Asilimia 28 ya wakazi Dom hawana vyoo
ASILIMIA 72 ya wananchi wa mkoani Dodoma hawana vyoo bora huku asilimia 28 wakijisaidia katika vichaka na maeneo ya wazi. Haki hiyo inaelezwa kusababisha uchafuzi mkubwa wa mazingira na kuhatarisha...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo11 Nov
Asilimia 13 Moro hawana vyoo
Ofisa Afya wa Halmashauri ya Manispaa Morogoro, Gabriel Malisa amesema halmashauri hiyo ina kata tano zenye wakazi wasio na vyoo, ambayo ni sawa na asilimia 13 ya wakazi wote wa manispaa hiyo.
9 years ago
BBCSwahili19 Nov
Watu zaidi ya bilioni 2 hawana vyoo
Takriban watu zaidi ya bilioni mbili Duniani hawana vyoo salama na vya kisasa,huku wengine wapatao bilioni moja hawana kabisa vyoo
10 years ago
Mwananchi24 Aug
Asilimia 70 ya wakazi Jiji la Mwanza wanaishi milimani
“Watu wengi tunakimbilia kuishi milimani kwa sababu tunapata viwanja kwa bei nafuu; pia tunaepuka mizunguko mingi tukitaka kununua viwanja kwenye maeneo ambayo siyo ya milimani.â€
9 years ago
MichuziMKUU WA WILAYA AFANYA ZIARA YA KUKAGUA VYOO MANISPAA YA SHINYANGA..AKUTANA NA VYOO VYA AJABU...KIMO CHA KULENGA KWENYE BOMBA
Hiki choo cha ajabu kiko Shinyanga maelezo yapo chini.Leo Jumatatu Novemba 30,2015 ambapo mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro ameanza kufanya ziara kutembelea kata za manispaa hiyo ili kuangalia hali ya usafi wa mazingira kubwa zaidi ni kukagua vyoo vya wananchi ilimkukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu.Mkuu huyo wa wilaya ya Shinyanga alikuwa ameambatana na mkurugenzi wa manispaa ya Shinyanga Lewis Kalinjuna,mwanasheria wa manispaa hiyo Simon Jilanga,afisa afya wa manispaa hiyo...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-YF3zdS6M3KY/VnfI7f7yaDI/AAAAAAAINow/TCS_6bCm_QE/s72-c/samwel-Manyele1.png)
Asilimia 49 kati ya asilimia 100 ya uchunguzi wa DNA yaonyesha baba si mzazi halali wa mtoto
![](http://2.bp.blogspot.com/-YF3zdS6M3KY/VnfI7f7yaDI/AAAAAAAINow/TCS_6bCm_QE/s400/samwel-Manyele1.png)
Asilimia 49 kati ya asilimia 100 ya matokeo ya uchunguzi wa makosa ya vinasaba (DNA) yanayowasilishwa katika ofisi ya Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kwa mwaka yanaonyesha kuwa baba si mzazi halali wa mtoto katika kesi hizo.
Hayo yamesemwa na Mkemia Mkuu wa Serikali, Profesa Samwel Manyele alipokuwa akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kufungua mkutano wa wadau wa wakala wa afya ya mazingira leo jijini Dar es Salaam.
“Kesi zinazopokelewa katika...
11 years ago
Mwananchi16 Mar
‘Makahaba’ wavamia Dom
“‘Short time’ vipi? Ni Sh.10,000 tu, gharama ya chumba kwangu.†Hivi ndivyo nilivyopokelewa na binti wa miaka 21 katika Mtaa wa Uhindini mkoani Dodoma nilikokwenda saa 4 usiku kufuatilia taarifa za kinadada wanaofanya biashara haramu ya ngono, maarufu kama changudoa.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Bp6VsFxYvcJUcM71ey5Guve0J0MuiWqCFqQhq7IR6Qk9hKzTQHXi-VCRNPL**yOgTEp0i7lcD90M0nny3g1X3xDb3wnK-nd4/CCMDOM.gif?width=650)
5 BORA CCM, DOM KIMENUKA!
Brighton masalu
WAKATI wa mchakato wa kuipata orodha ya tano bora ya wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Dodoma, mtafaruku wa aina yake umeibuka miongoni mwa wapambe wa wagombea waliokuwa na hofu ya kukatwa majina yao, Risasi Jumamosi limeelezwa. Wajumbe wa kamati kuu ya CCM. Kikizungumza na mwandishi wetu kwa njia ya simu juzi jioni, chanzo kilichopo Dodoma kilisema baadhi ya wapambe wa wagombea hao, wameibua...
11 years ago
Mwananchi25 Jan
Barabara ya Moro -Dom yatengamaa
Hatimaye Daraja la Magole la Mto Mkundi ambalo tuta zake zilisombwa na maji na kusababisha huduma ya usafiri kati ya Morogoro na Dodoma kukatika kwa siku tatu, limefunguliwa kwa kuruhusiwa magari ya mizigo yenye uzito wa zaidi ya tani saba kupita.
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-JkxntoBjZD8/VP3YEwU41kI/AAAAAAAHJKA/apTB9qpP7Kk/s72-c/unnamed%2B(52).jpg)
MFUMUKO WA BEI WAONGEZEKA KIDOGO KUTOKA ASILIMIA 4.0 MWEZI JANUARI, 2015 HADI KUFIKIA ASILIMIA 4.2 MWEZI FEBRUARI, 2015
![](http://1.bp.blogspot.com/-JkxntoBjZD8/VP3YEwU41kI/AAAAAAAHJKA/apTB9qpP7Kk/s1600/unnamed%2B(52).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-1nLQAkCBnRM/VP3YEy7eD4I/AAAAAAAHJKE/yuUUI8PmvSI/s1600/unnamed%2B(53).jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania