Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ajali yaua wafanyakazi wawili wa kampuni ya Kichina

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Tabora Suzan KagandaWATU wawili wamekufa baada gari waliyokuwa wakisafiria aina ya kenta T 564 BYW kupinduka. Gari hilo lilikuwa limebeba wafanyakazi 27 wa kampuni ya wachina Project inayotengeneza barabara ya Kigwa hadi Nyahuwa mkoani Tabora.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

ajali yaua watu wawili na kujeruhi wawili mkoani lindi

Na Abdulaziz Ahmed, LindiWatu wawili wamekufa na wawili kujeruhiwa baada ya gari waliyokuwa wanasafiria kuacha njia na kupinduka katika kijiji cha Michenga, wilaya ya Ruangwa Ruangwa mkoani Lindi.Kamanda wa polisi wa mkoa wa Lindi, ACP Renatha Mzinga alisema gari hiyo aina ya Toyota Rava4 yenye namba za usaji T574CWC.Iliyokuwa inaendeshwa na Mohamed Mchalaganya(27) iliacha njia na kupinduka katika barabara ya Ruangwa-Nanganga, ilitokea jana saa 11.30 jioni.
Kamanda Mzinga aliwataja waliokufa...

 

10 years ago

GPL

AJALI YAUA WAWILI SONGEA

Wananchi wakiwatoa baadhi ya majeruhi katika basi la Super Feo lililopata ajali Songea. Miili ya watu wawili waliopoteza maisha katika ajali hiyo. WATU wawili wamepoteza maisha huku wengine wakijeruhiwa baada ya ajali mbaya iliyotokea leo huko Songea mkoani Ruvuma…

 

11 years ago

Mwananchi

Ajali ya daladala yaua wawili Dar

Watu wawili wamefariki dunia na wengine 13 wamejeruhiwa, baadhi yao vibaya baada ya daladala walilopanda kutoka Tegeta kwenda katikati ya jiji kuacha njia, kugonga mti na kisha kupinduka wakati likijaribu kulikwepa lori eneo la Mbuyuni jana asubuhi.

 

10 years ago

GPL

AJALI YA NOAH YAUA WAWILI MBEYA

Gari aina ya Toyota Noah lenye namba za usajili T162 BXM iliyopata ajali jana maeneo ya Igurusi mkoani Mbeya. Gari hiyo ikiwa imeharibika vibaya baada ya ajali. GARI ndogo aina ya Toyota Noah lenye namba za usajili T162 BXM limepata ajali na kuua watu wawili jana eneo la Igurusi mkoani Mbeya.…

 

11 years ago

Habarileo

Ajali yaua watu wawili Bagamoyo

WATU wawili wamekufa na wengine wanne wamejeruhiwa baada ya magari waliyokuwa wakisafiria, kugongana eneo la Bwawani Kata ya Ubena Tarafa ya Chalinze wilayani Bagamoyo katika Mkoa wa Pwani.

 

11 years ago

GPL

AJALI YA BASI YAUA WAWILI LUGOBA

                                       Basi la Smart likiwa limepinduka eneo la Lugoba.              Mmoja wa majeruhi wa ajali hiyo akiwa amepoteza…

 

9 years ago

Mwananchi

Ajali yaua wawili, kujeruhi 15 Lushoto

Watu wawili wamefariki dunia na wengine 15  kujeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kupinduka katika Kijiji cha Longoi Kata ya Mtae wilayani Lushoto jana majira ya saa 11.00 jioni.

 

11 years ago

GPL

AJALI YAUA WAWILI, YAJERUHI 23 MKOANI MBEYA

Hivi ndivyo ilivyokuwa ajali hiyo iliyohusisha Lori na Coaster katika eneo la Mbalizi.
Baadhi ya wananchi wakishuhudia ajali hiyo iliyotokea leo jioni katika eneo la Mlima Iwambi kuelekea Mbalizi.

Baadhi ya askari polisi wakilinda mali zilizokuwemo katika lori, hata hivyo askari hao walilazimika kurusha risasi hewani kuwatawanya watu waliotaka kupora bidhaa hizo.

Mmoja wa majeruhi wa ajali hiyo akiwa katika...

 

9 years ago

Mwananchi

Ajali ya malori yaua watu wawili, kujeruhi wengine watatu Bagamoyo

Watu wawili wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa baada ya magari ya mizigo aina ya Scania Kipisi na Mitsubish Fusso waliyokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani