Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


5 BORA CCM, DOM KIMENUKA!

Brighton masalu
WAKATI wa mchakato wa kuipata orodha ya tano bora ya wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Dodoma, mtafaruku wa aina yake umeibuka miongoni mwa wapambe wa wagombea waliokuwa na hofu ya kukatwa majina yao, Risasi Jumamosi limeelezwa. Wajumbe wa kamati kuu ya CCM. Kikizungumza na mwandishi wetu kwa njia ya simu juzi jioni, chanzo kilichopo Dodoma kilisema baadhi ya wapambe wa wagombea hao, wameibua...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MIAKA 38 YA CCM NA FALSAFA YA RAIS BORA LAZIMA ATOKE CCM

Rais wa awamu ya nne ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete. CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mwishoni mwa wiki iliyopita kimeadhimisha miaka 38 tangu kuzaliwa kwake katika kaya hii. Mazuri na mabaya yake sitayajadili leo bali nitaangalia jambo moja nalo ni IMANI.
2015 ni mwaka wa uchaguzi. CCM kama chama tawala kinaingia kwenye kinyan’ganyiro hicho kikiamini falsafa ya ya kiongozi wake wa kwanza...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS UPDATES KUTOKA CCM DODOMA USIKU HUU: USIRI WATAWALA TANO BORA YA WAGOMEA WA CCM

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari usiku huu nje ya ukumbi wa White House, Makao Makuu ya CCM Mjini Dodoma, mara baada ya kumalizika kwa Kikao cha Kamati Kuu ya CCM, kilichokaa kupitisha majina matano ya wagombea Urais yatakayopelekwa kwenye Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM kujadiliawa hapo saa nne asubuhi. Nape hakutaja majina ya wagomea hao waliopita kwenye tano bora, kwa kuseka atataja asuhuhi. Muda mfupi baada ya Katibu wa NEC,...

 

10 years ago

Vijimambo

11 years ago

Mwananchi

‘Makahaba’ wavamia Dom

“‘Short time’ vipi? Ni Sh.10,000 tu, gharama ya chumba kwangu.” Hivi ndivyo nilivyopokelewa na binti wa miaka 21 katika Mtaa wa Uhindini mkoani Dodoma nilikokwenda saa 4 usiku kufuatilia taarifa za kinadada wanaofanya biashara haramu ya ngono, maarufu kama changudoa.

 

10 years ago

Raia Mwema

Tano bora yangu ya CCM ni hii

KAMA ningekuwa ni miongoni mwa wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), basi ningehaki

Lula wa Ndali Mwananzela

 

11 years ago

GPL

KIMENUKA BUNGENI

Waziri Mkuu Mizengo Pinda. Waziri wa Maliasili na Utalii, Khamisi Kagasheki.…

 

11 years ago

Mwananchi

Barabara ya Moro -Dom yatengamaa

Hatimaye Daraja la Magole la Mto Mkundi ambalo tuta zake zilisombwa na maji na kusababisha huduma ya usafiri kati ya Morogoro na Dodoma kukatika kwa siku tatu, limefunguliwa kwa kuruhusiwa magari ya mizigo yenye uzito wa zaidi ya tani saba kupita.

 

10 years ago

Mwananchi

‘CCM itateua mgombea bora wa urais 2015’

Mbunge wa Simanjiro, mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka amesema ana imani kuwa Kamati Kuu, Halmashauri Kuu na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), hawatafanya makosa ya kumpitisha mgombea wa urais asiye chaguo la wengi.

 

10 years ago

Mwananchi

Lipumba: Rais bora hawezi kutoka CCM

>Siku kadhaa tangu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete kuwatahadharisha wajumbe wa Halmashauri Kuu (NEC), ya chama hicho kwamba wanapaswa kumteua mgombea wa urais anayekubalika ndani na nje ya chama hicho, Chama cha Wananchi (CUF), kimesema kauli hiyo haina ukweli.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani