Mgawe akiri kuusaini Mkataba wa kibiashara kati ya TPA na Kampuni ya China Communications Company Ltd (CCCCL)
![](http://3.bp.blogspot.com/-ccqFpPhBc34/VBGuBz9iYgI/AAAAAAAGi8I/aH55bE2LWKM/s72-c/bandari.jpg)
Na Mwene Said wa Blogu ya Jamii
Aliyekuwa Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Bandari (TPA), Ephraim Mgawe amekiri katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa aliusaini mkataba wa kibiashara kati ya TPA na Kampuni ya China Communications Company Ltd (CCCCL).
Mgawe amekiri kuusaini mkataba huo wa kibiashara leo wakati akisomewa maelezo ya awali (PH) na Wakili wa Serikali, Pius Hilla mbele ya Hakimu Mfawidhi wa mahakama hiyo, Isaya Arufani.
Akisomewa maelezo ya awali yanayohusiana na shtaka la...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies20 Dec
Alichosema Diamond Platnumz baada ya Jokate kuingia mkataba wa kibiashara na kampuni toka CHINA
Baada ya mwanadada Jokate kupitia kampuni yake ya KIDOTi kuingia mkataba mnono wa bidhaa zake na kampuni ya wachina, msanii Dimaond Platnumz amefunguka haya yafuatayo…
“..Kama muekezaji wa nje ameweza kuona Potential na kumuamini kidoti na kuamua kuwekeza kwenye bidhaa zake...kwanini sisi tusimuamini???.. nafikiri huu ni wakati muafaka wa kuanza kuthamini na kusupport brand zetu za nyumbani.. Hongera sana Kate... sema sasa ututolee bidhaa nzuri kweli, sio tena ukale hela za mchina wa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-oKdGspez5g0/Xmt5UMlE_FI/AAAAAAALi5Q/xbHCT4-uv0sXoPmKreG7BomvvCJVEOlyQCLcBGAsYHQ/s72-c/a3190650-3984-478c-87e5-2aae7f3a29f4.jpg)
SERIKALI YATHIBITISHA KUVUNJA MKATABA KATI YA JESHI LA ZIMAMOTO NA KAMPUNI YA ROM SOLUTION
Charles James, Michuzi TV
SERIKALI imesema imevunja mkataba baina ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Kampuni ya ROM Solution Co. Ltd ambao ulikua wa ununuzi wa vifaa vya jeshi hilo wenye thamani ya zaidi ya Shilingi Trilioni moja.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe George Simbachawene leo jijini Dodoma ambapo amesema makubaliano hayo yalishavunjwa...
10 years ago
CloudsFM22 Dec
Jokate aingia mkataba na kampuni ya Rainbow Shell Craft ya China
Jokate amesema amefurahishwa kuingia kwenye mkataba na kampuni hiyo kwani mbali na masuala ya urembo pia kupitia brand yake anatarajia kuongeza ajira kwa akina mama kwani kitajengwa kiwanda ambacho kitatoa ajira kwao.
“Hii ni fursa kubwa kwetu Tanzania, nawashukuru sana vijana wenzangu ambao tulikaa na kubuni brand ya Kidoti, leo imenipa...
11 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/01/211.jpg)
KAMPUNI YA VIJANA WA KITANZANIA YA (CHINA WORD BUZ) KUWAKOMBOA WAFANYABIASHARA WADOGO NA WA KATI
10 years ago
GPLNHC, UCHUMI SUPERMARKET WASAINI MKATABA KIBIASHARA
9 years ago
MichuziKAMPUNI YA TINGATINGA IMEINGIA MKATABA NA KAMPUNI YA BRICOLEUR HOLDINGS Co.LIMITED YA JAPAN.
Makabidhiano ya Mkataba huo yamefanyika leo mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi wa Kampuni ya Bricoleurholdings Co.Limited, Shoji Tsuchiya amemkabidhi mkataba huo Mwenyekiti wa Chama Cha Tingatinga, Zack Chimwanda, amesema kuwa kazi hii ya...
10 years ago
Mwananchi20 Nov
‘Tumieni reli ya kati kibiashara’
10 years ago
Mwananchi01 Dec
Kipipa Millers: Kinara kati ya kampuni 100 za kati nchini