Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tasnia ya filamu nchini yachangia kutoa ajira na kuongeza pato la taifa

B1a

Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Bibi. Joyce Fissoo akielezea namna sekta ya Filamu ilivyo piga hatua hapa nchini wakati wa mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam.Kulia ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Genofeva Matemu na kushoto ni Afisa Habari wa Idara ya Habari MAELEZO Bi. Fatma Salum.

B2

Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia mkutana wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Intaneti kuongeza pato la taifa

MATUMIZI makubwa ya mtandao wa kompyuta (intaneti) yatasaidia ongezeko la pato la taifa (GDP). Hayo yameelezwa katika jukwaa la wadau wa mtandao wa intaneti (IGF) lililofanyika mwishoni mwa wiki.

 

10 years ago

Vijimambo

WADAU WA FILAMU WAKUTANA NA KUJADILI MAENDELEO YA TASNIA YA FILAMU NCHINI.

Katibu Bodi ya Filamu Tanzania, Bi. Joyce Fissoo (kulia) akieleza jambo wakati wa mkutano wa kujadili mambo yanayohusu tasnia ya filamu Tanzania uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Afisa wa Bodi hiyo, Bw. Benson Mkenda.Kaimu Mwenyekiti Bodi ya Filamu Tanzania, Sylivester Sengerema akieleza jambo wakati wa mkutano wa kujadili mambo yanayohusu tasnia ya filamu Tanzania uliofanyika katika ofisi za bodi hiyo leo jijini Dar es Salaam.Kaimu Mwenyekiti Bodi ya Filamu Tanzania, Sylivester...

 

11 years ago

Michuzi

Shirikikisho la Wasanii wa Filamu Tanzania lawasilisha maoni ya utafiti wa tasnia ya filamu nchini

 Mkurugenzi wa Sera na Mipango kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Joyce Mwakisyala  (katikati )akipokea maoni ya  Utafiti  kuhusu Tasnia ya Filamu Tanzania kutoka kwa Rais wa Shirikisho la Wasanii wa Filamu Tanzania (TAFF) Bwana Simon Mwakifwamba wa kwanza kulia, kushoto ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi Joyce Fissoo  Rais wa Shirikikisho la Wasanii wa Filamu Tanzania (TAFF) Bwana Simon Mwakifwamba wa pili kutoka kulia akionyesha maoni ya  Utafiti ...

 

9 years ago

Bongo Movies

Chilwa Kutoa Upapa Kula Dagaa Katika Tasnia ya Filamu

TUPO katika mchakato wa uchaguzi wa vyama vinavyounda shirikisho la filamu Tanzania (TAFF) tukiangazia uchaguzi wa chama cha waigizaji Taifa TDFAA huku kila mgombea akijinadi kwa madaha na leo hii FC iliongea na Salum Hussein Chilwa akiitaka nafasi hiyo na kumwaga sera zake kwa wapiga kura wake.

Salum Chilwa akiwa kazini

Salum Chilwa akiwa kazini

Chilwa ambaye alikuwa makamu mwenyekiti wa chama cha Waigizaji Kinondoni anasema anatosha kugombea uenyekiti Taifa kwania ana uzoefu mkubwa na anakuja kwa ajili ya...

 

10 years ago

Bongo Movies

MJADALA: Mapinduzi ya Tasnia ya Filamu Nchini Tanzania

ZAMARADI MKETEMA ameandika sehemu....

“…Natamani sana siku moja atokee mtu kwenye hii sekta atutambulishe hata kama sio kimataifa basi africa tu. R.I.P KANUMBA alianza kuonesha mwangaza na juhudi binafsi zilionekana na kila mtu aliona huenda angefika mbali.. lakini baada ya hapo sioni tena!!!!

Mbona hapa nyumbani ni wakubwa tu..? Nini kinawakwamisha..? Kwanini wasanii wetu wa filamu ukubwa wao unaishia nyumbani tu....!!? Tatizo ni nini!!!????? kiukweli ni kama inakatisha tamaa na inaonekana...

 

10 years ago

Vijimambo

Mchango wa Proin Promotions ltd katika Kukuza tasnia ya filamu Nchini

Unapozungumzia tasnia ya filamu nchini basi huwezi kuacha kuzungumzia makampuni ya kusambaza kazi za filamu Tanzania na Nje ya Tanzania. Kuna Makampuni mengi sana ambayo yanasambaza kazi za filamu ndani na Nje ya Tanzania lakini Katika Makampuni hayo huwezi kuacha Kuitaja Kampuni ijulikanayo kama PROIN PROMOTIONS LTD yenye makao yake Mikocheni na Mabibo.Proin Promotions Ltd ni kampuni ya kutengeneza na kusambaza filamu za Kitanzania ndani na nje ya Tanzania ambapo Mwaka huu mwezi Agasti 30...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani