Alichosema Diamond Platnumz baada ya Jokate kuingia mkataba wa kibiashara na kampuni toka CHINA
Baada ya mwanadada Jokate kupitia kampuni yake ya KIDOTi kuingia mkataba mnono wa bidhaa zake na kampuni ya wachina, msanii Dimaond Platnumz amefunguka haya yafuatayo…
“..Kama muekezaji wa nje ameweza kuona Potential na kumuamini kidoti na kuamua kuwekeza kwenye bidhaa zake...kwanini sisi tusimuamini???.. nafikiri huu ni wakati muafaka wa kuanza kuthamini na kusupport brand zetu za nyumbani.. Hongera sana Kate... sema sasa ututolee bidhaa nzuri kweli, sio tena ukale hela za mchina wa...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM22 Dec
Jokate aingia mkataba na kampuni ya Rainbow Shell Craft ya China
Jokate amesema amefurahishwa kuingia kwenye mkataba na kampuni hiyo kwani mbali na masuala ya urembo pia kupitia brand yake anatarajia kuongeza ajira kwa akina mama kwani kitajengwa kiwanda ambacho kitatoa ajira kwao.
“Hii ni fursa kubwa kwetu Tanzania, nawashukuru sana vijana wenzangu ambao tulikaa na kubuni brand ya Kidoti, leo imenipa...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-ccqFpPhBc34/VBGuBz9iYgI/AAAAAAAGi8I/aH55bE2LWKM/s72-c/bandari.jpg)
Mgawe akiri kuusaini Mkataba wa kibiashara kati ya TPA na Kampuni ya China Communications Company Ltd (CCCCL)
![](http://3.bp.blogspot.com/-ccqFpPhBc34/VBGuBz9iYgI/AAAAAAAGi8I/aH55bE2LWKM/s1600/bandari.jpg)
Aliyekuwa Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Bandari (TPA), Ephraim Mgawe amekiri katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa aliusaini mkataba wa kibiashara kati ya TPA na Kampuni ya China Communications Company Ltd (CCCCL).
Mgawe amekiri kuusaini mkataba huo wa kibiashara leo wakati akisomewa maelezo ya awali (PH) na Wakili wa Serikali, Pius Hilla mbele ya Hakimu Mfawidhi wa mahakama hiyo, Isaya Arufani.
Akisomewa maelezo ya awali yanayohusiana na shtaka la...
10 years ago
Bongo Movies19 Jul
Baada ya Ushindi wa Tuzo, Diamond Atupa Dongo kwa Jokate, Jokate Naye Ajibu
Usiku wa jana kuamkia leo July 19 2015 Diamond Platnumz kanyanyua ushindi mwingine kwenye Tuzo za MTVMAMA2015, zilizokuwa zikitolewa Durban Africa Kusini.
Leo Diamond alipost Video inayomwonesha staa wa Mitindo Bongo, mrembo Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ akicheza wimbo wa ‘Mdogomdogo‘ alafu akaandikia hivi >>>> ‘Mbona Bado, Mtanyooka tu..‘ >>>> @ diamondplatnumz
Baadae Jokate nae akaandika kwenye ukurasa wake wa @Instagram kuhusu video hiyo ambayo alimpost Diamond.
Tuki-support mtu ndio kama hivi...
10 years ago
VijimamboJOKATE KIDOTI ASAINI MKATABA WA SH. BILIONI 8.5 NA KAMPUNI YA KICHINA
10 years ago
Dewji Blog21 Dec
Jokate asaini mkataba wa thamani ya Sh8.5 bilioni na kampuni ya Kichina
Jokate Mwegelo akizungumza katika hafla hiyo.
Na Mwandishi wetu
Mbunifu mavazi, Miss Tanzania wa namba mbili 2006, mwanamuziki na muigizaji wa filamu, Jokate Mwegelo amesaini makubaliano yenye thamani ya Sh8.5 billion na kampuni ya Kichina, Rainbow Shell Craft Company Limited kwa ajili ya kuzalisha na kuuza bidhaa mbalimbali za lebo yake ya Kidoti.
Makubaliano hayo yalisainiwa jana kwenye hotel ya Serena baina ya Jokate na Afisa Mtendaji mkuu wa kampuni ya Rainbow Shell Craft Company...
10 years ago
MichuziJokate asaini mkataba wa thamani ya Sh8.5 bilioni na kampuni ya Kichina
11 years ago
Dewji Blog29 Jun
Airtel Tanzania ni kampuni ya kwanza ya mawasiliano nchini kuingia mkataba wa ushirikiano na Apple
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Bi. Beatrice Singano Mallya (wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati Kampuni ya Airtel kwa kushirikiana na Apple ilipofanya uzinduzi wa simu mpya ya iPhone 5s pamoja na ofa kabambe kwa wateja wa Airtel, katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Ofa hiyo itawawezesha wateja wa Airtel kupata sms 5000, muda wa maongezi dakika 1500 pamoja na kifurushi cha internet cha 3GB. Wanaoshuhudia ni Meneja Masoko wa Airtel, Prisca Tembo...
9 years ago
Bongo Movies02 Jan
‘Ninja’ Kisa cha Mapenzi Toka China Hadi Bongo, Kuingia Sokoni
Ninja Revenge of Love ni kisa kinachomkuta Mr potlee ambaye mara baada ya kutoka China anaonekana na mwanamke wa kichina wakati Tanzania ana mwanamke ambaye ni askari wa jeshi la polisi Tanzania ,je nini kitatokea?
Filamu ya Ninja Revenge of Love chini ya usambazaji wa Steps Entertainment itaingia sokoni kesho kutwa tarehe 04.01.2016.
Jipatie nakala yako.
9 years ago
Dewji Blog09 Sep
Maonesho ya bidhaa toka China (Brands of China) kurindima Sept 10 hadi 13 ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar
Mkurugenzi wa Tanzania Chamber of Commerce, Industry and Agriculture (TCCIA), Daniel Machemba akizungumza na wageni waalikwa (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa maonesho ya bidhaa toka China (Brands of China) yanayotarajiwa kuanza Sept 10 hadi 13 mwaka huu katika ukumbi Diamond Jubilee.
Mkurugenzi wa huduma za wanachama wa TPSF, Louis Accaro (kulia) akibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa Tanzania Chamber of Commerce, Industry and Agriculture (TCCIA), Daniel Machemba wakati wa uzinduzi...