Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AJALI YAUA WAWILI, YAJERUHI 23 MKOANI MBEYA

Hivi ndivyo ilivyokuwa ajali hiyo iliyohusisha Lori na Coaster katika eneo la Mbalizi.
Baadhi ya wananchi wakishuhudia ajali hiyo iliyotokea leo jioni katika eneo la Mlima Iwambi kuelekea Mbalizi.

Baadhi ya askari polisi wakilinda mali zilizokuwemo katika lori, hata hivyo askari hao walilazimika kurusha risasi hewani kuwatawanya watu waliotaka kupora bidhaa hizo.

Mmoja wa majeruhi wa ajali hiyo akiwa katika...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

AJALI YA BASI LA SUPER FEO YAUA 3, YAJERUHI 28 MKOANI MBEYA

WATU watatu wamekufa papo hapo huku wengine 28 wakijeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Super Feo walilokuwa wakisafiria kutoka jijini Mbeya kwenda Songea mkoani Ruvuma kupinduka na kutumbukia mtoni leo asubuhi. Ajali hiyo imetokea katika Kijiji cha Shamwenga, Kata ya Inyara mkoani Mbeya.

 

10 years ago

Michuzi

ajali yaua watu wawili na kujeruhi wawili mkoani lindi

Na Abdulaziz Ahmed, LindiWatu wawili wamekufa na wawili kujeruhiwa baada ya gari waliyokuwa wanasafiria kuacha njia na kupinduka katika kijiji cha Michenga, wilaya ya Ruangwa Ruangwa mkoani Lindi.Kamanda wa polisi wa mkoa wa Lindi, ACP Renatha Mzinga alisema gari hiyo aina ya Toyota Rava4 yenye namba za usaji T574CWC.Iliyokuwa inaendeshwa na Mohamed Mchalaganya(27) iliacha njia na kupinduka katika barabara ya Ruangwa-Nanganga, ilitokea jana saa 11.30 jioni.
Kamanda Mzinga aliwataja waliokufa...

 

10 years ago

GPL

AJALI YA NOAH YAUA WAWILI MBEYA

Gari aina ya Toyota Noah lenye namba za usajili T162 BXM iliyopata ajali jana maeneo ya Igurusi mkoani Mbeya. Gari hiyo ikiwa imeharibika vibaya baada ya ajali. GARI ndogo aina ya Toyota Noah lenye namba za usajili T162 BXM limepata ajali na kuua watu wawili jana eneo la Igurusi mkoani Mbeya.…

 

10 years ago

Tanzania Daima

Radi yaua sita, yajeruhi wawili

WATU sita wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa baada ya kupigwa na radi katika migahawa miwili inayohudumia wanafunzi wa Chuo Cha Maendeleo na Mifugo (LITA). Tukio tukio hilo lilitokea juzi...

 

11 years ago

Habarileo

Baruti yaua wawili, yajeruhi 3 Mirerani

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, Deusdedit NsimekiWACHIMBAJI wadogo wawili wa mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, wamekufa na wengine watatu wamejeruhiwa baada ya kupigwa na baruti wakiwa mgodini.

 

10 years ago

GPL

AJALI YAUA 10 NA KUJERUHI 7 MBALIZI MKOANI MBEYA LEO

Daladala lenye namba za usajili T 237 BFB aina Toyota Hiace baada ya kuparamia lori.
Lori lenye namba za usajili T 158 CSV lililoparamiwa na daladala. Askari wa…

 

10 years ago

Habarileo

Ajali yaua 2 yajeruhi 45

David Misime.WATU wawili wamekufa papo hapo huku wengine 45 wakijeruhiwa baada ya basi la abiria lililokuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Mwanza kugongana uso kwa uso na roli katika kijiji cha Vikonje wilayani Chamwino mkoani hapa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ajali yaua 6, yajeruhi 12 Dar

WATU sita wamefariki dunia papo hapo na zaidi ya 12 kujeruhiwa katika ajali mbaya iliyohusisha magari manne. Akizungumzia tukio hilo lililotokea jana eneo la Makongo, jijini Dar es Salaam, Kamanda...

 

11 years ago

Habarileo

Ajali ya basi yaua 10, yajeruhi 30

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Simiyu, Charles MkumboWATU 10 wamekufa papo hapo na wengine 30 kujeruhiwa vibaya kutokana na ajali ya basi la Luhuye Express lililokuwa likitoka wilayani Tarime mkoani Mara kwenda jijini Mwanza jana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani