AJALI YA BASI LA SUPER FEO YAUA 3, YAJERUHI 28 MKOANI MBEYA
![](http://api.ning.com:80/files/8KOwdycLvXTsOGq2CWtfiOfMv2WsqgG*Vwx4eB6HbpmgwYjpVdJTzfxo7GfJgBTmoMVbT-fueL1DzJ0ClKVY-d1*wF6iiVNb/2.jpg)
WATU watatu wamekufa papo hapo huku wengine 28 wakijeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Super Feo walilokuwa wakisafiria kutoka jijini Mbeya kwenda Songea mkoani Ruvuma kupinduka na kutumbukia mtoni leo asubuhi. Ajali hiyo imetokea katika Kijiji cha Shamwenga, Kata ya Inyara mkoani Mbeya.
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLAJALI YAUA WAWILI, YAJERUHI 23 MKOANI MBEYA
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-pi6CvMfdI_E/VBCtiyWFj_I/AAAAAAAGiqo/0yFhRYwD4Tw/s72-c/1.jpg)
NEWS ALERT:Watu wawili wanaidaiwa kufariki kufuatia ajali ya Basi la Super Feo kuacha njia na kugonga mti
![](http://1.bp.blogspot.com/-pi6CvMfdI_E/VBCtiyWFj_I/AAAAAAAGiqo/0yFhRYwD4Tw/s1600/1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-auIPRMy92Kw/VBCtjA2AAHI/AAAAAAAGiqs/KMGVmk4n0QU/s1600/3.jpg)
11 years ago
Habarileo22 Apr
Ajali ya basi yaua 10, yajeruhi 30
WATU 10 wamekufa papo hapo na wengine 30 kujeruhiwa vibaya kutokana na ajali ya basi la Luhuye Express lililokuwa likitoka wilayani Tarime mkoani Mara kwenda jijini Mwanza jana.
9 years ago
Mtanzania21 Dec
Ajali ya basi yaua mmoja, yajeruhi 46
NA ABDALLAH AMIRI, IGUNGA
MTU mmoja, amefariki dunia papo hapo na wengine 46 kujeruhiwa vibaya baada ya basi la Kampuni ya ALLY’S lenye namba za usajili T 560 AKW aina ya Scania, kupinduka katika Kijiji cha Igogo, Kata ya Nanga, Wilaya ya Igunga, mkoani Tabora.
Ajali hiyo ilitokea jana, saa 12 alfajiri wakati basi hilo lilipokuwa likitoka wilayani Igunga kwenda jijini Mwanza.
Wakizungumza na MTANZANIA eneo la tukio baada ya ajali hiyo, mmoja wa abiria aliyenusurika, Emmanuel Julius (32),...
10 years ago
GPLAJALI YAUA 10 NA KUJERUHI 7 MBALIZI MKOANI MBEYA LEO
10 years ago
Habarileo20 Feb
Ajali yaua 2 yajeruhi 45
WATU wawili wamekufa papo hapo huku wengine 45 wakijeruhiwa baada ya basi la abiria lililokuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Mwanza kugongana uso kwa uso na roli katika kijiji cha Vikonje wilayani Chamwino mkoani hapa.
11 years ago
Tanzania Daima22 Jun
Ajali yaua 6, yajeruhi 12 Dar
WATU sita wamefariki dunia papo hapo na zaidi ya 12 kujeruhiwa katika ajali mbaya iliyohusisha magari manne. Akizungumzia tukio hilo lililotokea jana eneo la Makongo, jijini Dar es Salaam, Kamanda...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
AJALI YAUA 6 TANGA, YAJERUHI ZAIDI YA 12
10 years ago
Habarileo31 Dec
Ajali yaua 4 Moshi, yajeruhi 3 Handeni
WATU wanne wamekufa na watatu wamejeruhiwa katika ajali mbili tofauti, zilizotokea Moshi mkoani Kilimanjaro na Handeni mkoani Tanga.