Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kampeni za Fella burudani zatawala

felaWAKALI wa muziki wa Bongo Fleva, juzi walifunga kampeni za mgombea udiwani wa Kata ya Kilungule, Mbagala, jijini Dar es Salaam, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Said Fella kwa kupagawisha wakazi wa eneo hilo kwa onyesho la aina yake.

Shamra shamra za wakazi wa eneo hilo zilianza baada ya kusikika uwepo wa wasanii maarufu na wenye majina
makubwa nchini akiwemo, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, Nurdin Bilal ‘Shetah’, Hamis Mwinjuma ‘Fa’, kundi la Yamoto na wengine wengi.

Baadhi ya wasanii...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Kampeni zatawala mitandao ya kijamii

Wakati kampeni za Uchaguzi Mkuu zikipamba moto majukwaani, matumizi ya mitandao ya kijamii imeshika kasi kwa makundi na watu binafsi kuitumia kuwanadi wagombea wao.

 

11 years ago

GPL

BURUDANI ZATAWALA DAR LIVE KABLA YA UZINDUZI WA ALBAMU MPYA 'CHOZI LA MAMA'

Mashabiki wa Jahazi Modern Taarab wakijiachia ndani ya Dar Live usiku huu kabla ya uzinduzi wa albamu mpya 'Chozi la…

 

9 years ago

GPL

SITTI MTEMVU AIBUKA KAMPENI ZA FELLA

Gladness Mallya MISS Tanzania 2014 aliyevua taji kutokana na skendo ya kudanganya umri, Sitti Mtemvu juzikati aliibuka na kuwa kivutio kwenye kufunga kampeni za udiwani katika kata ya Kilungule, Temeke jijini Dar anakogombea bosi wa lebo ya muziki ya Mkubwa na Wanawe, Said Fella.  ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1W4HK8c

 

11 years ago

Dewji Blog

Skylight Band waleta homa ya burudani ndani ya Jiji la Dar, njoo utibiwe Thai Village Ijumaa hii kwa burudani ya nguvu

DSC_0001

Sam Mapenzi akiamsha amsha Taratibuuuuuuu ndani ya Thai Village.

DSC_0002

Winfrida Richard akiimba kwa sauti nyororooooo kabisaaaa amsha amsha kwa mashabiki ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita.

DSC_0003

Sam Mapenzi kushoto akiwa na Winfrida Richard wakitoa vocal za ukweli kuwapa raha mashabiki wao ndani ya Thai Village.

DSC_0004

DSC_0008

Aneth Kushaba AK47  toka kulia akiongoza makamuzi ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita.

DSC_0011

Joniko Flower kushoto  akiongoza makamuzi ya sebene kaliii akipewa sapoti na Sony Masamba.

DSC_0014

 

10 years ago

Vijimambo

UZINDUZI RASMI WA KAMPENI YA WAZAZI NIPENDENI NI KESHO VIWANJA VYA MWEMBE YANGA JIJINI DAR ES SALAAM MAANDALIZI YAMEKAMILIKA WANA MUZIKI LULUKI KUTOA BURUDANI WANDUGU SAIDIA TUTANI UZINDUZI RASMI NI KESHO

 Mshauri wa masuala ya Malaria kutoka Taasisi ya Jhpiego, Jasmin Chadewa (kushoto), akitoa huduma ya kumpa dawa ya vitamini A, mtoto Rahim Simai,  viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam leo asubuhi ikiwa ni utoaji huduma wa elimu ya afya kwa wajawazito na matumizi ya dawa aina ya SP, upimaji wa malaria pamoja na matumizi ya vyandarua kama muendelezo wa huduma za afya ya mama mjamzito na mtoto kuelekea uzinduzi wa awamu ya pili wa Kampeni ya Wazazi Nipendeni utakaofanyika kesho katika viwanja...

 

10 years ago

Vijimambo

Sare zatawala AFCON

imageSiku ya pili ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) imemalizika kwa timu kwenda sare, wababe Tunisia wakibanwa na timu ndogo ya Visiwa vya Cape Verde huku Zambia wakienda sare na Kongo Kinshasa.

Cape Verde walifanikiwa kusawazisha bao na kuwazuia Tunisia kuondoka na pointi zote tatu kwenye mechi ya kundi B. Tunisia walifunga kupitia kwa Mohamed Ali Moncer, lakini likasawazishwa na Héldon Ramos.

Tunisia waliofuzu kwa mashindano haya kwa mara ya 12 mfululizo, walipata pigo kabla ya...

 

10 years ago

Habarileo

Shaka zatawala muswada wa maadili

BAADHI ya wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wamegawanyika kuhusu muswada wa kuweka maadili ya viongozi wa umma ambapo wamekuwa na wasiwasi kama muswada huo unaweza kufanya kazi zake vizuri na kuwatia hatiani wahusika kwa sababu unawahusu moja kwa moja viongozi wa ngazi za juu serikalini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani