Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LINAH ALAMBA MKATABA KINYWAJI CHA ‘JEBEL’

Mkurugenzi wa Kampuni ya Serengeti Brewers Ltd, Steve Gannon (kushoto) akimpa mkono wa pongezi Linah (katikati) baada ya kukubali kusaini mkataba wa kuwa Balozi wa Jebel.  Kulia ni meneja wa Linah, Tonny Akwesa, akishuhudia makabidhiano hayo. Linah (kulia) akisaini mkataba  huo na Mkurugenzi wa Serengeti, Steve Gannon, ndani ya ukumbi wa mikutano uliopo katika ofisi kuu za kampuni hiyo Temeke, Chang’ombe, jijini...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

Q-CHILLAH ALAMBA MKATABA MNONO

Mbongo Fleva, Abubakar Katwila ‘Q-Chillah’ akipokea mkataba kutoka 'QS Mhonda J Company'. 'Legend' kwenye gemu la Bongo Fleva, Abubakar Katwila ‘Q-Chillah’ akipozi. Na mwandishi wetu
LEGEND kwenye gemu la Bongo Fleva, Abubakar Katwila ‘Q-Chillah’ amelamba mkataba wa nguvu…

 

9 years ago

Habarileo

Kocha Mkwasa alamba mkataba

HATIMAYE Kocha Charles Mkwasa ameingia mkataba wa kudumu wa mwaka mmoja na nusu na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa ajili ya kukinoa kikosi cha timu ya Taifa Tanzania, Taifa Stars. Mkataba huo ulisainiwa jana Dar es Salaam na umeanza kufanya kazi kuanzia Oktoba 1, mwaka huu hadi Machi 31, 2017.

 

9 years ago

Mtanzania

Kayala alamba mkataba wa albamu ya pili

GEORGE-KAYALA-2NA MWANDISHI WETU

MWIMBAJI wa nyimbo za injili aliyetamba na kibao cha ‘Siwema’, George Kayala, ameingia mkatabawa mwaka mmoja na Studio ya Deey Records ya jijini Dar es Salaam kwa ajili ya maandalizi ya albamu yake ya pili ambayo bado hajajua ataiitaje.

Mwimbaji huyo ambaye ni mwandishi wa habari wa Burudani wa Kampuni ya New Habari (2006) Ltd, alisema amesharekodi wimbo mmoja kwenye studio hiyo iliyopo Mwembechai, jijini Dar es Salaam, chini ya prodyuza Ramadhan Lwambo.

“Huduma ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Jokate alamba mkataba Sh8.5 bil

Mbunifu wa mavazi, Miss Tanzania namba mbili 2006, Jokate Mwegelo ameingia mkataba wenye thamani ya Sh8.5 bilion na kampuni ya China, Rainbow Shell Craft Company Limited kwa ajili ya kuzalisha na kuuza bidhaa mbalimbali za lebo yake ya Kidoti.

 

10 years ago

Michuzi

KIWANDA CHA KONYAGI CHAZINDUA KINYWAJI CHA ZANZI CHENYE LADHA ZA CHOCOLATE NA KAHAWA

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Konyagi Tanzania (TDL), David Mgwassa (katikati), akiwa Meneja Masoko wa kiwanda hicho, Joseph Chibehe (kushoto) na Meneja Bidhaa wa TDL, Warda Kimaro wakionesha vinywaji vipya aina ya Zanzi Chocolate  (ladha ya Chokoleti) na Zanzi Cappuccino (ladha ya kahawa) wakati wa uzinduzi wa  wa vinywaji hivyo uliofanyika katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam.
 Mgwassa akielezea ubora wa vinywaji hivyo.
 Meneja Masoko wa TDL, Joseph Chibehe...

 

9 years ago

Michuzi

JAMII YASHAURIWA KUTUMIA KINYWAJI CHA TREVO

Afisa Mtendaji  Mkuu wa kinywaji cha Trevo, Mark Stevens akizungumza na Waandishi wa Habari(hawapo pichani) juu umuhimu wa kinywaji na  kinywaji cha Trevo ambacho kipo nchini kwa takribani miezi tisa, na kinavyoweza kuwasaidia afya za binadamu endapo kuna mapungufu katika mwili  hasa kuimarisha afya zao.
Pia aliongezea kuwa Kinywaji cha Trevo ni kinywaji kilichotengenezwa kwa ubora wa hali ya juu kinaachuhusisha  vyakula mbalimbali nyenye kiwango kikubwa vya virutubisho na kutoka mataifa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kinywaji cha OH2 Energy drink gumzo SabaSaba

DSCN4589

Vinywaji vya OH 2 vikiwa kweywe friji.

Na Mwandishi wetu,

KINYWAJI chenye ladha laini ya kupunguza uchovu na kuongeza akili na nguvu mwilini cha OH2 Energy Drink ‘Great Taste’ or ‘Test you want’ kimekuwa gumzo kwenye Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya biashara ya 38,  Dar es Salaam ‘Sabasaba’ yaliyofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam kwa watu mbalimbali kukinunua kwa wingi.

Kwa mujibu wa Marketing Manager wa kinywaji hicho,  Oliver alieleza kuwa,  kinywaji...

 

10 years ago

Michuzi

KINYWAJI CHA SHUDA COCKTAILS CHAZINDULIWA JIJINI DAR

Kampuni ya A&K HOLDINGS LTD mwishoni mwa wiki ilizindua kinywaji cha Shuda Cocktails hafla iliyofanyika Novemba 1, 2014 katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, kinywaji hicho kimetengenezwa kwa ufanisi na kuchanganywa katika vipimo maalum ili kupata bidhaa zenye ladha nzuri zinazolenga na kukubalika na matabaka yote ya wanywaji au watuamiaji wa vileo. Ujazo wake ni 700ml. Bidhaa hii inazalishwa nchini Uingereza.
Meneja Masoko ya Kinywaji cha Shuda Cocktails, Bernadetha Daudi akiongea...

 

10 years ago

GPL

KINYWAJI CHA SHUDA COCKTAILS CHAZINDULIWA JIJINI DAR‏

Kampuni ya A&K HOLDINGS LTD mwishoni mwa wiki iliyopita ilizinduz kinyaji cha Shuda Cocktails hafla iliyofanyika Novemba 1, 2014 katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, kinywaji hicho kimetengenezwa kwa ufanisi na kuchanganywa katika vipimo maalum ili kupata bidhaa zenye ladha nzuri zinazolenga na kukubalika na matabaka yote ya wanywaji au watuamiaji wa vileo. Ujazo wake ni 700ml. Bidhaa hii inazalishwa nchini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani