Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TPDC yatoa ufafanuzi mkataba wa Statoil

Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC) limetoa ufafanuzi kuhusu mkataba wa uzalishaji wa gesi asilia baina ya serikali na kampuni ya mafuta ya Statoil, likieleza kuwa walioanzisha suala la kuwepo kwa ulaghai, hawakuielewa vizuri mikataba hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

TPDC yafafanua mkataba wa StatOil

SERIKALI inatarajia kupata mgawo wa asilimia 61 wa gesi asilia kutoka kwa mwekezaji Kampuni ya StatOil ya nchini Norway inayojishughulisha na utafutaji wa mafuta na gesi kitalu namba mbili kilichopo...

 

11 years ago

TheCitizen

TPDC challenged to clarify StatOil deal

Public Accounts Committee (PAC) chairman Zitto Kabwe has asked Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) to issue a statement on the controversy surrounding the alleged leak of a co

 

11 years ago

Zitto Kabwe, MB

MKATABA WA GESI WA STATOIL NA TANZANIA

MKATABA WA GESI WA STATOIL NA TANZANIA

Swali kwa TPDC: Kwanini Makubaliano ni tofauti na Mkataba Elekezi (Model PSA)?

Baada ya kuvuja kwa Mkataba wa kutafuta na kuzalisha Gesi Asilia (PSA) kati ya Serikali kupitia TPDC na Kampuni ya Norway ya StatOil na baada ya baadhi ya wachambuzi kuhoji kuhusu mkataba huo, Shirika la TPDC limetoa maelezo yake. Sio mara moja, sasa ni mara ya tatu. Kimsingi TPDC wanasema wachambuzi waliochambua nyongeza hiyo ya Mkataba hawana uelewa wa mambo haya na...

 

11 years ago

Habarileo

Mkataba wa gesi Statoil, Serikali hadharani

SERIKALI imeondoa utata unaohusu mkataba wa gesi wa nyongeza baina yake na kampuni ya Norway ya Statoil, kwa kuanika wazi mgawanyo unaoonesha Tanzania itapata faida kubwa ya asilimia 61 wakati kampuni hiyo itapata asilimia 39.

 

10 years ago

Michuzi

STATOIL YATOA ZAWADI KWA WASHINDI WA SHINDANO LA MASHUJAA WA KESHO

Kampuni ya Statoil Tanzania imewatangaza na kuwazawadia washindi wa shindano la Mashujaa wa Kesho katika hafla iliyofanyika siku ya Alhamisi Desemba 4. Mashujaa wa Kesho ni shindano la biashara lililoandaliwa kwa lengo la kukuza dhana ya ujasiriamali kwa vijana mkoani Mtwara.
Bwana Nassibu Hamimu Lilumba ameibuka mshindi wa shindano la Mashujaa wa Kesho baada ya kutoa wazo la biashara na kIsha kuandaa mpango wa biashara na kutoa maelezo yake katika jopo la majaji. Mshindi alizawadiwa fedha...

 

11 years ago

Mwananchi

TPDC iseme kwa nini makubaliano ni tofauti na mkataba elekezi?

Baada ya kuvuja kwa mkataba wa kutafuta na kuzalisha gesi asilia kati ya TPDC na kampuni ya Norway ya StatOil na baada ya baadhi ya wachambuzi kuhoji kuhusu mkataba huo, TPDC imetoa maelezo yake.

 

11 years ago

Mwananchi

UFAFANUZI: Wabunge wahoji ajira za mkataba kwa Polisi

>Serikali imeshindwa kutoa ufafanuzi wa kina kuhusu sababu za kutoa ajira za miaka mitatu kwa askari polisi wanaoajiriwa kwa mara ya kwanza na ambao hupewa ajira za kudumu baada ya miaka 12.

 

10 years ago

Michuzi

TPDC, KAMPUNI ZA WENTWORTH, MAUREL & PROM WASAINI MKATABA WA KUUZIANA GESI

Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (wa nne kushoto) akipeana mkono na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya WENTWORTH inayochimba gesi katika eneo la Mnazi Bay Mkoani Mtwara , Robert MacBean (wa tatu kushoto) mara baada ya kusaini Makubaliano ya Mkataba wa Kuuziana Gesi kati yake na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC). Wengine katika picha ni baadhi wa Watendaji Wakuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Shirika la maendeleo ya Petroli Tanzania TPDC na...

 

9 years ago

Habarileo

Ujiji yatoa ufafanuzi malipo ya walimu

HALMASHAURI ya Manispaa ya Kigoma Ujiji imesema malipo ya madai mbalimbali yaliyofanywa kwa walimu wa manispaa hiyo yalifanyiwa uhakika wa kutosha na kujiridhisha kwamba waliolipwa ndiyo wanaostahili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani