Jokate alamba mkataba Sh8.5 bil
Mbunifu wa mavazi, Miss Tanzania namba mbili 2006, Jokate Mwegelo ameingia mkataba wenye thamani ya Sh8.5 bilion na kampuni ya China, Rainbow Shell Craft Company Limited kwa ajili ya kuzalisha na kuuza bidhaa mbalimbali za lebo yake ya Kidoti.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziJokate asaini mkataba wa thamani ya Sh8.5 bilioni na kampuni ya Kichina
10 years ago
Dewji Blog21 Dec
Jokate asaini mkataba wa thamani ya Sh8.5 bilioni na kampuni ya Kichina
Jokate Mwegelo akizungumza katika hafla hiyo.
Na Mwandishi wetu
Mbunifu mavazi, Miss Tanzania wa namba mbili 2006, mwanamuziki na muigizaji wa filamu, Jokate Mwegelo amesaini makubaliano yenye thamani ya Sh8.5 billion na kampuni ya Kichina, Rainbow Shell Craft Company Limited kwa ajili ya kuzalisha na kuuza bidhaa mbalimbali za lebo yake ya Kidoti.
Makubaliano hayo yalisainiwa jana kwenye hotel ya Serena baina ya Jokate na Afisa Mtendaji mkuu wa kampuni ya Rainbow Shell Craft Company...
9 years ago
Habarileo07 Oct
Kocha Mkwasa alamba mkataba
HATIMAYE Kocha Charles Mkwasa ameingia mkataba wa kudumu wa mwaka mmoja na nusu na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa ajili ya kukinoa kikosi cha timu ya Taifa Tanzania, Taifa Stars. Mkataba huo ulisainiwa jana Dar es Salaam na umeanza kufanya kazi kuanzia Oktoba 1, mwaka huu hadi Machi 31, 2017.
10 years ago
GPLQ-CHILLAH ALAMBA MKATABA MNONO
9 years ago
Mtanzania13 Nov
Kayala alamba mkataba wa albamu ya pili
NA MWANDISHI WETU
MWIMBAJI wa nyimbo za injili aliyetamba na kibao cha ‘Siwema’, George Kayala, ameingia mkatabawa mwaka mmoja na Studio ya Deey Records ya jijini Dar es Salaam kwa ajili ya maandalizi ya albamu yake ya pili ambayo bado hajajua ataiitaje.
Mwimbaji huyo ambaye ni mwandishi wa habari wa Burudani wa Kampuni ya New Habari (2006) Ltd, alisema amesharekodi wimbo mmoja kwenye studio hiyo iliyopo Mwembechai, jijini Dar es Salaam, chini ya prodyuza Ramadhan Lwambo.
“Huduma ya...
10 years ago
GPLLINAH ALAMBA MKATABA KINYWAJI CHA ‘JEBEL’
10 years ago
VijimamboJOKATE KIDOTI ASAINI MKATABA WA SH. BILIONI 8.5 NA KAMPUNI YA KICHINA
10 years ago
CloudsFM22 Dec
Jokate aingia mkataba na kampuni ya Rainbow Shell Craft ya China
Jokate amesema amefurahishwa kuingia kwenye mkataba na kampuni hiyo kwani mbali na masuala ya urembo pia kupitia brand yake anatarajia kuongeza ajira kwa akina mama kwani kitajengwa kiwanda ambacho kitatoa ajira kwao.
“Hii ni fursa kubwa kwetu Tanzania, nawashukuru sana vijana wenzangu ambao tulikaa na kubuni brand ya Kidoti, leo imenipa...
10 years ago
Habarileo16 Jul
UN Tanzania, Norway watia saini mkataba wa bil 6.9/-
UMOJA wa Mataifa nchini Tanzania umetia saini mkataba na ubalozi wa Norway wa Sh bilioni 6. 9 (dola za Marekani milioni 3.1) kusaidia masuala mbalimbali nchini Tanzania. Masuala hayo ni ya wakimbizi, utawala bora, haki za binadamu na ushirikiano na watu wa Zanzibar.