Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TPDC iseme kwa nini makubaliano ni tofauti na mkataba elekezi?

Baada ya kuvuja kwa mkataba wa kutafuta na kuzalisha gesi asilia kati ya TPDC na kampuni ya Norway ya StatOil na baada ya baadhi ya wachambuzi kuhoji kuhusu mkataba huo, TPDC imetoa maelezo yake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TFF YAVUNJA MKATABA NA KOCHA KIM POULSEN KWA MAKUBALIANO

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen wamekubaliana kuvunja mkataba katika makubaliano ambayo ni siri kwa pande zote mbili.
Uamuzi huo umetangazwa leo (Februari 27 mwaka huu) jijini Dar es Salaam kwa pamoja na Rais wa TFF, Jamal Malinzi na Kocha Poulsen mbele ya waandishi wa habari.
Rais Malinzi kwa niaba ya TFF ametoa shukrani za dhati kwa Kocha Poulsen kwa ushirikiano na mchango ambao ameutoa kwa Tanzania kuanzia kwenye mpira wa miguu wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Ukaribu uliopitiliza kwa mashemeji wa jinsi tofauti unaashiria nini?

Moja ya mambo yanayosumbua vichwa watu wengi walio kwenye uhusiano wa kimapenzi ni ukaribu uliopitiliza wanaouonyesha kwa mashemeji zao. Hali hii huwa pia chanzo cha kuvunjika kwa uhusiano. 

 

11 years ago

Tanzania Daima

TPDC yafafanua mkataba wa StatOil

SERIKALI inatarajia kupata mgawo wa asilimia 61 wa gesi asilia kutoka kwa mwekezaji Kampuni ya StatOil ya nchini Norway inayojishughulisha na utafutaji wa mafuta na gesi kitalu namba mbili kilichopo...

 

11 years ago

Mwananchi

TPDC yatoa ufafanuzi mkataba wa Statoil

Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC) limetoa ufafanuzi kuhusu mkataba wa uzalishaji wa gesi asilia baina ya serikali na kampuni ya mafuta ya Statoil, likieleza kuwa walioanzisha suala la kuwepo kwa ulaghai, hawakuielewa vizuri mikataba hiyo.

 

10 years ago

Michuzi

TPDC, KAMPUNI ZA WENTWORTH, MAUREL & PROM WASAINI MKATABA WA KUUZIANA GESI

Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (wa nne kushoto) akipeana mkono na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya WENTWORTH inayochimba gesi katika eneo la Mnazi Bay Mkoani Mtwara , Robert MacBean (wa tatu kushoto) mara baada ya kusaini Makubaliano ya Mkataba wa Kuuziana Gesi kati yake na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC). Wengine katika picha ni baadhi wa Watendaji Wakuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Shirika la maendeleo ya Petroli Tanzania TPDC na...

 

9 years ago

Michuzi

VODACOM NA MONEYGRAM WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO WA KUTOA HUDUMA ZA KIFEDHA

 Ofisa Mkuu wa Idara ya huduma za biashara za M-Pesa wa Vodacom Tanzania,Jacques Voogt akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa hafla ya Uzinduzi  wa makubaliano ya ushirikiano wa kutoa huduma ya kutuma na kupokea fedha kwa njia ya M-pesa na Moneygram (Moneygram M-Pesa)ambayo itawanufaisha wateja wanaoishi Nje ya nchi kutuma fedha na kuingia moja kwa moja kwa jamaa zao waliopo nchini.Uzinduzi huo ulifanyika jijini leo Dar es Salaam.003.Mkurugenzi wa Mifumo ya Malipo ya...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKABIDHIANO YA MKATABA WA MAKUBALIANO YA MRADI WA UBIA WA UCHIMBAJI MADINI YA CHOKAA

Kamishna Jenerali wa Magereza John Casmir Minja akimkabidhi Mkataba wa Makubaliano ya mradi uchimbaji madini Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Twiga Cement, Bw. Alphonso Rodrudges. Shirika la Magereza limeingia ubia katika mradi huo na Kampuni ya Twiga Cement katika eneo la Jeshi la Magereza, Wazo Hill lililopo jijini Dar es Salaam ambapo hafla hiyo imefanyika leo Desemba 12, 2014 katika Ofisi za Makao Makuu ya Jeshi la Magereza.Kamishna Jenerali wa Magereza John Casmir Minja akiwa makini...

 

11 years ago

Michuzi

TIC YAINGIA MKATABA WA MAKUBALIANO YA UWEKEZAJI NA WAKUU WA MIKOA YA KANDA YA ZIWA

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC),Julieth Kairuki (wa pili kushoto) akisaini Mikataba ya Makubaliano ya Uwekezaji na Wakuu wa Mikoa ya Kanda ya Ziwa,wakiwemo Mkuu wa Mkoa wa Mwanza,Mh. Everist Ndikilo (wa pili kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga,Mh. Yohana Balele (kushoto).Wanaoshuhudia ni Waziri wa Viwanda na Biashara,Mh. Abdallah Kigoda pamoja na Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi),Mh. Aggrey Mwanri.na Kulia ni Mwenyekiti wa Kongamano la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani