Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kuomba fedha LAPF: Wabunge waumbuana

>Bunge jana liligeuka uwanja wa kurushiana makombora pale wabunge walipoumbuana kuhusu baadhi yao kudaiwa kuwa ombaomba katika Mfuko wa Pensheni kwa Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (LAPF).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

‘Hakuna tatizo wabunge kuomba fedha LAPF’

IMEELEZWA kuwa suala la wabunge na mawaziri kuomba fedha kwa ajili ya maendeleo katika majimbo yao kwenye mifuko ya jamii na taasisi nyingine siyo baya, kwani wana fungu maalumu kwa ajili hiyo. Pia imeelezwa kuwa mbaya ni kukopa katika mifuko ya jamii na kushindwa kulipa, huku kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni Freeman Mbowe akitajwa kukopa na sasa ana hati ya kukamatwa kutokana na tukio hilo.

 

11 years ago

Mwananchi

Wabunge waumbuana hadharani

Wabunge jana waliumbuana kuhusu matumizi mabaya ya fedha za umma huku Kiongozi wa Kambi ya Upinzani, Freeman Mbowe akituhumiwa kuagiza kubadilishwa kwa tiketi ya ndege ya Mbunge wa Viti Maalumu (Chadema), Joyce Mukya ili afupishe ziara yake ya kikazi huko Marekani na kwenda Uarabuni kwa shughuli binafsi.

 

11 years ago

Mwananchi

Wabunge Chadema waumbuana bungeni

Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (Chadema) amemshukia Leticia Nyerere (Viti Maalumu-Chadema) kwa kumtaka aende CCM kwa sababu bado Mwenyekiti wa chama hicho, Rais Jakaya Kikwete ana nafasi za kuteuwa wabunge. Hadi sasa Rais Kikwete ameshateua wabunge wanane kati ya nafasi 10 alizopewa kikatiba.

 

11 years ago

Mwananchi

Wabunge waumbuana kupokea rushwa bungeni

Mbunge wa Viti Maalum, Suzan Kiwanga (Chadema), amewaumbua wabunge wenzake kuwa wanapeana na kuchukua rushwa ndani ya Bunge.

 

9 years ago

StarTV

FA Yaitaka FIFA kurudisha fedha za kuomba uenyeji wa kombe la Dunia

Kufuatia matamshi ya kuudhi yaliyotolewa na rais wa FIFA aliyesimamishwa Joseph Sepp Blatter  baada ya England kushindwa kupata uenyeji wa  kombe la dunia 2018, Chama cha soka cha nchi hiyo kimesema kina haki ya kuchukua hatua za kisheria dhidi ya FIFA.

Mwenyekiti wa chama hicho Greg Dyke akizungumza kwenye bunge la nchi hiyo amesema kuwa timu ya kampeni ya mchakato wa uenyeji ya England ikiongozwa na Simon Johnson ilifuata kanuni na taratibu zote za kisheria mpaka usiku kabla ya upigaji...

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI WA ZAMANI WA FEDHA ZANZIBAR, ACHUKUA FOMU ZA KUOMBA KUGOMBEA URAIS


Aliyekuwa Waziri wa Fedha na mipango Zanzibar, Dk Khalid Salum Mohammed amekuwa mgombea wa 15 kujitokeza kuchukua Fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM.

 

10 years ago

Habarileo

Wabunge walia na fedha za wanafunzi

WABUNGE waiomba serikali kuongeza fedha za mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu, kurejesha Idara ya Ukaguzi na kulipa malimbikizo yote wanayodaiwa na walimu.

 

9 years ago

Mwananchi

Wabunge wapewe magari badala ya fedha

Gazeti hili jana lilikuwa na habari iliyopewa uzito mkubwa kwenye ukurasa wa kwanza kwamba ‘Wabunge wagomea Sh90milioni za ‘mashangingi’, fedha ambazo wanatakiwa kukopeshwa kwa ajili ya kununulia magari aina ya Toyota Land Cruiser (hardtop), ambayo ni vitendea kazi vyao. Wabunge hutakiwa kulipa nusu ya fedha hizo wakati nyingine ni mchango wa Serikali.

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge wahoji wizara kupewa fedha kiduchu

>Mjadala wa Kikao cha 12 cha Bunge la Bajeti jana ulitawaliwa na vilio vya kamati za Bunge na wabunge kuhoji sababu za Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto kupewa fedha kidogo ya maendeleo, huku Wizara ya Kazi na Ajira ikikosa kabisa fungu kutoka Hazina.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani