JOKATE KIDOTI ASAINI MKATABA WA SH. BILIONI 8.5 NA KAMPUNI YA KICHINA
Jokate Mwegelo akizungumza katika hafla hiyo.
Afisa Mtendaji mkuu wa kampuni ya Rainbow Shell Craft Company Limited (CEO), Deng Guoxun akuzungumza katika hafla hiyo
Jokate na Guoxun wakionyesha mikataba baada ya kusaini.
Jokate na Guoxun wakibadilishana mikataba baada ya kusaini
Jokate akiteta jambo na Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa kwenye hafla hiyo.
Wageni mbalimbali waalikwa wakishughudia hafla hiyo
Meya wa Manispaa ya Ilala akiteta jambo na Mbunge wa Viti maalum (CCM) Mariam Kisangi...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog21 Dec
Jokate asaini mkataba wa thamani ya Sh8.5 bilioni na kampuni ya Kichina
Jokate Mwegelo akizungumza katika hafla hiyo.
Na Mwandishi wetu
Mbunifu mavazi, Miss Tanzania wa namba mbili 2006, mwanamuziki na muigizaji wa filamu, Jokate Mwegelo amesaini makubaliano yenye thamani ya Sh8.5 billion na kampuni ya Kichina, Rainbow Shell Craft Company Limited kwa ajili ya kuzalisha na kuuza bidhaa mbalimbali za lebo yake ya Kidoti.
Makubaliano hayo yalisainiwa jana kwenye hotel ya Serena baina ya Jokate na Afisa Mtendaji mkuu wa kampuni ya Rainbow Shell Craft Company...
10 years ago
MichuziJokate asaini mkataba wa thamani ya Sh8.5 bilioni na kampuni ya Kichina
10 years ago
CloudsFM22 Dec
Jokate aingia mkataba na kampuni ya Rainbow Shell Craft ya China
Jokate amesema amefurahishwa kuingia kwenye mkataba na kampuni hiyo kwani mbali na masuala ya urembo pia kupitia brand yake anatarajia kuongeza ajira kwa akina mama kwani kitajengwa kiwanda ambacho kitatoa ajira kwao.
“Hii ni fursa kubwa kwetu Tanzania, nawashukuru sana vijana wenzangu ambao tulikaa na kubuni brand ya Kidoti, leo imenipa...
10 years ago
Bongo Movies10 Jun
Riyama Ally Ala Shavu, Asaini Mkataba ‘Mnono’ na Kampuni Kubwa ya Filamu Nchini Kenya
Staa wa Bongo Movies, Riyama Ally amesaini mkataba mnono wa kucheza filamu na kampuni maarufu ya kusambaza filamu nchini Kenya.
Riyama alisema kuwa amefanya mazungumzo na kampuni hiyo mjini Mombasa na tayari wameshaanza kufanya kazi na kumlipa kitita kinono cha fedha ambacho hakukitaja.
Aidha amesema kuwa wadau wengine wa filamu nchini Kenya wametangaza dau kubwa zaidi ili msanii huyo aweze kucheza tamthilia zinazorushwa kwenye Televisheni mbali mbali nchini humo.
Cloudsfm.com
10 years ago
Bongo Movies20 Dec
Alichosema Diamond Platnumz baada ya Jokate kuingia mkataba wa kibiashara na kampuni toka CHINA
Baada ya mwanadada Jokate kupitia kampuni yake ya KIDOTi kuingia mkataba mnono wa bidhaa zake na kampuni ya wachina, msanii Dimaond Platnumz amefunguka haya yafuatayo…
“..Kama muekezaji wa nje ameweza kuona Potential na kumuamini kidoti na kuamua kuwekeza kwenye bidhaa zake...kwanini sisi tusimuamini???.. nafikiri huu ni wakati muafaka wa kuanza kuthamini na kusupport brand zetu za nyumbani.. Hongera sana Kate... sema sasa ututolee bidhaa nzuri kweli, sio tena ukale hela za mchina wa...
11 years ago
GPLJOKATE MWEGELO AZINDUA MRADI MPYA WA KIDOTI
10 years ago
GPLKIDOTI KUSHIRIKIANA NA KAMPUNI YA RAINBOW SHELL CRAFT YA CHINA
10 years ago
Bongo Movies20 Dec
Kidoti kushirikiana na kampuni ya china kutengeneza nywele na bidhaa nyingine
MWANADADA ambaye ni mwanamitindo, mwanamuziki na mtangazaji, Jokate Mwegelo, jana amesaini makubaliano ya kushirikiana kibiashara na Kampuni ya Rainbow Shell Craft ya China.
Kampuni hizo mbili zitashirikiana katika kuzalisha baadhi ya bidhaa kama nywele (wigi) , ndala, sendozi nakadhalika.
9 years ago
BBCSwahili17 Aug
Ramos asaini mkataba mpya