‘Hakuna tatizo wabunge kuomba fedha LAPF’
IMEELEZWA kuwa suala la wabunge na mawaziri kuomba fedha kwa ajili ya maendeleo katika majimbo yao kwenye mifuko ya jamii na taasisi nyingine siyo baya, kwani wana fungu maalumu kwa ajili hiyo. Pia imeelezwa kuwa mbaya ni kukopa katika mifuko ya jamii na kushindwa kulipa, huku kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni Freeman Mbowe akitajwa kukopa na sasa ana hati ya kukamatwa kutokana na tukio hilo.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi27 May
Kuomba fedha LAPF: Wabunge waumbuana
10 years ago
Mwananchi30 Jul
Hakuna mkakati thabiti wa kupunguza tatizo la Machinga
9 years ago
StarTV30 Oct
FA Yaitaka FIFA kurudisha fedha za kuomba uenyeji wa kombe la Dunia
Kufuatia matamshi ya kuudhi yaliyotolewa na rais wa FIFA aliyesimamishwa Joseph Sepp Blatter baada ya England kushindwa kupata uenyeji wa kombe la dunia 2018, Chama cha soka cha nchi hiyo kimesema kina haki ya kuchukua hatua za kisheria dhidi ya FIFA.
Mwenyekiti wa chama hicho Greg Dyke akizungumza kwenye bunge la nchi hiyo amesema kuwa timu ya kampeni ya mchakato wa uenyeji ya England ikiongozwa na Simon Johnson ilifuata kanuni na taratibu zote za kisheria mpaka usiku kabla ya upigaji...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-3EXlot6MIpk/Xu9I68qFTcI/AAAAAAABDS0/7EgPcZnGYn0nA9aek8qB0gmOYr1FVsoVQCNcBGAsYHQ/s72-c/2%2B2.jpg)
WAZIRI WA ZAMANI WA FEDHA ZANZIBAR, ACHUKUA FOMU ZA KUOMBA KUGOMBEA URAIS
![](https://1.bp.blogspot.com/-3EXlot6MIpk/Xu9I68qFTcI/AAAAAAABDS0/7EgPcZnGYn0nA9aek8qB0gmOYr1FVsoVQCNcBGAsYHQ/s400/2%2B2.jpg)
Aliyekuwa Waziri wa Fedha na mipango Zanzibar, Dk Khalid Salum Mohammed amekuwa mgombea wa 15 kujitokeza kuchukua Fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM.
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-9HiwYjh1Yiw/VNw_Jo4gVtI/AAAAAAAAGSY/htBJS5aFDME/s72-c/hot%2Bblack%2Bcouple.jpg)
Hakuna asiye na bahati ya kupendwa, Basi tatizo liko wapi
![](http://4.bp.blogspot.com/-9HiwYjh1Yiw/VNw_Jo4gVtI/AAAAAAAAGSY/htBJS5aFDME/s640/hot%2Bblack%2Bcouple.jpg)
Mpenzi msomaji wangu, wiki iliyopita nilipata barua pepe kutoka kwa mmoja wa wasomaji wangu aliyejitambulisha kwa jina moja la Joanitha.Aliniandikia ujumbe mrefu sana juu ya kile kinachomsumbua kwenye maisha yake ya kimapenzi na akaniomba nimsaidie ili aweze kuwa na amani.Ujumbe wake huo ndiyo ulionisukuma kuandika makala haya kuelekea kwenye ile siku muhimu sana kwa wapendanao ya Valentine’s Day.Aliandika hivi: “Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 25. Nimekaa kwa muda mrefu bila kuwa na...
11 years ago
Tanzania Daima13 Jul
Hakuna tatizo la ajira nchini bali fikira bila tafakuri
KWA sasa kilio kilichotanda nchini ni cha ukosefu wa ajira. Vijana wengi, hasa wanaomaliza elimu ya juu katika vyuo mbalimbali, wanalia na wanachokiita ukosefu wa ajira. Wao wanataka wakimaliza masomo...
9 years ago
Mtanzania28 Aug
NURU THE LIGHT: Hakuna tatizo msanii kushabikia chama cha siasa
NA JULIET MORI, (Tudarco)
MSANII wa Bongo Fleva anayefanyia shughuli zake za kimuziki nchini Sweeden, Nuru Magram ‘Nuru the Light’, amesema haoni ubaya kwa wasanii kuweka wazi ushabiki wao kwenye vyama vya siasa kwa kuwa kila mtu ana chama anachokipenda.
Nuru aliweka wazi hilo jana baada ya kutumbuiza na wafanyakazi wa Kampuni ya New Habari (2006) Ltd ikiwa ni ishara ya kukubali mchango wa kazi zinazofanywa na wafanyakazi wa kampuni hiyo kupitia magazeti yake matano ya Mtanzania, Bingwa,...
10 years ago
Mwananchi29 Nov
Werema: Hakuna atakayebadili, fedha hizi si za umma
11 years ago
CloudsFM06 Aug
WARIOBA: BUNGE LITAPOTEZA FEDHA ZA WANANCHI ENDAPO HAKUNA MARIDHIANO
Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema kuendelea vikao vya Bunge Maalumu la Katiba bila kuwapo maridhiano baina ya pande zinazovutana na upande mmoja ukibaki nje ya Bunge, ni sawa na kutumia vibaya fedha za Watanzania.
Amesema kauli kwamba akidi ya wajumbe wa Bunge hilo imetimia na vikao vinaweza kuendelea haiwezi kuzaa Katiba itakayokubaliwa na wananchi wote na ni tofauti na Sheria ya Mabadiliko ya Katiba inavyoeleza katika sehemu ya kufanya uamuzi.
...