Jokate Mwegelo atoa Zawadi za Krismas na Mwaka Mpya kwa Kituo cha Yatima cha Extrem, Tandare
MISS Tanzania namba mbili 2006, mbunifu mavazi na muigizaji wa filamu za kibongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’, leo ametoa msaada wa vitu mbalimbali katika Kituo cha Kulea Yatima cha Extrem kilichopo Tandare kwa Bi Mtumwa, Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
Mrembo huyo ambaye pia ni mkurugenzi wa kampuni ya Kidoti inayojihusisha na masuala ya urembo, alitoa msaada huo kama zawadi yake ya Sikukuu ya Krismas na Mwaka Mpya kwa watoto hao kama sehemu ya kuwafariji ili nao kujiona wako sawa na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLJOKATE ATOA MISAADA KITUO CHA KULEA YATIMA CHA EXTREME KILICHOPO TANDALE KWA BI MTUMWA, DAR ES SALAAM
10 years ago
MichuziJokate atoa misaada kituo cha kulea Yatima cha Extreme kilichopo Tandale kwa Bi Mtumwa, Dar es salaam
10 years ago
CloudsFM29 Dec
JOKATE ATOA MISAADA KITUO CHA KULEA YATIMA CHA EXTREME
Miss Tanzania namba mbili 2006, mwanamitindo na mcheza filamu, Jokate Mwegello, akicheza na mmoja wa watoto wanaolelewa katika Kituo cha Yatima cha Extrem cha Tandale kwa Bi Mwamvua Jumanne, alipotembelea kuwapa zawadi ya Sikukuu ya Krismas na Mwaka Mpya. Zawadi alizotoa ni mchele, unga wa sembe, sabuni na ndala zenye nembo za Kidoti.
Jokate Mwegello, akicheza na mmoja wa watoto wanaolelewa katika Kituo cha Yatima cha Extrem cha Tandale kwa Bi Mwamvua Jumanne.
9 years ago
MichuziGEPF WASHEREHEKEA MWAKA MPYA KWA KUTOA MSAADA WA KITUO CHA WATOTO YATIMA KIJIJI CHA FURAHA KILICHOPO MBWENI JIJINI DAR
9 years ago
MichuziRais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli Atoa Mkono wa Krismas na Mwaka Mpya kwa Wazee wa Kijiji cha Welezo Zanzibar.
Mlukulu wa Ikulu Zanzibar Ndg Ameir Ali Khatib akimkabidhi Mbuzi Sister Mary Gemma wa kituo cha Wazee Welezo, hafla hiyo imefanyika katika makaazi ya Wazee hao Welezo Zanzibar, Vyakula hivyo vimetolewa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli kwa ajili ya Wazee hao kujumuiika na Wananchi katika kusherehekea Sikukuu ya Krismas na Mwaka Mpya.
10 years ago
MichuziKITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHA AMANI ORPHANAGE CENTER CHA POKEA ZAWADI NA MSAADA WA MAANDALIZI YA KRISMASI KUTOKA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-qnOeMNPIki8/VLEtRk-Wl6I/AAAAAAAG8cw/dWJvyzQQZnY/s72-c/DSCF9545.jpg)
TANESCO YASHEREHEKEA MWAKA MPYA NA WATOTO YATIMA WA KITUO CHA CHAKUWAMA,SINZA JIJINI DAR
![](http://2.bp.blogspot.com/-qnOeMNPIki8/VLEtRk-Wl6I/AAAAAAAG8cw/dWJvyzQQZnY/s1600/DSCF9545.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-jJriTVH01Ac/VLEs1jw4nDI/AAAAAAAG8cQ/pcTtoZVFFTQ/s1600/DSCF9437.jpg)
9 years ago
MichuziRAIS MAGUFULI ATOA ZAWADI ZA SIKUKUU YA KRISMASI KWA WATOTO WANAOISHI KWENYE KITUO CHA KUHUDUMIA WATOTO WA KIJIJI CHA MATUMAINI MKOANI DODOMA.
11 years ago
MichuziMlezi wa kwaya ya Kanisa Katholiki ya Mtakatifu Aloyce Gonzaga atoa msaada wa bidhaa mbali mbali kwa kituo cha kulelewa Watoto Yatima cha Casa Della Diaia,Tanga