Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maonesho ya bidhaa toka China (Brands of China) kurindima Sept 10 hadi 13 ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar

DSC_0307

Mkurugenzi wa Tanzania Chamber of Commerce, Industry and Agriculture (TCCIA), Daniel Machemba akizungumza na wageni waalikwa (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa maonesho ya bidhaa toka China (Brands of China) yanayotarajiwa kuanza Sept 10 hadi 13 mwaka huu katika ukumbi Diamond Jubilee.

DSC_0283

Mkurugenzi wa huduma za wanachama wa TPSF, Louis Accaro (kulia) akibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa Tanzania Chamber of Commerce, Industry and Agriculture (TCCIA), Daniel Machemba wakati wa uzinduzi...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara afungua maonyesho ya bidhaa za China ukumbi wa Diamond Jubilee

katibu_02

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Uledi Mussa akifafanua jambo kwa waandishi wa habari wakati wa kufungua maonyesho ya bidhaa za China 2015,  katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam jana. (Picha na Mpiga picha wetu).

katibu_03

katibu_05 fungua maonyesho1

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Uledi Mussa (katikati) akikata utepe kufungua maonyesho ya  bidhaa za China 2015  katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam jana.

katibu_06 fungua maonyesho00

katibu_04 tembelea

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Uledi Mussa...

 

11 years ago

GPL

MAONESHO YA BIASHARA YA BIDHAA ZA UTURUKI NA TANZANIA YAFUNGULIWA DIAMOND JUBILEE DAR

Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) Dk. Reginald Mengi (wa tatu kulia) akikata utepe kuzinduwa maonesho ya biashara ya bidhaa kutoka nchi za Uturuki na Tanzania leo jijini Dar es Salaam yanayofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee kuanzia leo tarehe 15 hadi tarehe 17, 2014. Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) Dk. Reginald Mengi, ambaye pia ni Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP,...

 

9 years ago

Dewji Blog

Dkt. Magufuli alipotambulishwa kwa wazee wa Dar ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar

 Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahma Kinana alipokuwa anawasili kwenye hafla ya kumtambulisha mgombea wa Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam Jumatano Agosti 19, 2015  Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Makamu wa Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg Philip Mangula alipowasili kwenye hafla ya kumtambulisha mgombea wa Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli katika ukumbi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Maonesho ya bidhaa za Kichina yazinduliwa rasmi Diamond Jubilee

Mh Kigoda pamoja na Balozi wa China Mh Lu Youging wakikata utepe kufungua maonesho ya bidhaa za china

Mh Kigoda pamoja na Balozi wa China Mh Lu Youging wakikata utepe kufungua maonesho ya bidhaa za china.

Waziri wa Viwanda Mh Abdal Kigoda akipeana mkono na balozi wa china Lu Youging ishara ya ushirikiano

Waziri wa Viwanda Mh Dr. Abdallah Kigoda akipeana mkono na balozi wa china Lu Youging ishara ya ushirikiano.

Waziri wa Viwanad na biashara Mh Abdala Kigoda akifungua maonesho ya bidhaa za kichina

Waziri wa Viwanda na biashara Mh Dr. Abdallah Kigoda akifungua maonesho ya bidhaa za kichina.

Meneja Uwekezaji wa Ndani Tanzania Mathew Mnali akihutubia katika mkutano huo.

Meneja Uwekezaji wa Ndani Tanzania Mathew Mnali akihutubia katika mkutano huo.

Mkutano wa uwekezaji baina ya

Mkutano wa uwekezaji baina ya China na Tanzania.

Wananchi kutoka nchini China katika kongamano la uwekezaji.

Wananchi kutoka nchini China katika kongamano la...

 

10 years ago

Michuzi

MAONYESHO YA BIASHARA YA BIDHAA ZA KICHINA KUANZA TAREHE 21 HADI 24 MWEZI HUU DIAMOND JUBILEE

 Mkurugenzi Mkuu wa Chama cha Wafanyabiashara, Viwanda na KilimoTanzania Bw. Daniel Machemba akiongea na waandishi habari (hawapo pichani) kwenye mkutano wa waandishi kuhusu maonyesho ya bidhaa za Kichina, kushoto kwake ni Mwakilishi wa Uchumi na Biashara kutoka Jamhuri ya Watu China nchini Tanzania Bi.Wang Fang, na kulia kwake ni Bi Rehema Mtingwa Afisa wa Mawasiliano kutoka TPSF.   Baadhi wa washiriki waliohudhuria kwenye mkutano wa waandishi kuhusu maonyesho ya bidhaa mbalimbali  za...

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Kigoda afungua maonyesho ya bidhaa zinazozalishwa nchini China leo jijini Dar

Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Abdalah Kigoda na Balozi wa China Nchini Dkt. Lu Youqing wakikata utepe kuashiria ufunguzi wa maonyesho ya siku nne ya bidhaa zinazotengenezwa nchini China.Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Shenzhen Yingli New Energy Resources Honglin Hui (Kulia) akimueleza Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Abdalah Kigoda (kushoto) jinsi Solar Panel inayotengenezwa na kampuni hiyo inavyofanya kazi wakati wa maonyesho ya bidhaa zinazotengenezwa nchini China yaliyofunguliwa leo...

 

9 years ago

GPL

MAGUFULI ALIPOTAMBULISHWA KWA WAZEE WA DAR, UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE

 Mgombea wa Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akisalimia umati  Mgombea wa Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akisalimia umati  Pongezi kwa mgombea wa Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli baada ya kuogea   Meza kuu…

 

11 years ago

Michuzi

makamu wa rais wa china,Li Yuanchao afungua mkutano wa uwekezaji kati ya tanzania na china jijini Dar leo

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Makamu wa Rais wa China, Li Yuanchao wakitazama picha za ziara ya hayati Baba wa taifa Mwalimu Julius Nyerere kabla ya mgeni huyo kufungua mkutano wa Uwekezaji kati ya Tanzania na China kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Dar es salaam  Juni 23, 3014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akimkabidhi zawadi ya kinyago, Makamu wa Rais wa China, Li Yuanchao  kabla ya mgeni huyo kufungua mkutano wa Uwekezaji kati ya Tanzania na China...

 

9 years ago

Bongo Movies

‘Ninja’ Kisa cha Mapenzi Toka China Hadi Bongo, Kuingia Sokoni

ninja654

Ninja Revenge of Love ni kisa kinachomkuta Mr potlee ambaye mara baada ya kutoka China anaonekana na mwanamke wa kichina wakati Tanzania ana mwanamke ambaye ni askari wa jeshi la polisi Tanzania ,je nini kitatokea?
Filamu ya Ninja Revenge of Love chini ya usambazaji wa Steps Entertainment itaingia sokoni kesho kutwa tarehe 04.01.2016.
Jipatie nakala yako.

ninja22

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani