KIDOTI KUSHIRIKIANA NA KAMPUNI YA RAINBOW SHELL CRAFT YA CHINA
Jokate Mwegelo akisoma hotuba kwa waandishi wa habari(hawapo pichani). Jokate akionyesha moja ya bidhaa inayozalishwa na kampuni hiyo.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM22 Dec
Jokate aingia mkataba na kampuni ya Rainbow Shell Craft ya China
Jokate amesema amefurahishwa kuingia kwenye mkataba na kampuni hiyo kwani mbali na masuala ya urembo pia kupitia brand yake anatarajia kuongeza ajira kwa akina mama kwani kitajengwa kiwanda ambacho kitatoa ajira kwao.
“Hii ni fursa kubwa kwetu Tanzania, nawashukuru sana vijana wenzangu ambao tulikaa na kubuni brand ya Kidoti, leo imenipa...
10 years ago
Bongo Movies20 Dec
Kidoti kushirikiana na kampuni ya china kutengeneza nywele na bidhaa nyingine
MWANADADA ambaye ni mwanamitindo, mwanamuziki na mtangazaji, Jokate Mwegelo, jana amesaini makubaliano ya kushirikiana kibiashara na Kampuni ya Rainbow Shell Craft ya China.
Kampuni hizo mbili zitashirikiana katika kuzalisha baadhi ya bidhaa kama nywele (wigi) , ndala, sendozi nakadhalika.
10 years ago
VijimamboJOKATE KIDOTI ASAINI MKATABA WA SH. BILIONI 8.5 NA KAMPUNI YA KICHINA
10 years ago
Africanjam.Com![](http://2.bp.blogspot.com/-5SvHKGQbExQ/VciqN5mQ4oI/AAAAAAAADPs/DCrdZtW6260/s72-c/CK-3y6HWoAANwgJ.png)
KIDOTI: JIPATIE SASA BIDHAA ZA KIDOTI KUPITIA KAYMU
![](http://2.bp.blogspot.com/-5SvHKGQbExQ/VciqN5mQ4oI/AAAAAAAADPs/DCrdZtW6260/s1600/CK-3y6HWoAANwgJ.png)
A fast growing hair and shoes company in Tanzania, Kidoti, is now getting closer to you. From now you can purchase Kidoti products more easier than before through Kaymu, Remember, your lookn is the first thing that introduces you to the society, maintain your good look with Kidoti.
Follow this link to purchase Kidoti products: bit.ly/1h1IAzU
Kampuni ya nywele inayokua kwa kasi nchini Tanzania ya Kidoti sasa imekusogelea zaidi pale ulipo na kukuwezesha kupata bidhaa unazitaka kwa urahisi...
11 years ago
Habarileo22 Jan
Kampuni ya Mantra kushirikiana na jamii
KAMPUNI ya Mantra Tanzania inayosimamia mradi wa uchimbaji urani eneo la mto Mkuju wilayani Namtumbo Mkoa wa Ruvuma, imesisitiza kushirikiana na jamii inayozunguka eneo la mradi kwa kusaidia shughuli mbalimbali, zikiwemo za kijamii. Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Asa Mwaipopo alisema hayo jijini Dar es Salaam leo wakati akizungumza na waandishi wa habari.
10 years ago
BBCSwahili17 Nov
China na Australia kushirikiana kibiashara
11 years ago
Habarileo14 Feb
China, Tanzania kushirikiana usafiri wa anga
SERIKALI imesaini na China makubaliano ya mkataba wa usalama wa usafiri wa anga, ambao wataalamu wa masuala hayo wa China, watakuwa wasimamizi wakuu kwa kutoa msaada wa kiufundi nchini.
9 years ago
Habarileo15 Dec
Tanzania, China kushirikiana katika ulinzi na usalama
SERIKALI ya Tanzania na China zimesaini Hati ya Makubaliano inayolenga kuimarisha zaidi ushirikiano katika masuala ya ulinzi na usalama wa raia na mali zao baina ya nchi hizo mbili.