Watu milioni 2.2 hawana ajira nchini
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema watu milioni 2.2 hapa nchini, sawa na asilimia 11.7 wanaostahili kufanya kazi hawana kazi, ambapo kati yao vijana ni milioni 1.4.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili22 Oct
UN: Watu milioni 4 hawana chakula Sudan Kusini
UN imeonya kuwa makumi ya maelfu ya watu huenda wakafa kwa njaa Sudan Kusini kutokana na mapigano makali yanayozuia usambazaji wa vyakula vya msaada
5 years ago
BBCSwahili08 Apr
Virusi vya Corona: Watu milioni 200 kupoteza ajira kwa mlipuko wa Covid-19
Asilimia 81 ya wafanyakazi wote duniani, sawa na watu bilioni 3.3 wameathirika na janga la virusi vya corona baada ya sehemu zao za kazi kufungwa kabisa ama kwa kiasi.
9 years ago
BBCSwahili22 Nov
Wakaazi milioni 2 wa Crimea hawana umeme
Nyaya zinazopeleka umeme katika jimbo la Crimea kutoka nchini Ukraine zimelipuliwa na kuwaacha wnyeji milioni mbili bila umeme.
10 years ago
Michuzi
JK ajiandikisha Kupiga kura kwa kutumia BVR kijijini Msoga leo, ZAIDI YA WATU MILIONI 11 WAJIANDIKISHA NCHINI
JUMLA ya watu milioni 11,248,194 wameandikishwa kwenye daftari la kudumu la wapiga kura zoezi ambalo linaendelea kwa sasa hapa nchini likiwa limeingia mkoani Pwani. Hayo yalisemwa leo kwenye Kijiji cha Msoga kata ya Msoga wilayani Bagamoyo na mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Taifa Damian Lubuva alipokuwa anampa taarifa Rais Dk Jakaya Kikwete mara baada ya kujiandikisha. Bw. Lubuva alisema kuwa malengo ni kuandikisha watu milioni 21 hadi 23 kote nchini mara zoezi hilo litakapokamilika kati...
10 years ago
GPL
JK AJIANDIKISHA KUPIGA KURA KWA KUTUMIA BVR KIJIJINI MSOGA JANA, ZAIDI YA WATU MILIONI 11 WAJIANDIKISHA NCHINI
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akijiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa kutumia mfumo mpya wa kielektroniki(Biometric Voters Register( BVR) katika kijiji cha Msoga, kata ya Msoga wilayani Bagamoyo jana.Kulia akiangalia kwa makini ni mwandikishaji msaidizi Bi.Happyness Thomas Misana na katikati ni Afisa TEHAMA kutoka ofisi yaTume ya Taifa ya Uchaguzi Bi.Mariam Rajabu.Kushoto aliyesimama akishuhudia ni Mbunge wa...
9 years ago
BBCSwahili19 Nov
Watu zaidi ya bilioni 2 hawana vyoo
Takriban watu zaidi ya bilioni mbili Duniani hawana vyoo salama na vya kisasa,huku wengine wapatao bilioni moja hawana kabisa vyoo
10 years ago
Habarileo19 Dec
‘Watu wengi hawana uelewa wa usonji’
WATANZANIA wengi hawana uelewa wa tatizo la usonji (autism) kwa watoto, hivyo uhamasishaji na utoaji wa elimu kwa jamii unahitajika ili watu watambue tatizo hilo na kuweza kuwasaidia watoto hao.
11 years ago
BBCSwahili23 Jun
Watu hawa hawana hamu na soka Brazil
Hawana muda na heka heka za kombe la dunia zinazoshuhudiwa nchini Brazil.
10 years ago
Mwananchi24 Mar
Mvua yazua balaa Buguruni, watu 1,163 hawana mahali pa kuishi
Zaidi ya wakazi 1,163 wa eneo la Buguruni kwa Mnyamani hawana mahali pa kuishi baada ya nyumba zao 517 kukumbwa na mafuriko.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania