Uhamiaji msirudie kutoa ajira za upendeleo
Kufutwa kwa ajira 200 za konstebo na koplo katika Idara ya Uhamiaji mwishoni mwa Agosti, mwaka huu kutokana na kutolewa kwa upendeleo, bila shaka kutakuwa kumetoa fursa kwa wahusika kujipima kama kweli wanafaa kuendelea kushikilia nyadhifa zao.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi26 Aug
Ajira za upendeleo haziko Uhamiaji pekee
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-MdcTyrV9dVw/XqKZAO_gsEI/AAAAAAAC310/Te1brv3QwO8elZyPeRxHyLeR9LNC19cTACLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
SERIKALI KUTOA AJIRA ZAIDI YA 4000 KWA POLISI, MAGEREZA, UHAMIAJI NA ZIMAMOTO
![](https://1.bp.blogspot.com/-MdcTyrV9dVw/XqKZAO_gsEI/AAAAAAAC310/Te1brv3QwO8elZyPeRxHyLeR9LNC19cTACLcBGAsYHQ/s400/1.jpg)
Serikali Kutoa Ajira Zaidi ya 4000 kwa Polisi, Magereza, Uhamiaji, ZimamotoAkiwasilisha makadirio ya bajeti ya mwaka 2020/21, Waziri wa wizara hiyo, George Simbachawene, alisema ajira hizo zitakwenda pamoja na mafunzo mbalimbali kwa askari na watumishi mbalimbali.
Alisema kwa mwaka huo, Jeshi la Polisi linatarajia kuajiri askari 2,725, askari Magereza 685, Uhamiaji 495 na Zimamoto...
11 years ago
Michuzi29 Jul
10 years ago
Tanzania Daima24 Aug
Kuna ajira ngapi za upendeleo serikalini?
WIZARA ya Mambo ya Ndani, imetangaza kufuta ajira 228 baada ya kuthibitika kuwa zilitolewa kinyume na taratibu kwa upendeleo. Hatua hii ya wizara inafuatia malalamiko kutoka katika jamii, kupitia vyombo vya...
11 years ago
Tanzania Daima27 Jul
Uhamiaji yamwaga ajira kindugu
IDARA ya Uhamiaji imekumbwa na kashfa nyingine ya kuajiri watoto na ndugu wa vigogo wa idara hiyo. Hayo yalibainika baada ya idara hiyo kutoa matangazo katika vyombo mbalimbali vya habari...
11 years ago
Tanzania Daima29 Jul
Ajira za kindugu Uhamiaji moto
SIKU moja baada ya gazeti hili kuripoti kashfa ya Uhamiaji kudaiwa kutoa ajira kwa kuwapendelea watoto na ndugu wa vigogo wa idara hiyo, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi...
10 years ago
Mwananchi22 Aug
Wizara yafuta ajira 200 za Uhamiaji
10 years ago
Mtanzania22 Aug
Ajira 200 Uhamiaji zafutwa rasmi
![Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbaraka Abdulwakil](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Mbaraka-Abdulwakil.jpg)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbaraka Abdulwakil
Patricia Kimelemeta na Mauli Muyenjwa, Dar es Salaam
WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi imefuta ajira 200 za uhamiaji zikiwamo 28 kutoka Zanzibar kutokana na madai mbalimbali yakiwamo ya watumishi wa idara hiyo kuajiri ndugu na jamaa zao.
“Tumefuta ajira za watu 200 zikiwamo 28 kutoka Zanzibar za idara ya uhamiaji kwa nafasi ya konstebo na koplo ambazo zilizotangazwa na vyombo vya habari nchini,” alisema Katibu Mkuu wa...
11 years ago
Mwananchi30 Jul
Uhamiaji yatoa ufafanuzi ajira zilizositishwa