Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAONESHO YA BIASHARA YA BIDHAA ZA UTURUKI NA TANZANIA YAFUNGULIWA DIAMOND JUBILEE DAR

Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) Dk. Reginald Mengi (wa tatu kulia) akikata utepe kuzinduwa maonesho ya biashara ya bidhaa kutoka nchi za Uturuki na Tanzania leo jijini Dar es Salaam yanayofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee kuanzia leo tarehe 15 hadi tarehe 17, 2014. Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) Dk. Reginald Mengi, ambaye pia ni Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Maonesho ya bidhaa toka China (Brands of China) kurindima Sept 10 hadi 13 ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar

DSC_0307

Mkurugenzi wa Tanzania Chamber of Commerce, Industry and Agriculture (TCCIA), Daniel Machemba akizungumza na wageni waalikwa (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa maonesho ya bidhaa toka China (Brands of China) yanayotarajiwa kuanza Sept 10 hadi 13 mwaka huu katika ukumbi Diamond Jubilee.

DSC_0283

Mkurugenzi wa huduma za wanachama wa TPSF, Louis Accaro (kulia) akibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa Tanzania Chamber of Commerce, Industry and Agriculture (TCCIA), Daniel Machemba wakati wa uzinduzi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Maonesho ya bidhaa za Kichina yazinduliwa rasmi Diamond Jubilee

Mh Kigoda pamoja na Balozi wa China Mh Lu Youging wakikata utepe kufungua maonesho ya bidhaa za china

Mh Kigoda pamoja na Balozi wa China Mh Lu Youging wakikata utepe kufungua maonesho ya bidhaa za china.

Waziri wa Viwanda Mh Abdal Kigoda akipeana mkono na balozi wa china Lu Youging ishara ya ushirikiano

Waziri wa Viwanda Mh Dr. Abdallah Kigoda akipeana mkono na balozi wa china Lu Youging ishara ya ushirikiano.

Waziri wa Viwanad na biashara Mh Abdala Kigoda akifungua maonesho ya bidhaa za kichina

Waziri wa Viwanda na biashara Mh Dr. Abdallah Kigoda akifungua maonesho ya bidhaa za kichina.

Meneja Uwekezaji wa Ndani Tanzania Mathew Mnali akihutubia katika mkutano huo.

Meneja Uwekezaji wa Ndani Tanzania Mathew Mnali akihutubia katika mkutano huo.

Mkutano wa uwekezaji baina ya

Mkutano wa uwekezaji baina ya China na Tanzania.

Wananchi kutoka nchini China katika kongamano la uwekezaji.

Wananchi kutoka nchini China katika kongamano la...

 

10 years ago

Michuzi

MAONYESHO YA BIASHARA YA BIDHAA ZA KICHINA KUANZA TAREHE 21 HADI 24 MWEZI HUU DIAMOND JUBILEE

 Mkurugenzi Mkuu wa Chama cha Wafanyabiashara, Viwanda na KilimoTanzania Bw. Daniel Machemba akiongea na waandishi habari (hawapo pichani) kwenye mkutano wa waandishi kuhusu maonyesho ya bidhaa za Kichina, kushoto kwake ni Mwakilishi wa Uchumi na Biashara kutoka Jamhuri ya Watu China nchini Tanzania Bi.Wang Fang, na kulia kwake ni Bi Rehema Mtingwa Afisa wa Mawasiliano kutoka TPSF.   Baadhi wa washiriki waliohudhuria kwenye mkutano wa waandishi kuhusu maonyesho ya bidhaa mbalimbali  za...

 

9 years ago

Dewji Blog

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara afungua maonyesho ya bidhaa za China ukumbi wa Diamond Jubilee

katibu_02

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Uledi Mussa akifafanua jambo kwa waandishi wa habari wakati wa kufungua maonyesho ya bidhaa za China 2015,  katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam jana. (Picha na Mpiga picha wetu).

katibu_03

katibu_05 fungua maonyesho1

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Uledi Mussa (katikati) akikata utepe kufungua maonyesho ya  bidhaa za China 2015  katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam jana.

katibu_06 fungua maonyesho00

katibu_04 tembelea

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Uledi Mussa...

 

11 years ago

GPL

MAONYESHO YA UTURUKI NA TANZANIA YAFANYA DIAMOND JUBILEE

Ally Faat kutoka Uturuki akiwa katika maonyesho hayo.
Bi Shamsa akionyesha vyakula vya aina mbalimbali. Hizi ni bidhaa za asili za Tanzania.…

 

10 years ago

Vijimambo

YOUNG SCIENTISTS TANZANIA (YST) YAENDESHA MAONYESHO YA 5 YA SAYANSI DIAMOND JUBILEE DAR

Mkurugenzi Mtendaji na Mwanzilishi Mwenza wa taasisi ya Young Scientists Tanzania (YST), Dk. Gosbert Kamugisha, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo hii wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya siku tatu ya miradi na ubunifu wa kisayansi uliofanywa na wanafunzi kutoka shule 120 nchini. Maonyesho hayo yatafikia kilele Ijumaa Agosti 7, 2015. (Picha zote na Daniel Mbega wa www.brotherdanny.com).Mwanzilishi Mwenza wa YST, Joseph Clowry, akisisitiza jambo wakati akizungumza na...

 

11 years ago

Michuzi

balozi seif atembelea madaktari bingwa kutoka cuba, akutana na mkurugenzi wa maonesho ya biashara wa uturuki

  Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi  Seif Ali Iddi kulia akibadilishana mawazo na Madaktari Mabingwa kutoka Nchini Cuba hapo kwenye Makazi yao Mnazi Mmoja Mkabala na Bustani ya Victoria ambao wanaendelea kutoa mafunzo ya Udaktari kwa Madaktari wazalendo wa Zanzibar. Kati kati aliyevaa koti jeusi ni Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Dr. Saleh Mohamed Jidawi.   Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Dr. Saleh Mohamed Jidawi Kushoto aliyevaa koti akitoa maelezo mbele ya Makamu wa Pili...

 

10 years ago

Vijimambo

BANDA LA JESHI LA MAGEREZA LANG'ARA KWA BIDHAA BORA MAONESHO YA 39 YA BIASHARA YA KIMATAIFA 'SABASABA' 2015

Meza ya Chakula iliyotengenezwa kwa Ustadi mahiri katika Kiwanda cha Userelemala kilichopo Gereza Kuu Ukonga, Dar es Salaam. Meza hiyo ina viti vinane imetengenezwa kwa kutumia mbao ya Mninga inauzwa kwa Tsh. 2500,000/= Seti mbalimbali za kapeti za mlangoni ambazo zimetengenezwa kwa kutumia malighafi za mkonge na nazi kama zinavyoonekana katika picha. Kapeti hizo zenye ubora  zinauzwa Tsh. 7000/= hadi 15,000/=

 Vikoi kutoka Kiwanda cha Ushonaji cha Gereza Kuu Butimba, Mwanzaj vikiwa katika...

 

5 years ago

Michuzi

MAONESHO YA 44 YA KIMATAIFA YA BIASHARA YA DAR ES SALAAM (44th DITF) KUANZA JULAI 1 – 13, 2020 KATIKA UWANJA WA MAONESHO WA MWL. J.K. NYERERE

Wizara ya Viwanda na Biashara kupitia Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) inapenda kuwataarifu Taasisi za Umma, Sekta Binafsi, Jumuiya za Wafanyabiashara na Wananchi wote kwa ujumla kuwa inaendelea na maandalizi ya Maonesho ya 44 ya Biashara ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam yanayotarajiwa kuanza tarehe 1 hadi 13 Julai, 2020 katika Uwanja wa Maonesho wa Mwl. J. K. Nyerere, Barabara ya Kilwa, Dar es Salaam. 
Lengo la Maonesho haya ni kutoa fursa ya kutafuta masoko ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani