizara ya Mambo ya Ndani imetoa ufafanuzi kuhusu ajira zilizositishwa na kusema siyo zile zilizoandikwa na vyombo mbalimbali vya habari jana.

 

5 years ago

CCM Blog

SERIKALI KUTOA AJIRA ZAIDI YA 4000 KWA POLISI, MAGEREZA, UHAMIAJI NA ZIMAMOTO

  Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, imetangaza ajira zaidi ya 4,400 kwa vyombo vya ulinzi na usalama nchini.

Serikali Kutoa Ajira Zaidi ya 4000 kwa Polisi, Magereza, Uhamiaji, ZimamotoAkiwasilisha makadirio ya bajeti ya mwaka 2020/21, Waziri wa wizara hiyo, George Simbachawene, alisema ajira hizo zitakwenda pamoja na mafunzo mbalimbali kwa askari na watumishi mbalimbali.
Alisema kwa mwaka huo, Jeshi la Polisi linatarajia kuajiri askari 2,725, askari Magereza 685, Uhamiaji 495 na Zimamoto...

 

10 years ago

Mwananchi

Mambo ya kuzingatia katika mkataba wa ajira

Kama ilivyo kwa mikataba mingine, uhalali wa mkataba ni lazima ujengwe katika nguzo kuu tano ambazo ni makubaliano, hiari ya kuingia mkataba, malipo halali, uwezo wa kuingia mkataba pamoja na uhalali wa shughuli yenyewe itakayofanyika.

 

10 years ago

Vijimambo

JESHI LA POLISI MKOA WA DODOMA LATOLEA UFAFANUZI KUHUSU KUKAMATWA KWA MTU MWENYE ASILI YA KIASIA AKIWA NA TSHS. 722,500,00 KATIKA HOTELI YA ST. GASPER

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHIJESHI LA POLISI TANZANIA
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, SACP David Misime

YAH: TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA DODOMA KWAVYOMBO VYA HABARI TAREHE 14/07/2015

Napenda kutoa taarifa fupi kuhusu tukio lililotokea tarehe 11/07/2015 majira ya saa 10:00 hrs huko katika Hoteli ya St. Gasper hapa mjini Dodoma, kuwa wananchi walitoa taarifa majira ya saa nne asubuhi kwamba kuna mtu mmoja mwenye asili ya Kiasia amekamatwa na wananchi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani