Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Barabara ya Moro -Dom yatengamaa

Hatimaye Daraja la Magole la Mto Mkundi ambalo tuta zake zilisombwa na maji na kusababisha huduma ya usafiri kati ya Morogoro na Dodoma kukatika kwa siku tatu, limefunguliwa kwa kuruhusiwa magari ya mizigo yenye uzito wa zaidi ya tani saba kupita.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

21 mbaroni kwa kufunga barabara Dom - Moro

POLISI mkoani Morogoro inawashikilia watu 21 wakituhumiwa kushiriki katika kuchochea vurugu, kuchoma moto matairi na kufunga barabara kuu ya Morogoro – Dodoma kwa saa sita eneo la Dumila Tarafa ya Magole wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wazee wa Ngwasuma kuvamia Moro, Dom

BENDI ya muziki wa dansi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ wanatarajiwa kufanya ziara katika mikoa ya Morogoro, Dodoma na Mwanza kwa ajili ya kutambulisha albamu yao mpya ya ‘Chuki...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Watano mbaroni kwa ujambazi Moro, Dom

OPERESHENI maalum iliyoshirikisha askari polisi wa mikoa ya Morogoro na Dodoma, imefanikiwa kuwatia mbaroni watuhumiwa watano wanaodaiwa kuhusika na matukio ya ujambazi na ujangili wakiwa na bunduki moja. Kamanda wa...

 

11 years ago

Habarileo

Barabara ya Moro -Dodoma yafunguka

MAGARI yaliyokuwa yamekwama kwa siku tatu kuanzia Januari 22, kwenye barabara kuu ya Morogoro - Dodoma, baada ya daraja la Mkundi eneo la Magole, wilayani hapa kuharibiwa na mafuriko, yalianza kupita jana asubuhi baada ya matengenezo ya muda kukamilika. Mbali na malori, pia mabasi yaliyokuwa yakitoka Dodoma nayo yalipita eneo hilo, baada ya gari la kwanza kuruhusiwa saa 4:30 asubuhi, siku mbili baada ya kuanza matengenezo yaliyopangwa kuchukua siku nne hadi kesho, kazi iliyozinduliwa na...

 

11 years ago

Habarileo

Mafuriko yasitisha barabara Moro- Iringa

MVUA kubwa zinazoendelea kunyesha Milima ya Doma, Wilaya ya Mvomero yamebomoa sehemu kubwa ya tuta la lami upande wa kutokea Mikumi barabara kuu ya Moro- Iringa na kutishia usalama wa magari.

 

11 years ago

Mwananchi

Mvua zaua watoto watano, barabara zafungwa Moro

>Watoto watano wamekufa maji katika maeneo mbalimbali mkoani Morogoro na mwingine Dar es Salaam jana baada ya kutumbukia kwenye mito na mashimo yaliyofurika maji ya mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini.

 

9 years ago

Habarileo

Rais Magufuli asikika, MRI Muhimbili yatengamaa

MASHINE ya MRI iliyokuwa imeharibika katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), sasa imeanza kufanya kazi baada ya kukamilika kwa matengenezo yake. Utengenezaji wa mashine hiyo ni utekelezaji wa amri ya Rais John Magufuli aliyoitoa kwa uongozi mpya wa MNH aliouteua, baada ya kutembelea hospitali hiyo hivi karibuni.

 

9 years ago

Bongo5

Video mpya ya Belle 9 ‘Burger Movie Selfie’ iliyoshutiwa Moro na director wa Moro kutambulishwa Trace Urban wiki Ijayo

Belle99

Kabla mwaka 2015 haujaisha, Belle 9 amefanikisha kupiga hatua nyingine ya mafanikio ya muziki wake, ambapo wiki ijayo video ya wimbo wake mpya uitwao “Burger Movie Selfie” itaanza kuoneshwa kwa mara ya kwanza na Trace Urban wiki ijayo.

Belle99

What's up Trace Family! Watch "Burger Movie Selfie" by @bellenine starting next week on @TRACE_Urban channel #325 on @DStv_Kenya

— TRACE East Africa (@TRACEEastAfrica) December 2, 2015

Hii itakuwa ni video ya pili ya Belle 9 kwa mwaka huu na toka ameanza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani