Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sare zatawala AFCON

imageSiku ya pili ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) imemalizika kwa timu kwenda sare, wababe Tunisia wakibanwa na timu ndogo ya Visiwa vya Cape Verde huku Zambia wakienda sare na Kongo Kinshasa.

Cape Verde walifanikiwa kusawazisha bao na kuwazuia Tunisia kuondoka na pointi zote tatu kwenye mechi ya kundi B. Tunisia walifunga kupitia kwa Mohamed Ali Moncer, lakini likasawazishwa na Héldon Ramos.

Tunisia waliofuzu kwa mashindano haya kwa mara ya 12 mfululizo, walipata pigo kabla ya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Ligi ya mabingwa sare zatawala ufunguzi

Mechi mbili za kwanza katika hatua ya kumi na sita bora ya michuano ya ligi ya mabingwa ulaya zimemalizika kwa sare.

 

10 years ago

GPL

NGWASUMA, TWANGA ZILIVYOMENYANA JANA NA KUTOKA ‘SARE=SARE’

Twanga wakikamua jukwaani. Umati wa watu wakisebeneka Kalala Junior akiimba kwa hisia. Luiza Mbutu akiyarudi…

 

10 years ago

Vijimambo

SARE SARE MAUA YA KANYE WEST NA KIM KARDASHIAN

Kanye West Kim Kardashiani wakiwa wamevaa ngua zinazofanana siku ya Alhamisi mitaa ya New York City,  Jimbo la New York nchi Marekani

 

5 years ago

Michuzi

MATOKEO YA SARE NNE MFULULIZO KWA TIMU YA YANGA YAPOTEZA MATUMAINI YA MBIO ZA UBINGWA...YATOA TENA SARE KWA COASTAL UNION ...


Yassir Simba, Michuzi Tv

MATUMAINIA ya timu ya soka ya Yanga ya jijini Dar es Salaam kuwamo kwenye mbio za kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu yamezidi kuyeyuka baada ya mchezo wake wa leo dhidi ya Coastal Union a.k.a Wagosi Wakaya kumaliza kwa sare ya bila kufungana.

Mchezo wa Yanga dhidi ya Coastal Union umefanyika leo Februari  23 mwaka huu wa 2020 ambapo kila timu ilionekana kuhitaji kuibuka na ushindi wa alama tatu lakini hadi dakika 90 zimalizika wamemaliza kwa kupata...

 

10 years ago

Mwananchi

Sare, sare maua!

Mikoani. Ligi Kuu Tanzania Bara iliendelea jana kwa sare zilizotawala, ingawa ilikuwa siku njema kwa Stand United ya Shinyanga iliyong’ara.

 

9 years ago

Mwananchi

Kampeni zatawala mitandao ya kijamii

Wakati kampeni za Uchaguzi Mkuu zikipamba moto majukwaani, matumizi ya mitandao ya kijamii imeshika kasi kwa makundi na watu binafsi kuitumia kuwanadi wagombea wao.

 

9 years ago

Mtanzania

Kampeni za Fella burudani zatawala

felaWAKALI wa muziki wa Bongo Fleva, juzi walifunga kampeni za mgombea udiwani wa Kata ya Kilungule, Mbagala, jijini Dar es Salaam, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Said Fella kwa kupagawisha wakazi wa eneo hilo kwa onyesho la aina yake.

Shamra shamra za wakazi wa eneo hilo zilianza baada ya kusikika uwepo wa wasanii maarufu na wenye majina
makubwa nchini akiwemo, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, Nurdin Bilal ‘Shetah’, Hamis Mwinjuma ‘Fa’, kundi la Yamoto na wengine wengi.

Baadhi ya wasanii...

 

10 years ago

Habarileo

Shaka zatawala muswada wa maadili

BAADHI ya wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wamegawanyika kuhusu muswada wa kuweka maadili ya viongozi wa umma ambapo wamekuwa na wasiwasi kama muswada huo unaweza kufanya kazi zake vizuri na kuwatia hatiani wahusika kwa sababu unawahusu moja kwa moja viongozi wa ngazi za juu serikalini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani