Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SERIKALI KUTOA AJIRA ZAIDI YA 4000 KWA POLISI, MAGEREZA, UHAMIAJI NA ZIMAMOTO

  Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, imetangaza ajira zaidi ya 4,400 kwa vyombo vya ulinzi na usalama nchini.

Serikali Kutoa Ajira Zaidi ya 4000 kwa Polisi, Magereza, Uhamiaji, ZimamotoAkiwasilisha makadirio ya bajeti ya mwaka 2020/21, Waziri wa wizara hiyo, George Simbachawene, alisema ajira hizo zitakwenda pamoja na mafunzo mbalimbali kwa askari na watumishi mbalimbali.
Alisema kwa mwaka huo, Jeshi la Polisi linatarajia kuajiri askari 2,725, askari Magereza 685, Uhamiaji 495 na Zimamoto...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Uhamiaji msirudie kutoa ajira za upendeleo

Kufutwa kwa ajira 200 za konstebo na koplo katika Idara ya Uhamiaji mwishoni mwa Agosti, mwaka huu kutokana na kutolewa kwa upendeleo, bila shaka kutakuwa kumetoa fursa kwa wahusika kujipima kama kweli wanafaa kuendelea kushikilia nyadhifa zao.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI SIMBACHAWENE AONGOZA KIKAO CHA TUME YA JESHI LA POLISI, MAGEREZA NA UHAMIAJI JIJINI DODOMA LEO

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto meza kuu) akiongoza kikao cha Tume ya Jeshi la Polisi, Magereza na Uhamiaji inayoshughulikia masuala ya Kiutumishi na Kiutendaji wa Askari katika Majeshi hayo, katika Ukumbi wa Wizara hiyo, jijini Dodoma, leo. Kulia Meza Kuu ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christophere Kadio.Waziri...

 

10 years ago

Michuzi

MAHAFALI YA 49 CHUO CHA CBE YAFANA, SERIKALI YAYATAKA MAKAMPUNI KUACHA KUTOA NAFASI NYINGI ZA AJIRA KWA WAGENI

Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Abdallah Kigoda (kulia) ambaye alikuwa mgeni rasmi katika mahafali ya 49 ya Chuo cha Elimu ya Biashara kampasi ya Dar es salaam akiimba wimbo wa Taifa wakati wa ufunguzi rasmi wa mahafali hayo jijini Dar es salaam. Wengine ni Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Prof. Mathew Luhanga (katikati) na Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Prof. Emanuel Mjema.Baadhi ya wahitimu wa shahada ya Uhasibu wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam...

 

11 years ago

Michuzi

Kampuni ya kuhuisha taka za plastiki ya kichina kutoa ajira zaidi nchini

 Mfanyakazi wa kampuni ya Fusun Investment Co. United akifanyakazi katika moja ya mashine zinazotumika katika usagaji wa chupa chakavu za plastiki kabla ya kusafirishwa nchi za nje. Kampuni hiyo imetoa ajira zaidi ya 300 tangu ilipoanzishwa mwaka 2010, na inampango wa kujitanua katika mikoa mingine Tanzania.  Mfanyakazi wa kampuni ya Fusun Investment Co. United Limited akikusanya chupa chakavu za plastiki kwa ajili ya kuzisaga. Zaidi ya watanzania 300 wanafanyakazi katika kampuni hiyo ya...

 

11 years ago

Bongo5

Zitto Kabwe apongeza nguvu ya mitandao ya kijamii kwa kusababisha kusitishwa kwa ajira katika idara ya uhamiaji

Nguvu ya mitandao ya kijamii hususan Facebook, Twitter na forums mbalimbali, inafahamika kwa kusababisha mashinikizo makubwa kwenye serikali nyingi duniani. Mfano hai ni jinsi mitandao hiyo ilivyopelekea idara ya uhamiaji kusitisha ajira zake. “Uamuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani kusitisha ajira ya idara ya uhamiaji ni hekima sana. Hii pia inaonyesha nguvu ya social […]

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AHITIMISHA ZIARA YAKE KWA KISHINDO MKOANI ARUSHA,AVUNA WANACHAMA WAPYA ZAIDI YA 4000

Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Monduli,Amani Ole Torongei,akizungumza jambo mbele ya umati wa watu waliofika katika mkutano wa hadhara uliofanyika jioni ya leo huku akionesha fulana ya CHADEMA akieleza kuwa amechoka kuwa mtumwa.Amani alitangaza kukihama chama chake na kutangaza rasmi kuhamia chama cha CCM,ambapo pia alikabidhi kadi yake ya awali kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana na kukabidhiwa kadi mpya ya chama hicho cha CCM.Aliyekuwa Mwenyekiti wa wilaya ya Ngorongoro kupitia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani