Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ACT yashauri taka zizalishe ajira nchini

Chama cha ACT Wazalendo kimeishauri Serikali kuhakikisha suala la usafi wa mazingira nchini linakuwa endelevu na kutafuta njia mbadala ya kuzalisha ajira na kukuza uchumi wa nchi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kampuni ya taka za plastiki kutoa ajira nchini

Kampuni ya kuhuisha (recycling) plastiki ya Kichina inayofanya shughuli zake jijini Dar es Salaam ina mpango wa kutanua shughuli zake kwa kuwekeza zaidi nchini na kuongeza ajira zaidi kwa Watanzania.

 

11 years ago

Michuzi

Kampuni ya kuhuisha taka za plastiki ya kichina kutoa ajira zaidi nchini

 Mfanyakazi wa kampuni ya Fusun Investment Co. United akifanyakazi katika moja ya mashine zinazotumika katika usagaji wa chupa chakavu za plastiki kabla ya kusafirishwa nchi za nje. Kampuni hiyo imetoa ajira zaidi ya 300 tangu ilipoanzishwa mwaka 2010, na inampango wa kujitanua katika mikoa mingine Tanzania.  Mfanyakazi wa kampuni ya Fusun Investment Co. United Limited akikusanya chupa chakavu za plastiki kwa ajili ya kuzisaga. Zaidi ya watanzania 300 wanafanyakazi katika kampuni hiyo ya...

 

9 years ago

Michuzi

Sheria ya Kuratibu Ajira za Wageni Nchini Na.1 ya Mwaka 2015 (The Non - Citizens (Employment Regulation) Act).

  1.         Mwezi Machi, 2015, Bunge la 10 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Lilipitisha  Sheria ya Kuratibu Ajira za Wageni Nchini Na.1 ya Mwaka 2015 (The Non - Citizens (Employment Regulation) Act). Sheria hii ilisainiwa na Mheshimiwa Rais mwezi Mei, 2015 na imetangazwa kuanza kutumika rasmi tangu tarehe 15/09/2015 kupitia Gazeti la Serikali Na. 406 la mwaka 2015.


2.          Sheria hii inaanzisha Mamlaka moja ya utoaji wa vibali vya ajira kwa wageni

 na Mamlaka hiyo ni Kamishna wa Kazi. ...

 

11 years ago

Mwananchi

Uingereza yashauri kuhusu vigezo vya walimu nchini

Serikali imeshauriwa kuzingatia ubora na vigezo vya kitaaluma wakati wa kuajiri walimu na siyo kuajiri kwa kufuata idadi ya wahitimu katika fani hiyo.

 

11 years ago

Michuzi

SERIKALI YASHAURI WADAU WA MICHEZO KUJITOKEZA KUSAIDIA MICHEZO NCHINI

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kupokea msaada wa hundi ya milioni kumi kutoka Zantel kwa ajili ya Chama cha Ngumi za Ridhaa Tanzania (BFT) leo jijini Dar es Salaaam, kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu Zantel Bw. Pratap Ghose. Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara (kulia), Afisa Mtendaji Mkuu Zantel Bw. Pratap Ghose (kushoto) pamoja na ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Chuo Kikuu Ardhi kutatua tatizo la udhibiti wa maji taka na taka ngumu

1

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ardhi Prof. Idrissa Mshoro akiwaeleza waandishi wa habari (Hawapo pichani) kuhusu mpango wa chuo hicho wa kuendelea na jitihada za kutatua tatizo la udhibiti wa maji taka na tanga ngumu ikiwemo ujengaji wa miundombinu ya majaribio ya teknolojia za kibiolojia zinazobadili tanga ngumu au maji taka ambayo huzalishwa majumbani kuwa mboji na gesi asili ya kupikia, wakati wa mkutano na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Naibu Makamu Mkuu wa Chuo...

 

9 years ago

Habarileo

ACT: Usafi unapaswa kuzalisha ajira

CHAMA cha ACT–Wazalendo kimesema mfumo wa kusimamia sera na sheria katika suala la usimamizi wa usafi na utunzaji wa mazingira unapaswa kuzalisha ajira, kuendana na kiwango cha ukuaji na ongezeko la watu katika miji nchini.

 

9 years ago

GPL

EVERJOBS KURAHISISHA AJIRA NCHINI

Kutoka kushoto ni Managing Director wa Ever Jobs, Eric Laver,Ofisa Mkuu wa masoko, Lukas Masson pamoja na  Country Manager, Florens Roell. Ofisa Mkuu wa Masoko, Lukas Masson (mbele) akitoa ufafanuzi kwenye uzinduzi huo. Baadhi ya wadau mbalimbali wa ajira na waandishi wa habari waliohudhuria uzinduzi huo wakifuatilia kwa makini. Lukas Masson (mbele) akitoa maelekezo ya jinsi ya kutafuta ajira kwa kutumia teknolojia hiyo...

 

10 years ago

Habarileo

Watu milioni 2.2 hawana ajira nchini

Waziri Mkuu, Mizengo PindaWAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema watu milioni 2.2 hapa nchini, sawa na asilimia 11.7 wanaostahili kufanya kazi hawana kazi, ambapo kati yao vijana ni milioni 1.4.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani