Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mafuriko yasitisha barabara Moro- Iringa

MVUA kubwa zinazoendelea kunyesha Milima ya Doma, Wilaya ya Mvomero yamebomoa sehemu kubwa ya tuta la lami upande wa kutokea Mikumi barabara kuu ya Moro- Iringa na kutishia usalama wa magari.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

MWIGULU NCHEMBA ASABABISHA MAFURIKO IRINGA MJINI,WANANCHI WAAHIDI KUMCHAGUA MWAKALEBELA KWA USTAWI WA IRINGA

hhhhhaMwigulu Nchemba na Mwakalebela wakiwa kwenye Gari ya wazi wakielekea Uwanja wa Mwembetogwa hapa Iringa Mjini tayari kwa uzinduzi wa kampeni za Ubunge.Mwigulu Nchemba akiingia na Gari la wazi kwenye Viwanja vya Mwembetogwa hapa Iringa Mjini kwaajili ya Kumnadi Mwakalebela anayepeperusha Bendera ya Chama Cha Mapinduzi kwenye nafasi ya Ubunge.Mwigulu Nchemba ambaye yumo kwenye kikosi cha Timu ya Ushindi ya CCM,hapa akiwasili Viwanja vya Mwembetogwa kwaajili ya kuzindua Rasmi kampeni za...

 

9 years ago

Michuzi

TRL YASITISHA KWA MUDA SAFARI ZA TRENI YA BARA KUTOKANA NA MAFURIKO KATI YA MOROGORO NA DODOMA



Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania TRL umetangaza kusitisha kwa muda kuanzia jana Januari 01, 2016, huduma zake baada ya eneo la reli ya kati ya Kilosa mkoani  Morogoro na Gulwe mkoani Dodoma tuta la reli kukumbwa na Mafuriko.  Kwa mujibu wa taarifa za kifundi eneo lililoathiriwa na mafuriko ni kubwa hivyo Wahandisi na Mafundi  wa TRL wako eneo la mafuriko  kutathmini ukubwa wa kazi yenyewe. Kutokana na  uamuzi huo treni ya abiria kutoka bara ilibidi safari yake ikatizwe ilipofika Dodoma na...

 

11 years ago

Habarileo

Dar yachangia waathirika wa mafuriko Moro

KAMATI ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Dar es Salaam, imetoa msaada wa zaidi ya Sh milioni 117 kwa waathirika wa mafuriko yaliyotokea hivi karibuni na kusababisha kukatika kwa daraja linalounganisha Mkoa wa Morogoro na Dodoma. Misaada iliyotolewa ni pamoja na magodoro 450, vyakula, maji pamoja na mahitaji mengine muhimu.

 

11 years ago

Mwananchi

Majalada kesi yasombwa na mafuriko Moro

Wakati Hakimu Mkazi Mfawidhi Mahakama ya Mwanzo Magole, Fredy Mbogela akisema kesi zote zilizokuwa zikisikilizwa katika mahakama hiyo ambayo imesombwa na maji pamoja na mafaili yote, zitaanza upya, Mkuu wa Wilaya na Mkoa wa Morogoro wanahaha kukusanya takwimu za waathirika wa mafuriko.

 

11 years ago

Mwananchi

Barabara ya Moro -Dom yatengamaa

Hatimaye Daraja la Magole la Mto Mkundi ambalo tuta zake zilisombwa na maji na kusababisha huduma ya usafiri kati ya Morogoro na Dodoma kukatika kwa siku tatu, limefunguliwa kwa kuruhusiwa magari ya mizigo yenye uzito wa zaidi ya tani saba kupita.

 

11 years ago

Habarileo

Barabara ya Moro -Dodoma yafunguka

MAGARI yaliyokuwa yamekwama kwa siku tatu kuanzia Januari 22, kwenye barabara kuu ya Morogoro - Dodoma, baada ya daraja la Mkundi eneo la Magole, wilayani hapa kuharibiwa na mafuriko, yalianza kupita jana asubuhi baada ya matengenezo ya muda kukamilika. Mbali na malori, pia mabasi yaliyokuwa yakitoka Dodoma nayo yalipita eneo hilo, baada ya gari la kwanza kuruhusiwa saa 4:30 asubuhi, siku mbili baada ya kuanza matengenezo yaliyopangwa kuchukua siku nne hadi kesho, kazi iliyozinduliwa na...

 

10 years ago

Habarileo

21 mbaroni kwa kufunga barabara Dom - Moro

POLISI mkoani Morogoro inawashikilia watu 21 wakituhumiwa kushiriki katika kuchochea vurugu, kuchoma moto matairi na kufunga barabara kuu ya Morogoro – Dodoma kwa saa sita eneo la Dumila Tarafa ya Magole wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro.

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE APOKEA HUNDI YA SH. MILIONI 100 KUTOKA CRDB KUSAIDIA WAHANGA WA MAFURIKO MORO

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimshukuru Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei, baada ya kukabidhiwa hundi ya shilingi milioni 100 kutoka benki hiyo kusaidia waathirika wa mafuriko yaliyozikumba wilaya tatu za Kilosa, Mvomero na Gairo katika Mkoa wa Morogoro, mwezi uliopita katika shughuli fupi iliyofanyika Ikulu, Dar Es Salaam leo February 4, 2014 na kuhudhuriwa pia na Mhesimiwa William Lukuvi, Waziri wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani