Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Criss Mauki, Jokate Mwegelo, Siza Ma-MC Siku Ya Msanii

BALOZI wa Redd’s Jokate Mwegelo, Dk. Criss Mauki wametangazwa kuwa washehereheshaji katika maadhimisho ya Siku Ya Msanii Tanzania yanayotarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu katika ukumbi wa Mlimani City. Akizungumza jijini Dar es Salaam, Mratibu wa Siku Ya Msanii, Justin Jones alisema kutakuwa na washehereheshaji watatu katika siku hiyo ambapo Criss, Jokate wataungana na MC mwingine Siza Daniel katika kupendezesha shughuli hiyo.  “Tulikuwa na idadi kubwa ya watu ambao walitajwa ili wawe...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

JOKATE MWEGELO AZINDUA MRADI MPYA WA KIDOTI

  Jokate Mwegelo akibadilishana mawazo na baadhi ya wafanyakazi wa saluni hiyo muda mfupi kabla ya kuzungumza na waandishi wa habari. Waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari wakifuatilia matukio.…

 

11 years ago

Michuzi

Jokate Mwegelo awataka wahitimu wa vyuo vikuu kujiajiri

Mbunifu wa mitindo na Miss Tanzania namba mbili wa mwaka 2006,Jokate Mwegelo akizungumza na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika kongamano la 2014 Market Forum lililofanyika kwenye ukumbi wa Nkrumah. Mrembo na mbunifu wa mitindo huyo aliwataka wanafunzi wajiajiri mara wamalizapo masomo yao kutokana na ugumu wa soko la ajira. Mbunifu wa mitindo na Miss Tanzania namba mbili wa mwaka 2006,Jokate Mwegelo akiwa katika picha ya pamoja na kamati ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar...

 

10 years ago

Mtanzania

Jokate Mwegelo: Wasanii wa nje wameendeleza vipaji vyetu

JOKATENA JENNIFER ULLEMBO
MWANAMITINDO Jokate Mwegelo ‘Jojo’, ameweka wazi kwamba tabia ya kuwashirikisha wasanii maarufu kutoka nje ya nchi katika baadhi ya nyimbo za wasanii wa ndani kumeinua na kuendeleza vipaji vya wanamuziki wa Tanzania.
Jokate alisema hali hiyo ndiyo iliyomsukuma aendelee kuwashirikisha wasanii wa nje katika muziki anaofanya ili akuze kipaji na kutanua soko la muziki wake.
“Jina langu limepiga hatua kubwa katika masuala ya mitindo na ubunifu, hivyo nataka nijulikane zaidi na...

 

9 years ago

Mtanzania

Jokate Mwegelo msemaji kamati mpya Miss Tanzania

Jokate-4-600x989NA ESTHER MNYIKA

MSIMAMIZI wa mashindano ya Urembo Tanzania, ‘Miss Tanzania’, Hashimu Lundenga, ametambulisha kamati mpya ya muda inayoundwa na wajumbe 12 akiwemo Jokate Mwegelo aliyekuwa Miss Tanzania namba mbili mwaka 2006.

Mwenyekiti wa kamati hiyo ni Juma Pinto, makamu mwenyekiti, Lucas Ritta, katibu mkuu ni Doris Mollel na Joketi Mwegelo ambaye ndiye anakuwa msemaji wa kamati hiyo.

Wajumbe wengine ni Hoyce Temu, Mohamed Bawazir, Gladyz Shao, Magdalena Munisi, Shah Ramadhani, Hamm...

 

10 years ago

Bongo Movies

Jokate Mwegelo Afunguka kwa Mara ya Kwanza Kuhusu Uhusiano Wake na Alikiba

Wengi wanaamini kuwa Jokate Mwegelo na Alikiba kwasasa ni mtu na mpenzi wake japo wao hawajathibitisha hilo rasmi. Tetesi na hisia juu ya wawili hao kuzama kwenye dimbwi la mahaba zinachangiwa na picha zao kadhaa zinazoenea kwenye mtandao picha wa Instagram.

Lakini hatimaye Jokate amefunguka kwa mara ya kwanza kupitia mahojiano yake na Global TV. “Ni kwasababu Alikiba anapenda sana muziki na anajua muziki na anajua style mbalimbali.

Halafu ukitaka kuwa the best you obviously need to be...

 

9 years ago

Bongo5

Kamati mpya ya Miss Tanzania yatambulishwa, wamo warembo Jokate Mwegelo na Hoyce Temu

Kamati mpya ya Miss Tanzania imetambulishwa rasmi leo August 27, 2015, na miongoni mwa wajumbe yumo Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu pamoja na Jokate Mwegelo ambaye ni msemaji wa kamati hiyo. Mabadiliko hayo yamekuja wiki moja toka Baraza La Sanaa la Taifa, BASATA kulifungulia shindano hilo lililofungiwa kwa miaka miwili. “Kwa niaba ya kamati mpya […]

 

10 years ago

CloudsFM

WAREMBO MISS TEMEKE WAMPONGEZA JOKATE MWEGELO KWA KUPATA MKATABA MNONO WA DOLA MILL.5

Warembo walioshika nafasi za kwanza katika mashindano ya umiss wakimpongeza mrembo mwenzao Jokate Mwegelo baada ya kupata mkataba mnono wa dola mill.5 katiba sherehe iliyofanyika hivi karibuni katika hotel ya Kempinski,jijini Dar.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani