MTANDAO WA EVERJOBS TANZANIA KUWAKUTANISHA WAAJIRIWA NA WAAJIRI
Mkurugenzi Mtendaji wa Everjobs wa Ukanda wa Afrika Eric Lauer, akiwaelezea waandishi wa habari pamoja na wageni waalikwa jinsi mfumo wao wa tovuti ambao unaweza kuwaunganisha waajiri na waajiriwa kwa urahisi kabisa huku waajiri wakipata nafasi ya kuweza kupata taarifa zote muhimu kutoka kwa wanaoomba kazi kupitia tovuti hiyo pindi wanapokuwa wamejiunga na Kampuni ya Everjobs Tanzania.Mkutano huo ulifanyika jana katika hoteli ya Serena Jijini Dar Es salaam.
Mkurugenzi wa Everjobs...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog27 Feb
Jaji Kiongozi atoa somo kwa watumishi wa mahakama, vyama vya waajiri na waajiriwa
Jaji Kiongozi wa Mahakama ya Tanzania Mhe. Shaaban Lila akifungua mkutano maalum wa watendaji wa Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi, Chama cha waajiri Tanzania (ATE) na Wafanyakazi (TUCTA) leo jijini Dar es salaam. Mkutano huo unalenga kuangalia na kutafuta majibu ya changamoto mbalimbali zinazohusu maslahi ya wafanyakazi na mashauri yanayopelekwa mahakama Kuu Divisheni ya Kazi nchini.
Jaji Kiongozi wa Mahakama ya Tanzania Mhe. Shaaban Lila akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungua...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-_F1k5XUytHU/VhzR18xGBjI/AAAAAAAAif0/z0-DEl1a0Cw/s72-c/TZ%2BSeptember%2BCareer%2BReport.jpg)
EVERJOBS TANZANIA CAREER REPORT.
![](http://2.bp.blogspot.com/-_F1k5XUytHU/VhzR18xGBjI/AAAAAAAAif0/z0-DEl1a0Cw/s640/TZ%2BSeptember%2BCareer%2BReport.jpg)
New data from the everjobs...
9 years ago
Everjobs26 Sep
Everjobs officially launches career portal in Tanzania
Tanzania, 15 September 2015 – Everjobs (https://www.everjobs.co.tz/ (https://www.everjobs.co.tz/)), Tanzania’s newest online career portal, recently started its operations in Tanzania. During a press conference, Co-founder and Managing Director for Africa Eric Lauer introduced the company officially to the public.
“Everjobs is here to help with employability, which is the main issue highlighted by all the key figures in the labor market” said Eric Lauer. A survey conducted by the...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-osg-FvSoJuo/U7xYOqaUa2I/AAAAAAAFzCo/bzEQInVQiy0/s72-c/sum4.jpg)
TEAM IDDI "TEAM TANZANIA" INAOMBA KURA ZENU: KUWAKUTANISHA WATANZANIA KAMA WANA DMV BILA KUJALI MENGINEYO
Katika Historia ya DMV kwa Miaka miwili mfululizo ya Uongozi wangu tumeweza kuwajumuisha watanzania kwenye mambo mbali mbali. Tumeweza kufanya SUMMER PICNIC kwa watanzania wote wa DMV . Tuliweza kujipanga na Kuhakikisha watoto, vijana na Wazee wanajumuishwa pamoja na kufurahia, Watanzania bila Kujali Vyama na mengineyo tuliweza kujumuika kwa pamoja na kufurahi. Lengo DMV MOJA.
Kwa Kuendeleza kuonyesha ni jinsi Gani umoja Ndio Lengo la Jumuiya na Sio Kupata Mamilioni ya Fedha...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/1.Kutoka-kushoto-ni-Managing-Director-wa-Ever-Jobs-Eric-LaverOfisa-Mkuu-wa-masokoLukas-Masson-pamoja-na-Coontry-Manager-Florens-Roell..jpg)
EVERJOBS KURAHISISHA AJIRA NCHINI
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-wgXsEeuJdfk/Xp6OEQosbbI/AAAAAAALnrc/LShHFuL7PSsIrSza13UIbHYmJiQvoQV7QCLcBGAsYHQ/s72-c/Reshma.jpeg)
BrighterMonday Tanzania yaja na suluhisho kwa waajiri wakati huu wa mlipuko wa corona
Mlipuko wa homa kali ya mapafu, COVID-19 au Virus via Corona, umeleta athari katika nyanja mbalimbali za kiuchumi kote duniani, ikiwemo sekta ya ajira. Baadhi ya makampuni yamelazimika kupunguza idadi ya waajiriwa, mengine yakilazimika kufunga biashara na uzalishaji, huku mengine yakisaidia juhudi za seriali na hata sekta binafsi kukabiliana na matokeo ya mlipuko wa virusi vya Corona ili kusaidia kurudisha mataifa katika kawaida ya uzalishaji.
Hapa Tanzania, makampuni Mengi yamechangia...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-3vI_pVamJFY/XpAPXnD7HWI/AAAAAAALms4/LK0v6VCIsAscbDG2tX1yoEzeg9ZVSn06gCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_8428.jpg)
BrighterMonday Tanzania yazindua kampeni ya ‘Umoja Wakati wa Shida’ kusaidia Waajiri Kukabiliana na Athari za Janga la Corona
![](https://1.bp.blogspot.com/-3vI_pVamJFY/XpAPXnD7HWI/AAAAAAALms4/LK0v6VCIsAscbDG2tX1yoEzeg9ZVSn06gCLcBGAsYHQ/s640/IMG_8428.jpg)
Kampeni hii inalenga kuwezesha uendelevu wa juhudi za makampuni na biashara kwa kuziwesesha kufanya udahili na kuajiri watendaji sahihi ili kuongeza ufanisi...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-L0avcRS0xcA/VgD5VIiYDaI/AAAAAAAH6vw/5XcYrx_-JzI/s72-c/unnamed.jpg)
NGO YA TANZANIA Mtandao wa Kijamii wa Usimamizi wa Misitu Tanzania ( MJUMITA) YASHINDA TUZO YA UMOJA WA MATAIFA
11 years ago
Tanzania Daima01 May
11,000 waajiriwa sekta ya afya
SERIKALI imeajiri watumishi 11,221 wa sekta ya afya nchini kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2013/2014 idadi inayoelezwa kuwa kubwa katika historia ya Tanzania. Naibu Waziri wa Afya na Ustawi...