Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga kumburuza Okwi FIFA

Emmanuel Okwi

Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Yanga, Emmanuel Okwi

NA ZAITUNI KIBWANA, DAR ES SALAAM

UONGOZI wa timu ya Yanga unakusudia kuwasilisha malalamiko yao katika Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), kupinga Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji kumuidhinisha Okwi kuichezea Simba.

Kamati hiyo chini ya Mwenyekiti wake, Richard Shinamkutwa, ilikutana juzi kujadili usajili huo uliozua utata na kumuidhinisha Okwi kama mchezaji huru, akiwemo beki, Abdi Banda wa Coastal Union, aliyeidhinishwa pia...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

FIFA: OKWI RUKSA YANGA

Emmanuel Anorld Okwi. KIUNGO nyota Mganda, Emmanuel Anorld Okwi, ni mchezaji halali wa Yanga.
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeeleza kuhusiana na habari hiyo njema kwa mashabiki wa Yanga baada ya kupata ufafanuzi kutoka kwa lile la kimataifa (Fifa). TFF ndiyo waliosimamisha usajili wa Okwi, saa chache kabla ya kuanza kwa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara, lakini jana wamethibitisha anaweza kuanza kuitumikia...

 

11 years ago

GPL

Fifa: Okwi rukusa Yanga

Na Waandishi Wetu
SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (Fifa) limesema mshambuliaji Emmanuel Okwi yupo huru kujiunga na timu yoyote inayomhitaji. Baadhi ya viongozi wa Kamati ya Usajili wa Yanga, wakiongozana na Emmanuel Okwi mara baada ya kuwasiki katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere ambapo alipitia katika mlango wa watu maarufu 'VIP'. Okwi aliyekuwa mchezaji kipenzi cha Simba kabla kuuzwa Etoile du Sahel,...

 

11 years ago

Mwananchi

Fifa yabariki Okwi kuchezea Yanga

>Shirikisho la Soka Duniani (Fifa), limemaliza utata kwa kumruhusu mshambuliaji Emmanuel Okwi kuitumikia Yanga kama usajili wake umekidhi vigezo.

 

11 years ago

TheCitizen

Okwi happy after Fifa clears him for Yanga

Young Africans star striker Emmanuel Okwi says he is delighted after Fifa cleared him to feature for Tanzanian heavyweights on Thursday.

 

11 years ago

TheCitizen

Joy for Yanga as Fifa okays Okwi transfer

>Young Africans head coach, Hans Van der Pluym, must be rubbing his hands with glee after Fifa cleared Ugandan striker Emmanuel Okwi to play for the Mainland champions.

 

11 years ago

Michuzi

BREKING NYUUUZZZZZZ: Emmanuel Okwi ruksa kuchezea yanga - FIFA

Shirikisho la Soka Dunia (FIFA), limemruhusu mshambuliaji Emmanuel Okwi kuichezea Yanga. Barua ya Fifa iliyotua ofisi za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), ilisema kuwa suala la malipo ya Simba kwa Etoile du Sahel hayausiani na Emmanuel Okwi kucheza mpira.  Rais wa TFF, Jamal Malinzi amesema kuwa taarifa hiyo ya Fifa imemruhusu mshambuliaji huyo acheze mpira iwapo ametimiza vigezo vyote vya usajili ikiwemo ITC.  "FIFA  wametuletea taarifa leo saa nne asubuhi na wametaka Okwi aruhusiwe...

 

10 years ago

GPL

OKWI: YANGA WAENDE FIFA, CAS WATANISIKIA KWENYE BOMBA

Mshambuliaji mpya wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi. Na Hans Mloli SIKU chache baada ya Yanga kutangaza kuwa na mpango wa kwenda Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), kumshitaki mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi, mchezaji huyo ameibuka na kusema: “Hata Yanga waende kushitaki wapi, mimi sina wasiwasi hata kidogo.” Yanga imeamua kuchukua uamuzi huo baada ya kutoridhishwa na maamuzi ya Kamati ya Sheria, Maadili na...

 

10 years ago

Michuzi

sakata la emmanuel Okwi kusajiliwa na simba: Yanga kukata rufaa fifa kupinga maamuzi ya tff

Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria na Utawala Bora wa klabu ya Young Africans Wakili Sam Mapande - kulia
Uongozi wa klabu ya Yanga umesema utapinga maamuzi ya kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji kuhusiana na maamuzi yake ya kumtangaza mchezaji wake, Emmanuel Okwi kuwa huru.Sam Mapande amesema kuwa hawajaridhishwa na maamuzi hayo ambayo yanakinzana na shitaka zima la mchezaji huyo. Mapande amesema kuwa kamati ya TFF imeamua sakata la Okwi kinyume na malalamiko yao kwani hakukuwa na lalamiko la...

 

11 years ago

Mwananchi

Fufa yamuulizia Okwi Fifa

>Shirikisho la Soka Uganda (Fufa) limeiandikia barua Shirikisho la Soka la Dunia (Fifa) likitaka ufafanuzi kuhusu usajili wa mshambuliaji Emmanuel Okwi aliyesajiliwa na Yanga akitokea SC Villa ya Uganda.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani