Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAREMBO MISS TEMEKE WAMPONGEZA JOKATE MWEGELO KWA KUPATA MKATABA MNONO WA DOLA MILL.5

Warembo walioshika nafasi za kwanza katika mashindano ya umiss wakimpongeza mrembo mwenzao Jokate Mwegelo baada ya kupata mkataba mnono wa dola mill.5 katiba sherehe iliyofanyika hivi karibuni katika hotel ya Kempinski,jijini Dar.

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

warembo wa miss temeke wampongeza Joketi Mwegelo kwa kupata mkataba mnono wa dola milion 5

Warembo walioshika nafasi za kwanza za Miss Temeke walipofanya hafla ya kumpongeza Joketi Mwegelo kwa mafanikio ya kupata mkataba mnono wa dola milion 5 hivi karibuni. Hafla ya kumpongeza ilifanyika juzi kwenye hoteli ya Kempiski Kilimanjaro hotel jijini Dar es salaam. Kutoka kushoto; Miss Temeke 2004, Cecylia Assey, Happyness Magese ' Millen' (2001), Joketi Mwegelo ( 2006) na Miss Temeke 2014, Sitti Mtemvu. Nyuma Mshindi wa tatu 2013, Edda Sylvester, mshindi wa pili 2013, Narietha Boniface...

 

9 years ago

Bongo5

Kamati mpya ya Miss Tanzania yatambulishwa, wamo warembo Jokate Mwegelo na Hoyce Temu

Kamati mpya ya Miss Tanzania imetambulishwa rasmi leo August 27, 2015, na miongoni mwa wajumbe yumo Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu pamoja na Jokate Mwegelo ambaye ni msemaji wa kamati hiyo. Mabadiliko hayo yamekuja wiki moja toka Baraza La Sanaa la Taifa, BASATA kulifungulia shindano hilo lililofungiwa kwa miaka miwili. “Kwa niaba ya kamati mpya […]

 

9 years ago

Mtanzania

Jokate Mwegelo msemaji kamati mpya Miss Tanzania

Jokate-4-600x989NA ESTHER MNYIKA

MSIMAMIZI wa mashindano ya Urembo Tanzania, ‘Miss Tanzania’, Hashimu Lundenga, ametambulisha kamati mpya ya muda inayoundwa na wajumbe 12 akiwemo Jokate Mwegelo aliyekuwa Miss Tanzania namba mbili mwaka 2006.

Mwenyekiti wa kamati hiyo ni Juma Pinto, makamu mwenyekiti, Lucas Ritta, katibu mkuu ni Doris Mollel na Joketi Mwegelo ambaye ndiye anakuwa msemaji wa kamati hiyo.

Wajumbe wengine ni Hoyce Temu, Mohamed Bawazir, Gladyz Shao, Magdalena Munisi, Shah Ramadhani, Hamm...

 

5 years ago

Michuzi

KIWANDA KURUDISHA SHUKRANI KWA RAIS MAGUFULI KWA KUGAWA CHAKI BURE ...DC JOKATE MWEGELO ATOA NENO


Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani Jokate Mwegelo(aliyevaa nguo nyekundu),Katibu Tawala wa wilaya hiyo Tella Mwampamba(kulia) wakiwa na baadhi ya wafanyakazi na viongozi wa kiwanda cha kutengeneza chaki cha Mkongoma General Supply Ltd wakishuhudia taa zikiwaka baada ya Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO) wilayani humo kupeleka umeme katka kiwanda hicho.
Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha Mkongoma General Supply Ltd Geoffrey Mkongoma (kulia) akifafanua jambo kwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe...

 

10 years ago

Bongo Movies

Jokate Mwegelo Afunguka kwa Mara ya Kwanza Kuhusu Uhusiano Wake na Alikiba

Wengi wanaamini kuwa Jokate Mwegelo na Alikiba kwasasa ni mtu na mpenzi wake japo wao hawajathibitisha hilo rasmi. Tetesi na hisia juu ya wawili hao kuzama kwenye dimbwi la mahaba zinachangiwa na picha zao kadhaa zinazoenea kwenye mtandao picha wa Instagram.

Lakini hatimaye Jokate amefunguka kwa mara ya kwanza kupitia mahojiano yake na Global TV. “Ni kwasababu Alikiba anapenda sana muziki na anajua muziki na anajua style mbalimbali.

Halafu ukitaka kuwa the best you obviously need to be...

 

10 years ago

Michuzi

Jokate Mwegelo atoa Zawadi za Krismas na Mwaka Mpya kwa Kituo cha Yatima cha Extrem, Tandare

MISS Tanzania namba mbili 2006, mbunifu mavazi na muigizaji wa filamu za kibongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’,  leo ametoa msaada wa vitu mbalimbali katika Kituo cha Kulea Yatima cha Extrem kilichopo  Tandare kwa Bi Mtumwa, Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
Mrembo huyo ambaye pia ni mkurugenzi  wa kampuni ya  Kidoti inayojihusisha na masuala ya urembo, alitoa msaada huo kama zawadi yake ya Sikukuu ya Krismas na Mwaka Mpya kwa watoto hao kama sehemu ya kuwafariji ili nao kujiona wako sawa na...

 

11 years ago

GPL

JOKATE MWEGELO AZINDUA MRADI MPYA WA KIDOTI

  Jokate Mwegelo akibadilishana mawazo na baadhi ya wafanyakazi wa saluni hiyo muda mfupi kabla ya kuzungumza na waandishi wa habari. Waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari wakifuatilia matukio.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani