Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


EVERJOBS KURAHISISHA AJIRA NCHINI

Kutoka kushoto ni Managing Director wa Ever Jobs, Eric Laver,Ofisa Mkuu wa masoko, Lukas Masson pamoja na  Country Manager, Florens Roell. Ofisa Mkuu wa Masoko, Lukas Masson (mbele) akitoa ufafanuzi kwenye uzinduzi huo. Baadhi ya wadau mbalimbali wa ajira na waandishi wa habari waliohudhuria uzinduzi huo wakifuatilia kwa makini. Lukas Masson (mbele) akitoa maelekezo ya jinsi ya kutafuta ajira kwa kutumia teknolojia hiyo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

EVERJOBS TANZANIA CAREER REPORT.

In a recent World Economic Forum report, Tanzania was listed as one of the 13 fastest growing economies in the world. This comes as no surprise with GDP growing around 6-7% each year since 2009. In addition, with GDP projected to grow until 2017, many industries will continue to benefit, including the services sector. This latest edition of the everjobs Tanzania career report was assembled based on data collected from  everjobs​​for the month of September 2015.



New data from the everjobs...

 

9 years ago

Michuzi

MTANDAO WA EVERJOBS TANZANIA KUWAKUTANISHA WAAJIRIWA NA WAAJIRI

 Mkurugenzi Mtendaji wa Everjobs wa Ukanda wa Afrika Eric Lauer, akiwaelezea waandishi wa habari pamoja na wageni waalikwa jinsi mfumo wao wa tovuti ambao unaweza kuwaunganisha waajiri na waajiriwa kwa urahisi kabisa huku waajiri wakipata nafasi ya kuweza kupata taarifa zote muhimu kutoka kwa wanaoomba kazi kupitia tovuti hiyo pindi wanapokuwa wamejiunga na Kampuni ya Everjobs Tanzania.Mkutano huo ulifanyika jana katika hoteli ya Serena Jijini Dar Es salaam. Mkurugenzi wa Everjobs...

 

9 years ago

Everjobs

Everjobs officially launches career portal in Tanzania

Tanzania, 15 September 2015 – Everjobs (https://www.everjobs.co.tz/ (https://www.everjobs.co.tz/)), Tanzania’s newest online career portal, recently started its operations in Tanzania. During a press conference, Co-founder and Managing Director for Africa Eric Lauer introduced the company officially to the public.

“Everjobs is here to help with employability, which is the main issue highlighted by all the key figures in the labor market” said Eric Lauer. A survey conducted by the...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TISEI na suluhisho tatizo la ajira nchini

LICHA ya uchumi wa Tanzania kuelezwa kukua kwa asilimia 7.1 na kufanya vizuri katika kipindi cha muongo mmoja uliopita, bado umeshindwa kutengeneza ajira zenye tija kwa nguvu inayokua kwa haraka....

 

10 years ago

Habarileo

Wakuu wa mikoa kujadili ajira nchini

Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka.KONGAMANO la wakuu wa mikoa kuhusu ajira linatarajiwa kufanyika kwa siku mbili mkoani hapa kuanzia leo likishirikisha watu zaidi ya 200, imefahamika.

 

10 years ago

Habarileo

Watu milioni 2.2 hawana ajira nchini

Waziri Mkuu, Mizengo PindaWAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema watu milioni 2.2 hapa nchini, sawa na asilimia 11.7 wanaostahili kufanya kazi hawana kazi, ambapo kati yao vijana ni milioni 1.4.

 

9 years ago

Mwananchi

ACT yashauri taka zizalishe ajira nchini

Chama cha ACT Wazalendo kimeishauri Serikali kuhakikisha suala la usafi wa mazingira nchini linakuwa endelevu na kutafuta njia mbadala ya kuzalisha ajira na kukuza uchumi wa nchi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Muhimu kulinda ajira binafsi za vijana nchini

KWA wakati huu ambapo dunia imo katika mageuzi makubwa ya kujibadilisha kuwa kijiji kimoja ni vema kukaa chini na kujiuliza, kujifunza pamoja na kuelewa nini hasa madhumuni yake. Jambo hilo...

 

11 years ago

Mwananchi

Kampuni ya taka za plastiki kutoa ajira nchini

Kampuni ya kuhuisha (recycling) plastiki ya Kichina inayofanya shughuli zake jijini Dar es Salaam ina mpango wa kutanua shughuli zake kwa kuwekeza zaidi nchini na kuongeza ajira zaidi kwa Watanzania.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani