Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kampuni ya kuhuisha taka za plastiki ya kichina kutoa ajira zaidi nchini

 Mfanyakazi wa kampuni ya Fusun Investment Co. United akifanyakazi katika moja ya mashine zinazotumika katika usagaji wa chupa chakavu za plastiki kabla ya kusafirishwa nchi za nje. Kampuni hiyo imetoa ajira zaidi ya 300 tangu ilipoanzishwa mwaka 2010, na inampango wa kujitanua katika mikoa mingine Tanzania.  Mfanyakazi wa kampuni ya Fusun Investment Co. United Limited akikusanya chupa chakavu za plastiki kwa ajili ya kuzisaga. Zaidi ya watanzania 300 wanafanyakazi katika kampuni hiyo ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kampuni ya taka za plastiki kutoa ajira nchini

Kampuni ya kuhuisha (recycling) plastiki ya Kichina inayofanya shughuli zake jijini Dar es Salaam ina mpango wa kutanua shughuli zake kwa kuwekeza zaidi nchini na kuongeza ajira zaidi kwa Watanzania.

 

9 years ago

Mwananchi

ACT yashauri taka zizalishe ajira nchini

Chama cha ACT Wazalendo kimeishauri Serikali kuhakikisha suala la usafi wa mazingira nchini linakuwa endelevu na kutafuta njia mbadala ya kuzalisha ajira na kukuza uchumi wa nchi.

 

5 years ago

CCM Blog

SERIKALI KUTOA AJIRA ZAIDI YA 4000 KWA POLISI, MAGEREZA, UHAMIAJI NA ZIMAMOTO

  Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, imetangaza ajira zaidi ya 4,400 kwa vyombo vya ulinzi na usalama nchini.

Serikali Kutoa Ajira Zaidi ya 4000 kwa Polisi, Magereza, Uhamiaji, ZimamotoAkiwasilisha makadirio ya bajeti ya mwaka 2020/21, Waziri wa wizara hiyo, George Simbachawene, alisema ajira hizo zitakwenda pamoja na mafunzo mbalimbali kwa askari na watumishi mbalimbali.
Alisema kwa mwaka huo, Jeshi la Polisi linatarajia kuajiri askari 2,725, askari Magereza 685, Uhamiaji 495 na Zimamoto...

 

5 years ago

Michuzi

Ummy Mwalimu: Tutandelea kutoa ajira kwa wauguzi nchini

WAMJW - Dar es Salaam

Serikali imesema itaendelea kutoa kipaumbele katika ajira za wauguzi kadri nafasi zitakavyokuwa zikipatikana ili kuboresha huduma za afya nchini.

Kauli hiyo imetolewa leo  na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu wakati akizungumza na watumishi wa hospitali ya rufaa ya mkoa ya Mwananyamala katika Maadhimisho ya Siku ya Waguzi Duniani  ambayo huadhimishwa tarehe 12 Mei kila mwaka. Kauli mbiu ya mwaka huu ni “Wauguzi; Sauti inayoongoza...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uchimbaji, uchakataji magadi soda kutoa fursa za ajira nchini

TANZANIA ni miongoni mwa nchi chache Afrika zilizobarikiwa utajiri wa rasilimali nyingi ambazo ni tegemeo kwa wananchi wake na serikali. Baadhi ya rasilimali tunazojivunia ni misitu, madini na mbuga za...

 

10 years ago

Michuzi

VYUO VYATAKIWA KUTOA ELIMU KULINGANA NA MAHITAJI YA AJIRA HAPA NCHINI

Na Woinde Shizza, ArushaVIJANA wengi  wanaohitimu vyuo hawapati kazi mara tu ya kuhitimu
masomo yao kutokana na kutokuwepo kwa vyanzo vya ajira vinavyokwendasambamba na ongezeko la wahitimu na kuchangia kuwepo kwa wimbi lawahitimu wasiokuwa na ajira nchini.
Hayo yalisemwa    na Naibu Katibu Mkuu wa wizara ya maliasili nautalii ,Selestini Gesimba alipokuwa akizungumza katika mahafali yatano ya Chuo cha Taifa cha Utalii(NCT) ,kampasi ya Arusha ambapo jumlala wanafunzi 55  walihitimu fani za...

 

9 years ago

Dewji Blog

Tasnia ya filamu nchini yachangia kutoa ajira na kuongeza pato la taifa

B1a

Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Bibi. Joyce Fissoo akielezea namna sekta ya Filamu ilivyo piga hatua hapa nchini wakati wa mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam.Kulia ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Genofeva Matemu na kushoto ni Afisa Habari wa Idara ya Habari MAELEZO Bi. Fatma Salum.

B2

Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia mkutana wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo...

 

10 years ago

Habarileo

Ajali yaua wafanyakazi wawili wa kampuni ya Kichina

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Tabora Suzan KagandaWATU wawili wamekufa baada gari waliyokuwa wakisafiria aina ya kenta T 564 BYW kupinduka. Gari hilo lilikuwa limebeba wafanyakazi 27 wa kampuni ya wachina Project inayotengeneza barabara ya Kigwa hadi Nyahuwa mkoani Tabora.

 

10 years ago

Vijimambo

JOKATE KIDOTI ASAINI MKATABA WA SH. BILIONI 8.5 NA KAMPUNI YA KICHINA

Jokate Mwegelo akizungumza katika hafla hiyo.Afisa Mtendaji mkuu wa kampuni ya Rainbow Shell Craft Company Limited (CEO), Deng Guoxun akuzungumza katika hafla hiyoJokate na Guoxun wakionyesha mikataba baada ya kusaini.Jokate na Guoxun wakibadilishana mikataba baada ya kusainiJokate akiteta jambo na Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa kwenye hafla hiyo.Wageni mbalimbali waalikwa wakishughudia hafla hiyoMeya wa Manispaa ya Ilala akiteta jambo na Mbunge wa Viti maalum (CCM) Mariam Kisangi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani