FA Yaitaka FIFA kurudisha fedha za kuomba uenyeji wa kombe la Dunia
Kufuatia matamshi ya kuudhi yaliyotolewa na rais wa FIFA aliyesimamishwa Joseph Sepp Blatter baada ya England kushindwa kupata uenyeji wa kombe la dunia 2018, Chama cha soka cha nchi hiyo kimesema kina haki ya kuchukua hatua za kisheria dhidi ya FIFA.
Mwenyekiti wa chama hicho Greg Dyke akizungumza kwenye bunge la nchi hiyo amesema kuwa timu ya kampeni ya mchakato wa uenyeji ya England ikiongozwa na Simon Johnson ilifuata kanuni na taratibu zote za kisheria mpaka usiku kabla ya upigaji...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi18 Dec
Fifa yaitaka Etoile iwalipe Simba fedha za uhamisho wa Okwi
10 years ago
BBCSwahili25 Feb
FIFA:Hakuna fidia ya kombe la dunia
9 years ago
Dewji Blog21 Dec
Barcelona yatwaa Kombe la FIFA Klabu Bingwa Dunia
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Klabu ya Barcelona ya Hispania imetwaa Ubingwa wa FIFA Klabu Bingwa wa Dunia baada ya kuifunga klabu ya River Plate ya Argentina kwa goli 3 kwa bila katika mchezo wa fainali ya mashindano hayo yaliyofanyika nchini Japan.
Katika mchezo huo wa fainali nyota ya Barcelona ilianza kung`aa katika dakika ya 36 baada ya mshambuliaji wake Lionel Messi kuifungia timu hiyo goli la kwanza kwa kuunganisha mpira uliotoka kwa mchezaji mwenzake Neymar na baadae Luiz Suarez...
11 years ago
BBCSwahili22 Jan
FIFA yaonya Brazil kuhusu maandalizi ya kombe la dunia
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/E9fEOxuVMySanah9PExRXt35pfrxiRFAXuTUXKsoblHHrXZgvfh56yGnYH*fQHv784qUFoFgqkKbFX*JsfcRC9pn2uI*qUyF/FIFAWorldCup2014Brazil.jpg?width=650)
FIFA YATAJA WACHEZAJI 10 WANAOWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA KOMBE LA DUNIA 2014
11 years ago
Bongo512 Jul
FIFA yataja wachezaji 10 wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa kombe la dunia 2014 ‘World Cup Golden Ball Award’, Neymar na Messi waingia
5 years ago
BBCSwahili07 Mar
Benki ya dunia yaitaka Tanzania kutowabagua wanafunzi wajawazito
11 years ago
Mwananchi27 May
Kuomba fedha LAPF: Wabunge waumbuana
11 years ago
Habarileo27 May
‘Hakuna tatizo wabunge kuomba fedha LAPF’
IMEELEZWA kuwa suala la wabunge na mawaziri kuomba fedha kwa ajili ya maendeleo katika majimbo yao kwenye mifuko ya jamii na taasisi nyingine siyo baya, kwani wana fungu maalumu kwa ajili hiyo. Pia imeelezwa kuwa mbaya ni kukopa katika mifuko ya jamii na kushindwa kulipa, huku kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni Freeman Mbowe akitajwa kukopa na sasa ana hati ya kukamatwa kutokana na tukio hilo.