Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zitto Kabwe apongeza nguvu ya mitandao ya kijamii kwa kusababisha kusitishwa kwa ajira katika idara ya uhamiaji

Nguvu ya mitandao ya kijamii hususan Facebook, Twitter na forums mbalimbali, inafahamika kwa kusababisha mashinikizo makubwa kwenye serikali nyingi duniani. Mfano hai ni jinsi mitandao hiyo ilivyopelekea idara ya uhamiaji kusitisha ajira zake. “Uamuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani kusitisha ajira ya idara ya uhamiaji ni hekima sana. Hii pia inaonyesha nguvu ya social […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KATIKA JESHI LA MAGEREZA KWENYE BAADHI YA MITANDAO YA KIJAMII


Katika siku za hivi karibuni, kumekuwepo na tangazo kuhusu nafasi za ajira katika Jeshi la Magereza linalodaiwa kuwa limetolewa na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza na kusambazwa kwenye baadhi ya Mitandao ya kijamii. Umma unajulishwa kuwa taarifa hizo siyo za kweli.
Jeshi la Magereza linapenda kuufahamisha umma kuwa ajira hutolewa na kutangazwa kupitia Vyombo vya Habari pamoja na tovuti ya Jeshi la Magereza ya www.magereza.go.tz 
Hivyo, Jeshi la Magereza linawatahadharisha Wananchi wote...

 

5 years ago

Michuzi

MITANDAO YA KIJAMII YAZIDI KUONGEZA WIGO WA AJIRA KWA VIJANA,'APP' YA BIDHAA YA KEKI YAZINDULIWA LEO JIJINI DAR

Mitandao ya kijamii   imeongeza wigo katika ajira kwa vijana kufanya ubunifu mbalimbali ikiwemo uuzaji wa bidhaa kwa kutumia mitandao hiyo.

Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Melisa Lilian Ringo wakati akizindua App kwa ajili ya Keki iliyofanyika leo, jijini Dar es Salaam.

Ringo amesema kuwa watu wanaohitaji Keki watakwenda kwenye mtandao na kufungua 'Melisa Cake'  na kuchagua aina mbalimbali za Keki.Amesema mteja akiingia katika App hiyo atachagua Keki aitakayo baada ya hapo ...

 

5 years ago

Michuzi

IDARA YA UHAMIAJI YAKABIDHIWA NYUMBA ZA MAKAZI KWA MAOFISA NA ASKARI WA IDARA YA HIYO ENEO LA IYUMBU, JIJINI DODOMA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Wa kwanza kushoto) akisalimiana na Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (Wa pili kulia) baada ya kuwasili katika eneo la Iyumbu, ilipofanyika hafla ya makabidhiano ya Nyumba 103 za Makazi kwa Maofisa na Askari wa Idara ya Uhamiaji, Jijini Dodoma
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Wa kwanza kushoto) akipokea salamu kutoka kwa Kamishna Jenerali wa Idara ya Uhamiaji...

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu hachaguliwi kwa kura za maoni wala kwa mitandao ya kijamii – Mwakyembe

Harrison-Mwakyembe1-620x308

Mbunge Mteule wa Jimbo la Kyela,  Dkt. Harrison Mwakyembe.

Na Lilian Lundo, MAELEZO-DODOMA

Mbunge Mteule wa Jimbo la Kyela,  Dkt. Harrison Mwakyembe amesema Waziri Mkuu wa Serikali ya Awamu ya Tano ya Tanzania  atatokana  na uteuzi utakaoidhinishwa na  Bunge na si taarifa zilizopo sasa katika mitandao ya kijamii.

Dkt. Mwakyembe ambaye amewahi kuwa Waziri wa Uchukuzi katika Serikali ya Awamu ya Nne, alisema kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi,  Waziri Mkuu anateuliwa na Rais ambaye...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU ACHAGULIWI KWA KURA ZA MAONI WALA KWA MITANDAO YA KIJAMII - MWAKYEMBE

Na Lilian Lundo, MAELEZO, DODOMA
Mbunge Mteule wa Jimbo la Kyela,  Dkt. Harrison Mwakyembe (pichani) amesema Waziri Mkuu wa Serikali ya Awamu ya Tano ya Tanzania atatokana  na uteuzi utakaoidhinishwa na  Bunge na si taarifa zilizopo sasa katika mitandao ya kijamii.Dkt. Mwakyembe ambaye amewahi kuwa Waziri wa Uchukuzi katika Serikali ya Awamu ya Nne, alisema kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi,  Waziri Mkuu anateuliwa na Rais ambaye huwasilisha jina hilo kwa Spika wa Bunge na baadaye...

 

10 years ago

Mwananchi

Baada ya kufukuzwa, Zitto aigawa mitandao ya kijamii

Mitandao ya kijamii imeanza kuchukua nafasi na hata kuwa sehemu ya maisha ya kawaida, watumiaji wake hupata taarifa mbalimbali na pia nafasi ya kuanzisha mijadala motomoto.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani