Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Baada ya kufukuzwa, Zitto aigawa mitandao ya kijamii

Mitandao ya kijamii imeanza kuchukua nafasi na hata kuwa sehemu ya maisha ya kawaida, watumiaji wake hupata taarifa mbalimbali na pia nafasi ya kuanzisha mijadala motomoto.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

Zitto Kabwe apongeza nguvu ya mitandao ya kijamii kwa kusababisha kusitishwa kwa ajira katika idara ya uhamiaji

Nguvu ya mitandao ya kijamii hususan Facebook, Twitter na forums mbalimbali, inafahamika kwa kusababisha mashinikizo makubwa kwenye serikali nyingi duniani. Mfano hai ni jinsi mitandao hiyo ilivyopelekea idara ya uhamiaji kusitisha ajira zake. “Uamuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani kusitisha ajira ya idara ya uhamiaji ni hekima sana. Hii pia inaonyesha nguvu ya social […]

 

11 years ago

BBCSwahili

Gumzo kwenye mitandao ya kijamii

Kwani mtindo wa nywele au ushungi wa mtu unasema chochote kuhusu tabia au mwenendo wa mtu huyo?

 

9 years ago

Mwananchi

Kampeni zatawala mitandao ya kijamii

Wakati kampeni za Uchaguzi Mkuu zikipamba moto majukwaani, matumizi ya mitandao ya kijamii imeshika kasi kwa makundi na watu binafsi kuitumia kuwanadi wagombea wao.

 

11 years ago

Mwananchi

Mitandao ya kijamii sasa kudhibitiwa

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), inajipanga kuja na mfumo wa kompyuta utakaoratibu taarifa zote zinazopakiwa mtandaoni ili kukabiliana na vitendo vya udhalilishaji vinavyofanywa na watu wasio na maadili ya uandishi wa habari.

 

9 years ago

Mwananchi

Mpinga ajivunia mitandao ya kijamii

Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Mohamed Mpinga amesema mitandao ya kijamii kama vile Whatsapp, Facebook na Instagram imesaidia kupunguza ajali.

 

10 years ago

Habarileo

Mitandao ya kijamii wapewa somo

Innocent MungyWATUMIAJI wa mitandao ya kijamii nchini wametakiwa kujiandaa kutumia sheria mpya ya mawasiliano iliyopitishwa bungeni hivi karibuni.

 

10 years ago

GPL

PICHA ZA LULU ZATIKISA MITANDAO YA KIJAMII

Staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael Kimemeta 'Lulu' akiwa katika mapozi tofauti baada ya kuachia picha hizi kupitia account yake ya Instagram siku ya jana na kupelekea kutikisa katika mitandao ya kijamii huku wapenzi wake wakimuita Kim Kardashian wa bongo.…

 

9 years ago

Mwananchi

Twaweza yawagonganisha watumiaji mitandao ya kijamii

Siku moja baada ya Taasisi ya Twaweza kutoa matokeo ya utafiti unaoonyesha kuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli anakubalika zaidi kuliko mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa, imeibua mjadala mzito kwenye mitandao ya kijamii kati ya wafuasi wa wagombea hao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani