Jokate asaini mkataba wa thamani ya Sh8.5 bilioni na kampuni ya Kichina
Jokate Mwegelo akizungumza katika hafla hiyo.
Na Mwandishi wetu
Mbunifu mavazi, Miss Tanzania wa namba mbili 2006, mwanamuziki na muigizaji wa filamu, Jokate Mwegelo amesaini makubaliano yenye thamani ya Sh8.5 billion na kampuni ya Kichina, Rainbow Shell Craft Company Limited kwa ajili ya kuzalisha na kuuza bidhaa mbalimbali za lebo yake ya Kidoti.
Makubaliano hayo yalisainiwa jana kwenye hotel ya Serena baina ya Jokate na Afisa Mtendaji mkuu wa kampuni ya Rainbow Shell Craft Company...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziJokate asaini mkataba wa thamani ya Sh8.5 bilioni na kampuni ya Kichina
10 years ago
VijimamboJOKATE KIDOTI ASAINI MKATABA WA SH. BILIONI 8.5 NA KAMPUNI YA KICHINA
10 years ago
Mwananchi20 Dec
Jokate alamba mkataba Sh8.5 bil
10 years ago
CloudsFM22 Dec
Jokate aingia mkataba na kampuni ya Rainbow Shell Craft ya China
Jokate amesema amefurahishwa kuingia kwenye mkataba na kampuni hiyo kwani mbali na masuala ya urembo pia kupitia brand yake anatarajia kuongeza ajira kwa akina mama kwani kitajengwa kiwanda ambacho kitatoa ajira kwao.
“Hii ni fursa kubwa kwetu Tanzania, nawashukuru sana vijana wenzangu ambao tulikaa na kubuni brand ya Kidoti, leo imenipa...
10 years ago
Bongo Movies10 Jun
Riyama Ally Ala Shavu, Asaini Mkataba ‘Mnono’ na Kampuni Kubwa ya Filamu Nchini Kenya
Staa wa Bongo Movies, Riyama Ally amesaini mkataba mnono wa kucheza filamu na kampuni maarufu ya kusambaza filamu nchini Kenya.
Riyama alisema kuwa amefanya mazungumzo na kampuni hiyo mjini Mombasa na tayari wameshaanza kufanya kazi na kumlipa kitita kinono cha fedha ambacho hakukitaja.
Aidha amesema kuwa wadau wengine wa filamu nchini Kenya wametangaza dau kubwa zaidi ili msanii huyo aweze kucheza tamthilia zinazorushwa kwenye Televisheni mbali mbali nchini humo.
Cloudsfm.com
10 years ago
Bongo Movies20 Dec
Alichosema Diamond Platnumz baada ya Jokate kuingia mkataba wa kibiashara na kampuni toka CHINA
Baada ya mwanadada Jokate kupitia kampuni yake ya KIDOTi kuingia mkataba mnono wa bidhaa zake na kampuni ya wachina, msanii Dimaond Platnumz amefunguka haya yafuatayo…
“..Kama muekezaji wa nje ameweza kuona Potential na kumuamini kidoti na kuamua kuwekeza kwenye bidhaa zake...kwanini sisi tusimuamini???.. nafikiri huu ni wakati muafaka wa kuanza kuthamini na kusupport brand zetu za nyumbani.. Hongera sana Kate... sema sasa ututolee bidhaa nzuri kweli, sio tena ukale hela za mchina wa...
10 years ago
Dewji Blog29 May
Mwenge wa Uhuru wazindua magari mapya ya kampuni ya Green Waste Pro Ltd yenye thamani ya shilingi Bilioni 1.6
Kiongozi wa Wakimbiza Mwenge Kitaifa, Bw. Juma Khatibu Chum akiwa ameshika Mwenge baada ya kufika mtaa wa Kisutu jijini Dar kwenye uzinduzi wa magari mapya ya kuzoa taka katika manispaa ya Ilala yanayomilikiwa na kampuni ya Green WastePro ltd.(Picha zote na Geofrey Adroph wa Pamoja Blog).
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi akizungumza jambo mara baada ya Mwenge wa Uhuru kufika eneo la Kisutu jijini Dar kwa ajili ya ufunguzi wa Magari ya kisasa ya kuzoa taka.
Kiongozi wa mbio za...
10 years ago
VijimamboMWENGE WA UHURU WAZINDUA MAGARI YA UKUSANYAJI TAKA YA KAMPUNI YA GREEN WASTE PRO LTD YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 1.6
10 years ago
GPLMWENGE WA UHURU WAZINDUA MAGARI YA UKUSANYAJI TAKA YA KAMPUNI YA GREEN WASTE PRO LTD YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 1.6