Fifa yaitaka Etoile iwalipe Simba fedha za uhamisho wa Okwi
Shirikisho la Soka Duniani (Fifa) limeiamuru Klabu ya Etoile du Sahel ya Tunisia kuilipa Simba Dola 300,000 (Sh522) zikiwa ni gharama za uhamisho wa mshambuliaji wao Emmanuel Okwi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV30 Oct
FA Yaitaka FIFA kurudisha fedha za kuomba uenyeji wa kombe la Dunia
Kufuatia matamshi ya kuudhi yaliyotolewa na rais wa FIFA aliyesimamishwa Joseph Sepp Blatter baada ya England kushindwa kupata uenyeji wa kombe la dunia 2018, Chama cha soka cha nchi hiyo kimesema kina haki ya kuchukua hatua za kisheria dhidi ya FIFA.
Mwenyekiti wa chama hicho Greg Dyke akizungumza kwenye bunge la nchi hiyo amesema kuwa timu ya kampeni ya mchakato wa uenyeji ya England ikiongozwa na Simon Johnson ilifuata kanuni na taratibu zote za kisheria mpaka usiku kabla ya upigaji...
11 years ago
Mwananchi17 Dec
Simba kulipeleka sakata la Okwi Fifa
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-8YwVf5QdBWU/VA4VlweaehI/AAAAAAAGiJc/tSQgL92LDkA/s72-c/download.jpg)
sakata la emmanuel Okwi kusajiliwa na simba: Yanga kukata rufaa fifa kupinga maamuzi ya tff
![](http://2.bp.blogspot.com/-8YwVf5QdBWU/VA4VlweaehI/AAAAAAAGiJc/tSQgL92LDkA/s1600/download.jpg)
Uongozi wa klabu ya Yanga umesema utapinga maamuzi ya kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji kuhusiana na maamuzi yake ya kumtangaza mchezaji wake, Emmanuel Okwi kuwa huru.Sam Mapande amesema kuwa hawajaridhishwa na maamuzi hayo ambayo yanakinzana na shitaka zima la mchezaji huyo. Mapande amesema kuwa kamati ya TFF imeamua sakata la Okwi kinyume na malalamiko yao kwani hakukuwa na lalamiko la...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/A8I8pebmYzpknEUVxipRxskGOtvbNm7RLWakNaiknPE-6-CbtGPNtDSNk*8FngOfhKkKQFuq4hH0HORf0r2JTglkZtZHguva/FIFA.gif?width=650)
Fifa: Okwi rukusa Yanga
11 years ago
Mwananchi19 Dec
Fufa yamuulizia Okwi Fifa
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wxWEJX1q6dYFtwJp1xk62Fby0yigbfC31dQrcb6YtwvNPJX5-C5PBlBOIvxa2SdByksX36h-twQU*XUFEr4hzjejpYZ68J4q/OKWI.gif?width=650)
FIFA: OKWI RUKSA YANGA
10 years ago
Mtanzania09 Sep
Yanga kumburuza Okwi FIFA
![Emmanuel Okwi](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Emmanuel-Okwi.jpg)
Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Yanga, Emmanuel Okwi
NA ZAITUNI KIBWANA, DAR ES SALAAM
UONGOZI wa timu ya Yanga unakusudia kuwasilisha malalamiko yao katika Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), kupinga Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji kumuidhinisha Okwi kuichezea Simba.
Kamati hiyo chini ya Mwenyekiti wake, Richard Shinamkutwa, ilikutana juzi kujadili usajili huo uliozua utata na kumuidhinisha Okwi kama mchezaji huru, akiwemo beki, Abdi Banda wa Coastal Union, aliyeidhinishwa pia...
11 years ago
TheCitizen15 Feb
Okwi happy after Fifa clears him for Yanga