Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JOKATE MWEGELO AZINDUA MRADI MPYA WA KIDOTI

  Jokate Mwegelo akibadilishana mawazo na baadhi ya wafanyakazi wa saluni hiyo muda mfupi kabla ya kuzungumza na waandishi wa habari. Waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari wakifuatilia matukio.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Jokate Mwegelo msemaji kamati mpya Miss Tanzania

Jokate-4-600x989NA ESTHER MNYIKA

MSIMAMIZI wa mashindano ya Urembo Tanzania, ‘Miss Tanzania’, Hashimu Lundenga, ametambulisha kamati mpya ya muda inayoundwa na wajumbe 12 akiwemo Jokate Mwegelo aliyekuwa Miss Tanzania namba mbili mwaka 2006.

Mwenyekiti wa kamati hiyo ni Juma Pinto, makamu mwenyekiti, Lucas Ritta, katibu mkuu ni Doris Mollel na Joketi Mwegelo ambaye ndiye anakuwa msemaji wa kamati hiyo.

Wajumbe wengine ni Hoyce Temu, Mohamed Bawazir, Gladyz Shao, Magdalena Munisi, Shah Ramadhani, Hamm...

 

9 years ago

Bongo5

Kamati mpya ya Miss Tanzania yatambulishwa, wamo warembo Jokate Mwegelo na Hoyce Temu

Kamati mpya ya Miss Tanzania imetambulishwa rasmi leo August 27, 2015, na miongoni mwa wajumbe yumo Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu pamoja na Jokate Mwegelo ambaye ni msemaji wa kamati hiyo. Mabadiliko hayo yamekuja wiki moja toka Baraza La Sanaa la Taifa, BASATA kulifungulia shindano hilo lililofungiwa kwa miaka miwili. “Kwa niaba ya kamati mpya […]

 

10 years ago

Michuzi

Jokate Mwegelo atoa Zawadi za Krismas na Mwaka Mpya kwa Kituo cha Yatima cha Extrem, Tandare

MISS Tanzania namba mbili 2006, mbunifu mavazi na muigizaji wa filamu za kibongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’,  leo ametoa msaada wa vitu mbalimbali katika Kituo cha Kulea Yatima cha Extrem kilichopo  Tandare kwa Bi Mtumwa, Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
Mrembo huyo ambaye pia ni mkurugenzi  wa kampuni ya  Kidoti inayojihusisha na masuala ya urembo, alitoa msaada huo kama zawadi yake ya Sikukuu ya Krismas na Mwaka Mpya kwa watoto hao kama sehemu ya kuwafariji ili nao kujiona wako sawa na...

 

10 years ago

Mtanzania

Jokate Mwegelo: Wasanii wa nje wameendeleza vipaji vyetu

JOKATENA JENNIFER ULLEMBO
MWANAMITINDO Jokate Mwegelo ‘Jojo’, ameweka wazi kwamba tabia ya kuwashirikisha wasanii maarufu kutoka nje ya nchi katika baadhi ya nyimbo za wasanii wa ndani kumeinua na kuendeleza vipaji vya wanamuziki wa Tanzania.
Jokate alisema hali hiyo ndiyo iliyomsukuma aendelee kuwashirikisha wasanii wa nje katika muziki anaofanya ili akuze kipaji na kutanua soko la muziki wake.
“Jina langu limepiga hatua kubwa katika masuala ya mitindo na ubunifu, hivyo nataka nijulikane zaidi na...

 

10 years ago

Michuzi

Criss Mauki, Jokate Mwegelo, Siza Ma-MC Siku Ya Msanii

BALOZI wa Redd’s Jokate Mwegelo, Dk. Criss Mauki wametangazwa kuwa washehereheshaji katika maadhimisho ya Siku Ya Msanii Tanzania yanayotarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu katika ukumbi wa Mlimani City. Akizungumza jijini Dar es Salaam, Mratibu wa Siku Ya Msanii, Justin Jones alisema kutakuwa na washehereheshaji watatu katika siku hiyo ambapo Criss, Jokate wataungana na MC mwingine Siza Daniel katika kupendezesha shughuli hiyo.  “Tulikuwa na idadi kubwa ya watu ambao walitajwa ili wawe...

 

11 years ago

Michuzi

Jokate Mwegelo awataka wahitimu wa vyuo vikuu kujiajiri

Mbunifu wa mitindo na Miss Tanzania namba mbili wa mwaka 2006,Jokate Mwegelo akizungumza na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika kongamano la 2014 Market Forum lililofanyika kwenye ukumbi wa Nkrumah. Mrembo na mbunifu wa mitindo huyo aliwataka wanafunzi wajiajiri mara wamalizapo masomo yao kutokana na ugumu wa soko la ajira. Mbunifu wa mitindo na Miss Tanzania namba mbili wa mwaka 2006,Jokate Mwegelo akiwa katika picha ya pamoja na kamati ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar...

 

10 years ago

Vijimambo

JOKATE KIDOTI ASAINI MKATABA WA SH. BILIONI 8.5 NA KAMPUNI YA KICHINA

Jokate Mwegelo akizungumza katika hafla hiyo.Afisa Mtendaji mkuu wa kampuni ya Rainbow Shell Craft Company Limited (CEO), Deng Guoxun akuzungumza katika hafla hiyoJokate na Guoxun wakionyesha mikataba baada ya kusaini.Jokate na Guoxun wakibadilishana mikataba baada ya kusainiJokate akiteta jambo na Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa kwenye hafla hiyo.Wageni mbalimbali waalikwa wakishughudia hafla hiyoMeya wa Manispaa ya Ilala akiteta jambo na Mbunge wa Viti maalum (CCM) Mariam Kisangi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani