Watu zaidi ya bilioni 2 hawana vyoo
Takriban watu zaidi ya bilioni mbili Duniani hawana vyoo salama na vya kisasa,huku wengine wapatao bilioni moja hawana kabisa vyoo
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo11 Nov
Asilimia 13 Moro hawana vyoo
Ofisa Afya wa Halmashauri ya Manispaa Morogoro, Gabriel Malisa amesema halmashauri hiyo ina kata tano zenye wakazi wasio na vyoo, ambayo ni sawa na asilimia 13 ya wakazi wote wa manispaa hiyo.
11 years ago
Tanzania Daima02 Jun
Asilimia 28 ya wakazi Dom hawana vyoo
ASILIMIA 72 ya wananchi wa mkoani Dodoma hawana vyoo bora huku asilimia 28 wakijisaidia katika vichaka na maeneo ya wazi. Haki hiyo inaelezwa kusababisha uchafuzi mkubwa wa mazingira na kuhatarisha...
9 years ago
StarTV28 Dec
Zaidi ya nyumba 620 Wete Zanzibar hazina vyoo
Zaidi ya nyumba 620 za mji wa Wete visiwani Zanzibar hazina vyoo ama mfumo rasmi wa kutoa majitaka jambo ambalo linachangia vinyesi kuzagaa ovyo na kusababisha maradhi ya kipindupindu.
Hadi sasa wagonjwa 18 wanaendelea na matibabu katika kambi ya kipindupindu ambapo mtu mmoja amefariki dunia kutokana na ugonjwa huo.
Katika zoezi la usafi kwenye Mtaa wa Kizimbani Wete eneo ambalo limetoa mgonjwa wa kwanza wa kipindupindu msimu huu, Katibu wa baraza la mji wa Wete Mgeni Othuman Juma...
10 years ago
Habarileo19 Dec
‘Watu wengi hawana uelewa wa usonji’
WATANZANIA wengi hawana uelewa wa tatizo la usonji (autism) kwa watoto, hivyo uhamasishaji na utoaji wa elimu kwa jamii unahitajika ili watu watambue tatizo hilo na kuweza kuwasaidia watoto hao.
10 years ago
Habarileo21 Nov
Watu milioni 2.2 hawana ajira nchini
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema watu milioni 2.2 hapa nchini, sawa na asilimia 11.7 wanaostahili kufanya kazi hawana kazi, ambapo kati yao vijana ni milioni 1.4.
11 years ago
BBCSwahili23 Jun
Watu hawa hawana hamu na soka Brazil
9 years ago
BBCSwahili22 Oct
UN: Watu milioni 4 hawana chakula Sudan Kusini
10 years ago
Mwananchi24 Mar
Mvua yazua balaa Buguruni, watu 1,163 hawana mahali pa kuishi