Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wabunge Chadema waumbuana bungeni

Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (Chadema) amemshukia Leticia Nyerere (Viti Maalumu-Chadema) kwa kumtaka aende CCM kwa sababu bado Mwenyekiti wa chama hicho, Rais Jakaya Kikwete ana nafasi za kuteuwa wabunge. Hadi sasa Rais Kikwete ameshateua wabunge wanane kati ya nafasi 10 alizopewa kikatiba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wabunge waumbuana kupokea rushwa bungeni

Mbunge wa Viti Maalum, Suzan Kiwanga (Chadema), amewaumbua wabunge wenzake kuwa wanapeana na kuchukua rushwa ndani ya Bunge.

 

11 years ago

Habarileo

Ukawa waumbuana Bungeni

TABIA ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, hasa kutoka vyama vya upinzani waliounda kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kutafuta kasoro ndogo ndogo za kutaka Bunge liahirishwe mara kwa mara, imewatokea puani. Jana baadhi ya wajumbe hao akiwepo Ismail Jussa Ladhu, Tundu Lisu, John Mnyika na Moses Machali, walisimama kupinga marekebisho ya kanuni za Bunge Maalumu kwa madai kuwa yameletwa haraka haraka na yana nia ovu.

 

11 years ago

Mwananchi

Wabunge waumbuana hadharani

Wabunge jana waliumbuana kuhusu matumizi mabaya ya fedha za umma huku Kiongozi wa Kambi ya Upinzani, Freeman Mbowe akituhumiwa kuagiza kubadilishwa kwa tiketi ya ndege ya Mbunge wa Viti Maalumu (Chadema), Joyce Mukya ili afupishe ziara yake ya kikazi huko Marekani na kwenda Uarabuni kwa shughuli binafsi.

 

11 years ago

Mwananchi

Kuomba fedha LAPF: Wabunge waumbuana

>Bunge jana liligeuka uwanja wa kurushiana makombora pale wabunge walipoumbuana kuhusu baadhi yao kudaiwa kuwa ombaomba katika Mfuko wa Pensheni kwa Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (LAPF).

 

5 years ago

Michuzi

SPIKA NDUGAI AWATAKA WABUNGE CHADEMA KURUDISHA POSHO WALIOZOCHUKUA BUNGENI

*Pia aagiza warudi bungeni haraka wakiwa na vipimo vyao vya majibu ya Corona
*Watakaogoma majina yao kukabidhiwa kwa vyombo vya ulinzi na usalama

Na Said Mwishehe,Michuzi TV.
SPIKA wa Bunge Job Ndugai amekunjua makucha yake kwa wabunge wa Chadema ambao wametoroka Bungeni wakiongozwa na Freeman Mbowe huku akiwataka warudi bungeni haraka iwezekanavyo na fedha za posho wamechukua kwa siku 14 wanatakiwa kuzirudisha kwa kuziweka katika akaunti ya Bunge.
Pia Spika Ngugai amewaagiza wabunge hao kuwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge 33 wapitisha muswada bungeni

Wabunge 33 jana walipitisha Muswada wa Benki ya Posta Tanzania (kufuta sheria iliyoanzisha Sheria ya Benki ya Posta na kuweka masharti ya mpito).

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge wa CCM nusura wazichape bungeni

Dodoma. Wabunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Gosbert Blandes (Karagwe) na Rosemary Kirigini (Viti Maalumu) jana nusura wakunjane mashati nje ya Ukumbi wa Bunge, baada ya Kirigini kukasilishwa na kauli iliyotolewa na mwenzake akimtuhumu Mkuu wa Wilaya ya Karagwe, Dari Rwegasira.

 

10 years ago

Mwananchi

Nusu ya wabunge hawatarudi bungeni mwakani

Wakati Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania likiendelea na vikao vyake mjini Dodoma, imeelezwa kwamba nusu ya wabunge 239 wa kuchaguliwa waliopo sasa, watabwagwa katika Uchaguzi Mkuu 2015.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani