Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakaazi milioni 2 wa Crimea hawana umeme

Nyaya zinazopeleka umeme katika jimbo la Crimea kutoka nchini Ukraine zimelipuliwa na kuwaacha wnyeji milioni mbili bila umeme.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Watu milioni 2.2 hawana ajira nchini

Waziri Mkuu, Mizengo PindaWAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema watu milioni 2.2 hapa nchini, sawa na asilimia 11.7 wanaostahili kufanya kazi hawana kazi, ambapo kati yao vijana ni milioni 1.4.

 

10 years ago

BBCSwahili

UN: Watu milioni 4 hawana chakula Sudan Kusini

UN imeonya kuwa makumi ya maelfu ya watu huenda wakafa kwa njaa Sudan Kusini kutokana na mapigano makali yanayozuia usambazaji wa vyakula vya msaada

 

10 years ago

Habarileo

Nyumba zaidi ya milioni moja kupatiwa umeme jua

Mkurugenzi Mkuu wa Mradi wa Wakala wa Umeme Vijijini (REA) kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Lutengano MwakahesyaTANZANIA imeingia katika mpango wa kutumia umeme jua ujulikanao kama One Milion Solar Homes, wenye lengo la kuzipatia nyumba milioni moja huduma ya umeme wa uhakika na salama kufikia 2017.

 

9 years ago

Mwananchi

Wezi wa umeme waitia hasara Tanesco Sh200 milioni

Shirika la Umeme nchini (Tanesco) Mkoa wa Arusha, limepata hasara ya zaidi ya Sh200 milioni kuanzia Januari hadi Desemba mwaka huu, kutokana na wizi wa kujiunganishia umeme unaofanywa na baadhi ya watu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dola milioni 136 kutumika mradi umeme wa upepo

DOLA milioni 136 za Marekani zitatumika katika mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia nguvu za upepo kwa awamu ya kwanza ya uzalishaji wa MW 50 mkoani Singida. Fedha hizo pia...

 

10 years ago

GPL

KAMPUNI YA OFF GRID ELETRIC KUFUNGA UMEME WA SOLA NYUMBA MILIONI MOJA NCHINI

 Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Umeme Vijijini (REA), Lutengano Mwakahesya (PhD) (kushoto), pamoja na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kampuni ya Off Grid Electric Ltd, wakionesha seti ya mfumo wa vifaa vya umeme wa sola ambavyo vitatumika katika mpango wa kutumia umeme wa sola kwa nyumba milioni 1 wakati wakiwaonesha waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi.   Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Umeme Vijijini (REA),...

 

9 years ago

StarTV

Tanesco watangaza kupata hasara ya Shilingi milioni 200 kutokana na Wizi Wa Umeme

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limepata hasara ya zaidi ya shilingi milioni 200 kwa wateja wake zaidi ya 50 waliojiunganishia Umeme kinyume cha sheria kwenye maeneo ya Msasani, Kigamboni na Oysterbay Jijini Dar Es Salaam hali ambayo imesababisha kushuka kwa ufanisi wa utendaji kazi wa shirika hilo.

Katika operesheni ya kukagua nyumba zilizojiunganishia umeme kinyume cha sheria shirika hilo limekagua jumla ya nyumba 2,200 katika kipindi cha wiki moja na kubaini madudu hayo.

Katika...

 

10 years ago

Michuzi

REX ENERGY KUPELEKA UMEME JUA KWA KAYA MILIONI MOJA NA LAKI TANO NCHINI

Naibu Kamishna wa Nishati Mbadala wa Wizara ya Nishati na Madini amezindua usambazaji wa Teknolojia ya Umeme wa Jua, Rex Energy, inayotarajia kuzifikia kaya milioni moja na nusu kufikia mwaka 2020 kupitia teknolijia mpya ya umeme wa jua wa gharama nafuu.  Akizungumza wakati wa uzinduzi wa teknolojia hiyo mpya inayojulikana kama 3G+ Solar Home System (SHS) iliyobuniwa kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na ikiwa ni mara ya kwanza kutumika TanzaniaMkurugenzi Mtendaji wa Rex Energy Francis...

 

11 years ago

Dewji Blog

Manyoni yalipa fidia zaidi ya shilingi 158 milioni kupisha zoezi la huduma ya umeme vijijini

DSC09637

Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya Manyoni Mseya, akitoa taafira yake ya ulipaji fidia kwa baadhi ya wakazi wa kijiji cha Maweni, Mwanzi na Lusillile ili wapishe mradi wa njia ya umeme 400 KV.

Na Nathaniel Limu, Manyoni

HALMASHAURI ya wilaya ya Manyoni mkoani Singida, imetumia zaidi ya shilingi 158 milioni kulipa fidia kwa baadhi ya wakazi wa vijiji vitatu,ili kupisha zoezi la utoaji wa huduma ya umeme vijijini.

Fidia hiyo imetolewa mapema mwaka huu kwa wakazi wa vijiji vya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani