Wabunge wa Chadema wamkaribisha Lowassa
>Baadhi ya wabunge wa Chadema wamezungumzia taarifa zinazosambaa zikieleza kuwapo mkakati wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kuhamia katika chama hicho, wengi wao wakimkaribisha.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
WABUNGE WALIOMWITA LOWASSA FISADI SASA WAMKARIBISHA KWENYE CHAMA CHAO
By Florence Majani, Mwananchi
Dar es Salaam. Baadhi ya wabunge wa Chadema wamezungumzia taarifa zinazosambaa zikieleza kuwapo mkakati wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kuhamia katika chama hicho, wengi wao wakimkaribisha.
Wakati wabunge hao wakikubali kumpokea, Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Willibrod Slaa amesema wananchi wasubiri mambo yatakapokuwa tayari badala ya kutegemea mitandao ya kijamii.
“Nitazungumza pale mambo yatakapokuwa sawa, siwezi kuzungumza sasa, subirini… sasa hivi...
10 years ago
Mwananchi29 Jul
LOWASSA CHADEMA: Fitina zimempeleka Lowassa upinzani
10 years ago
Vijimambo09 Feb
Wabunge wambeba Lowassa mbio urais

Hali hiyo inajitokeza wakati wa Mkutano wa Bunge wa 18 ukihitimishwa mwishoni mwa wiki na kubakia miwili tu Bunge la 10 kufikia tamati, hivyo...
9 years ago
Mwananchi07 Nov
Lowassa aipa Ukawa wabunge 116
10 years ago
Mwananchi15 May
Wabunge wahoji tena Lowassa kutosafishwa
10 years ago
Mtanzania09 Feb
Wabunge 150 wasimama kuhesabiwa kwa Lowassa
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
WABUNGE 150 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamemwomba Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa, muda ukifika achukue fomu ya kuomba kuteuliwa kuwa mgombea urais wa chama hicho katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
Kauli hiyo waliitoa juzi mjini hapa katika hafla ya chakula cha jioni iliyofanyika Kilimani nyumbani kwa kigogo mmoja wa CCM ambaye aliwaalika wabunge wa chama hicho akiwemo Lowassa.
Wakizungumza katika ghafla hiyo wabunge...
10 years ago
Habarileo24 Oct
Lowassa awaombea kura wabunge, madiwani wa CCM
MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anayeungwa mkono na mwavuli wa Ukawa, Edward Lowassa, amejikuta akiombea kura wabunge na madiwani waliosimamishwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM).
11 years ago
Mwananchi23 Jan
Chadema yawaonya wabunge CCM
11 years ago
Mwananchi19 Jun
Wabunge Chadema waumbuana bungeni