Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kayala alamba mkataba wa albamu ya pili

GEORGE-KAYALA-2NA MWANDISHI WETU

MWIMBAJI wa nyimbo za injili aliyetamba na kibao cha ‘Siwema’, George Kayala, ameingia mkatabawa mwaka mmoja na Studio ya Deey Records ya jijini Dar es Salaam kwa ajili ya maandalizi ya albamu yake ya pili ambayo bado hajajua ataiitaje.

Mwimbaji huyo ambaye ni mwandishi wa habari wa Burudani wa Kampuni ya New Habari (2006) Ltd, alisema amesharekodi wimbo mmoja kwenye studio hiyo iliyopo Mwembechai, jijini Dar es Salaam, chini ya prodyuza Ramadhan Lwambo.

“Huduma ya...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

Q-CHILLAH ALAMBA MKATABA MNONO

Mbongo Fleva, Abubakar Katwila ‘Q-Chillah’ akipokea mkataba kutoka 'QS Mhonda J Company'. 'Legend' kwenye gemu la Bongo Fleva, Abubakar Katwila ‘Q-Chillah’ akipozi. Na mwandishi wetu
LEGEND kwenye gemu la Bongo Fleva, Abubakar Katwila ‘Q-Chillah’ amelamba mkataba wa nguvu…

 

9 years ago

Habarileo

Kocha Mkwasa alamba mkataba

HATIMAYE Kocha Charles Mkwasa ameingia mkataba wa kudumu wa mwaka mmoja na nusu na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa ajili ya kukinoa kikosi cha timu ya Taifa Tanzania, Taifa Stars. Mkataba huo ulisainiwa jana Dar es Salaam na umeanza kufanya kazi kuanzia Oktoba 1, mwaka huu hadi Machi 31, 2017.

 

10 years ago

Mwananchi

Jokate alamba mkataba Sh8.5 bil

Mbunifu wa mavazi, Miss Tanzania namba mbili 2006, Jokate Mwegelo ameingia mkataba wenye thamani ya Sh8.5 bilion na kampuni ya China, Rainbow Shell Craft Company Limited kwa ajili ya kuzalisha na kuuza bidhaa mbalimbali za lebo yake ya Kidoti.

 

10 years ago

GPL

LINAH ALAMBA MKATABA KINYWAJI CHA ‘JEBEL’

Mkurugenzi wa Kampuni ya Serengeti Brewers Ltd, Steve Gannon (kushoto) akimpa mkono wa pongezi Linah (katikati) baada ya kukubali kusaini mkataba wa kuwa Balozi wa Jebel.  Kulia ni meneja wa Linah, Tonny Akwesa, akishuhudia makabidhiano hayo. Linah (kulia) akisaini mkataba  huo na Mkurugenzi wa Serengeti, Steve Gannon, ndani ya ukumbi wa mikutano uliopo katika ofisi kuu za kampuni hiyo Temeke, Chang’ombe, jijini...

 

9 years ago

Michuzi

MDAU SABINA LEONCE KOMBA ALAMBA NONDOZZ YAKE YA PILI KATIKA UONGOZI WA MIRADI CHUO KIKUU HURIA

san2Sabina Leonce Komba ambaye ni mtumishi wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa (NHIF) akipozi kwa picha mara baada ya kutunukiwa Shahada yake ya pili (Masters) ya Uongozi wa Miradi aliyoipata Katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kwenye mahafali ya 27 ya chuo hicho yaliyofanyika Desemba 16 mwaka huu katika viwanja vya Bungo Kibaha mkoani Pwani. san4Sabina Leonce Komba ambaye ni mtumishi wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa NHIF akipozi kwa picha na wenzake katika mahafali hayo.san5Sabina Leonce Komba ambaye...

 

9 years ago

Michuzi

NAHODHA WA ZAMANI WA YANGA NA TIMU YA TAIFA ALAMBA NONDOZZZ YA SHAHADA YA PILI KATIKA CHUO KIKUU CHA MZUMBE KAMPASI YA DARA ES SALAAM

 Aliyewahi kuwa nahodha wa Yanga na Timu ya Taifa (Taifa Stars) Ally Mayay Tembele alikuwa ni miongoni mwa wahitimu zaidi ya 800 waliotunukiwa shahada za uzamili katika fani mbalimbali kutoka katika Chuo kikuu cha Mzumbe kampasi ya Dar es salaam .Katika sherehe hizo za  mahafali ya 14 ya Chuo kikuu cha Mzumbe Kampasi ya  DSM  zilizofanyika katika ukumbi wa mikutano wa J.K.Nyerere jijini Dar es salaam, Tembele alitunukiwa Shahada ya Uzamili katika Sayansi ya Masoko(Msc Marketing...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Best Records kumfanyia makubwa Kayala

UONGOZI wa Studio ya Best Records iliyopo Salasala jijini Dar es Salaam, imesema itazirekodi kwa ubora wa hali ya juu nyimbo saba za mwimbaji wa injili nchini, George Kayala, ili...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kayala ajipanga kufanya makubwa

MUIMBAJI wa nyimbo za injili anayetamba na wimbo ‘Siwema’, George Kayala, ameahidi kuweka rekodi katika uzinduzi wa albamu yake ya ‘Siwema’ utakaofanyika katika Kanisa la WRM, Matembele ya Pili Kivule...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kayala aomba sapoti Agosti 9

MWIMBAJI wa nyimbo za injili nchini, George Kayala  amewaalika wadau wote wa muziki wa injili jijini Dar es Salaam kufika katika uzinduzi wa albam yake ya kwanza iItwayo ‘Siwema’ utakaofanyika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani