Kampeni zatawala mitandao ya kijamii
Wakati kampeni za Uchaguzi Mkuu zikipamba moto majukwaani, matumizi ya mitandao ya kijamii imeshika kasi kwa makundi na watu binafsi kuitumia kuwanadi wagombea wao.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog21 Nov
Kampeni ya 2 Get Noted kujumuisha simu, mitandao ya kijamii na matangazo ya nje
Kwa kawaida matangazo ya nje vya habari huwa na muingiliano wenye kushika hatamu, kuunganisha, matokeo mazuri na ushawishi mkubwa. Hali kadhalika, matangazo ya nje yanapojumuishwa na teknolijia ya kidigitali, mitandao ya kijamii na simu za kiganjani hufanikisha wepesi wa maudhui kufikia wahusika wanapokuwa mbali na makazi yao kwa kuwa njia nyingine sio mbadala kufika huko. Samsung Electronics Tanzania ikishirikiana na Continental Outdoor Media Ltd wameanzisha kampeni madhubuti inayohusisha...
9 years ago
Mtanzania20 Oct
Kampeni za Fella burudani zatawala
WAKALI wa muziki wa Bongo Fleva, juzi walifunga kampeni za mgombea udiwani wa Kata ya Kilungule, Mbagala, jijini Dar es Salaam, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Said Fella kwa kupagawisha wakazi wa eneo hilo kwa onyesho la aina yake.
Shamra shamra za wakazi wa eneo hilo zilianza baada ya kusikika uwepo wa wasanii maarufu na wenye majina
makubwa nchini akiwemo, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, Nurdin Bilal ‘Shetah’, Hamis Mwinjuma ‘Fa’, kundi la Yamoto na wengine wengi.
Baadhi ya wasanii...
10 years ago
Habarileo05 Apr
Mitandao ya kijamii wapewa somo
WATUMIAJI wa mitandao ya kijamii nchini wametakiwa kujiandaa kutumia sheria mpya ya mawasiliano iliyopitishwa bungeni hivi karibuni.
11 years ago
Mwananchi20 Jun
Mitandao ya kijamii sasa kudhibitiwa
11 years ago
BBCSwahili06 Aug
Gumzo kwenye mitandao ya kijamii
9 years ago
Mwananchi03 Jan
Mpinga ajivunia mitandao ya kijamii
11 years ago
Tanzania Daima23 Jan
OMIS yaanzisha tuzo za mitandao ya kijamii
KAMPUNI ya ‘Opt Media Information Solutions (OMIS),’ kwa kushirikiana na wadau mbalimbali imeanzisha tuzo za mitandao ya kijamii inayofanya vizuri nchini. Akizungumza na Tanzania Daima jana, Meneja Mkuu wa kampuni...
10 years ago
GPL![](http://3.bp.blogspot.com/-nVd6D5O3TK4/VFpxCgJnpQI/AAAAAAAGvqE/ulDVmljibuc/s1600/1415213231614_Screenshots.png)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3QWN5yhdbacWFkPr9ttXZ*aECzWP6NkAAqqm0luWat2lchL6HRF26WK16ziSw9HIMQKmLmI278fNVkWOaMFpgYvzUIG80HgA/NEW.jpg?width=650)