Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BrighterMonday Tanzania yazindua kampeni ya ‘Umoja Wakati wa Shida’ kusaidia Waajiri Kukabiliana na Athari za Janga la Corona

Kampuni ya uajiri na usimamizi wa rasilimali watu ya BrighterMonday Tanzania imeanzisha programu iitwayo ‘Umoja Wakati wa Shida’ inayotoa nafasi kwa waajiri (makampuni na watu binafsi) kutangaza kazi kwenye tovuti yao bure kwa kipindi cha miezi mitatu ijayo, wakati ambao taifa linakabiliana na janga la maradhi ya virusi vya Corona.
Kampeni hii inalenga kuwezesha uendelevu wa juhudi za makampuni na biashara kwa kuziwesesha kufanya udahili na kuajiri watendaji sahihi ili kuongeza ufanisi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

BrighterMonday Tanzania yaja na suluhisho kwa waajiri wakati huu wa mlipuko wa corona


Mlipuko wa homa kali ya mapafu, COVID-19 au Virus via Corona, umeleta athari katika nyanja mbalimbali za kiuchumi kote duniani, ikiwemo sekta ya ajira. Baadhi ya makampuni yamelazimika kupunguza idadi ya waajiriwa, mengine yakilazimika kufunga biashara na uzalishaji, huku mengine yakisaidia juhudi za seriali na hata sekta binafsi kukabiliana na matokeo ya mlipuko wa virusi vya Corona ili kusaidia kurudisha mataifa katika kawaida ya uzalishaji.
Hapa Tanzania, makampuni Mengi yamechangia...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YAZINDUA MWONGOZO WA TAIFA WAUENDESHAJI WA SHUGHULI ZA UTALII NCHINI TANZANIA WAKATI HUU WA JANGA LA CORONA

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla akizungumza na Wadau wa Sekta ya Utalii na Waandishi wa Habari leo jijini Arusha wakati wa Uzinduzi rasmi wa Mwongozo wa Taifa wa Uendeshaji wa shughuli za Utalii nchini Tanzania wakati huu wa janga la CORONA.Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla (Kulia) na Katibu Mkuu wa...

 

5 years ago

Michuzi

BRIGHTERMONDAY TANZANIA YAJA NA MPANGO KUSAIDIA BIASHARA KIPINDI CHA CORONA


Reshma Bharmal-Shariff, Ofisa Mtendaji Mkuu BrighterMonday Tanzania.
KAMPUNI ya ajira ya BrighterMonday Tanzania imezindua mpango unaoitwa 'Umoja Wakati wa Shida ' ambao utatoa nafasi kwa watu binafsi au kampuni kutangaza ajira bure katika kipindi hiki ambacho nchi inapambana na maambukizi ya virusi vya Corona (COVID-19).
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kampuni hiyo jijini Dar es Salaam kupitia kwa Ofisa Mtendaji Mkuu wake, Reshma Bharmal-Shariff ilieleza kuwa kampeni hiyo inalenga...

 

5 years ago

Michuzi

SADC TUIMARISHE UMOJA NA MSHIKAMANO WETU WAKATI HUU KUENEA KWA JANGA LA VIRUSI VYA CORONA-PROF.KABUDI


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof Palamagamba kabudi (Mb) (wa kwanza kushoto) akiongea na wajumbe wa mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC uliofanyika kwa njia ya (Video Conference) leo Jijini Dar es Salaam
Baadhi ya mawaziri pamoja na maafisa waandamizi/ makatibu wakuu wakifuatilia mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC uliofanyika kwa njia ya (Video Conference) leo Jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya maafisa waandamizi/ makatibu wakuu wakifuatilia mkutano wa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Simu ilivyomsaidia daktari wakati huu wa janga la corona

Vile simu ya daktari huyu ilivyokuwa mfariji wake kipindi hiki cha corona

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Changamoto anazokumbana nazo asiye na uwezo wa kuona wakati wa janga la Corona

Janga la coronavirus limesababisha matatizo kwa kila mmoja. Lakini je umewahi kujiuliza hali ikoje kwa wasio na uwezo na kuona?

 

5 years ago

BBCSwahili

Pesa za kukabiliana na janga la virusi vya corona zinatoka wapi?

Nchi tajiri zinatoa pesa za kukabiliana na janga virusi vya corona. Lakini je zinatoka wapi?

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Uzazi wakati wa janga la corona

Wakati huu wa mlipuko wa corona umekuwa wa tofauti kwa wazazi wanaopata watoto wapya kwa kuwa imekuwa si rahisi kwa watu kutembeleana kwenda kumuona mtoto mpya nyumbani au hospitalini.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Shirika la fedha duniani kukabiliana na janga kiuchumi

Benki kuu na mashirika mengine ya fedha wameanza kuchukua hatua za kunusuru uchumi wa dunia kutokana na athari zilizosababishwa na mlipuko wa corona.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani